Haya mambo unaweza ukalia.
Nimepata emergency natakiwa niwasiliane na watoa huduma wa CRDB. Aisee, wameniwekea wimbo wa Swaiba zaidi ya nusu saa.
Mara ya kwanza nikajua wamezidiwa na wateja ila nimegundua watakua hawapuuzia tu simu hawa.
Kwokwote walipo, kuanzia Meneja na team zenu, mna laana...
Mauzo ya simu za iPhone zinazotengenezwa na kampuni ya Apple yameshuka duniani kote kwa asilimia 10 katika miezi mitatu ya mwanzo ya mwaka 2024.
Hayo yamebainishwa na utafiti uliofanywa na kampuni hiyo ya mawasiliano, ambao umebaini mahitaji ya wanunuaji yameshuka katika sehemu zote duniani...
Haya mambo sijui kama wanasomaga wanachoandika
Unaambiwa zima simu yako tafadhali
Pemben unaweza lipia mafuta via Tigopesa, Mpesa, Voda pesa.
Nikishazima nalipaje a.A natumia nguvu za zagi?
Refer to my previous thread.
Jamani nimegairi kumuomba yule kijana namba zake . Mungu kaniepusha. I Saw him with a bunch of girls alikua Anacheka nao na kuongea ila once when he saw me hakunisalimia wala kunionesha zile reactions za before ambazo zilinifanya niamini he is into me. So Hii ni a...
Ujumbe huu, umfikie Mkuu wa mkoa wa Mbeya, DC Chunya, DeD chunya,.
Mh Jumaa aweso, ukifika Fanya ukaguzi wa neo Hilo, vifo ni vingi sana na hakuna mtu wa kukuambia Hali ya eneo Hilo.
Kijiji hicho kina zaidi ya watanzania 10,000 na huwezi kuamini hakunana maji na hakuna vyoo.
Watu wanajisaidia...
Aisee hii mikopo n balaaa inatesa wamama wengi sana ingawa hawajajua
Majuzi nilikuwa napiga kwa shemeji yenu, ana simu mbili, ya kwanza ilibaki nyumbani ya pili piga kimya haipatikani na kaaga anaenda kanisani.
Nikamuuliza aliporudi vipi mbona umezima simu, sio mimi wenye simu zaoo sijalipia...
MHE. NORAH MZERU Agawa Simu Janja (Smartphone 📱) kwa UWT Wilaya ya Kilosa Ili Kusaidia Kusajili Wanawake Katika Mfumo wa Kielektroniki
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru tarehe 01 Mei, 2024 amegawa Simu Janja 5 (Smartphone 5) kwa uongozi wa UWT Wilaya ya Kilosa na...
Blackberry na Nokia yameanguka, tena yameanguka sana. Pamoja na kuwa na simu kali zenye kamera nzuri, speed kubwa ila wakaanguka.
Walianguka kwa sababu hawakuwa na viongozi wenye kufocus ulimwengu jinsi ulivyo. Yaani walikuwa katika miaka ya 2000 lakini akili zao zilikuwa zinafanya kazi ya...
Mwezi huu wa tatu nilienda kumnunulia mdogo wangu simu kwenye duka la tigo nilishawishika kununua simu Ile sababu ya ofa ya kupewa gb kadhaa kwa mwaka lengo langu zile GB zimsaidie kuongeza maarifa kwenye masomo yake ishu ikaanza pale pale kupewa gb pungufu nikauliza kwanini ila nikaambiwa kila...
Esther Malleko atoa simu janja saba (milioni 2.1) kwa UWT Wilaya zote za mkoa wa Kilimanjaro kwaajili ya kusajili Wanawake kielektroniki
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko ametoa Simu Janja Saba (Smartphone 7) zenye thamani ya Shilingi Milioni 2.1 kwaajili ya...
Only For Tsh.360,000
Problem ni mic pekee sometimes yes/sometimes no.
Double line☑️
Only for serious buyer nicheki WhatsApp au piga 255673269533
Simu ipo Tabata Mwananchi
Nauza simu jamani wana jamiiform IPHONE 6s lak 180000 had 165000 haina shida yoyote pasipo kua utapata usb ios apple
:gb 128,gold km ndo hivo unavyo ona hapo chini👇👇👇👇👇👇
Contact:0782821751
Nipo dar/magomeni/kw binyau
Je ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba ya simu ikiwa mwanume anachelewa na kuona aibu ku make the first move but kila mki bump into each other anakuchekea, anakusifia Ana act as a gentleman, smiling all the time akikuona. Ana anza conversation with you.
Nimevunga kama vile am not...
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile jumapili iliyopita wakati wa ibada katika kanisa lake linalojulikana kama, 'Kikosi kazi cha injili', alimuita mmoja wa waumini wake kijana anayeitwa Eliya na kuamuru ampatie simu yake, ambapo aliikagua na kukuta meseji ya WhatsApp kutoka kwa binti.
Kisha...
Vipi wenzangu mnapiganaje na gharama za mawasiliano ya simu?
mwenzenu natumia si zaidi ya 400 kwa siku! kwa mwezi natumia 11,000 tu😅😅
Baada ya hapo naunga sms za buku siku 30
Moja kati ya vitu vizuri na kuvutia zaidi ni kuona jina zuri aliloku sev mwandani wako
Mbali na kutia faraja ila pia huleta hari kujihisi furaha kwa mwenza
Je umesev vipi jina la kipenzi chako?
😊 good night african beauty Bantu Lady
Nyiewengine lolote liwakute😅
Wazazi tunapishana kweli niko gari la Goba nyuma kabisa naona katoto ka shule kanachat
Nakauliza umetoka shule ndio darasa la ngapi form 2.
Unaruhusiwa kuwa na simu shulen ndio nawekaga silent
Aisee yuko busy anatuma meseji tuzidi kuwaombea tu.
Nahitaji simu ya kawaida kabisa bajeti yangu laki na 30.
Kikubwa iwe ina uwezo wa kutoa audio inayo sikika vizuri. Iwe Type C ambayo inaweza kutumia vile vi microphone vya sh elfu 25.
Nakumbuka mwaka 2017 nilinunua kisimu cha promotion pale Mlimani City cha VODAFONE. Nilikinunua sh elfu...
Wakuu kwema?
Nilikua na muhusiano na mwanamke mmoja hivi.. ikatokea siku tuligombana akanitamkia maneno kadhaa ambayo yalichoma moyo wangu sana.
"sina hisia na wewe"
".sijawahi kukupenda"
"Nina bwana angu nampenda"
"Siku uliyonitongoza sio kwamba nilikua Sina mtu na mpaka Sasa hivi Niko naye"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.