Naweza pata simu gani nzuri kwa laki nne?

jangos

Member
Dec 20, 2023
43
35
Kwa bajeti ya 400k napata simu Gani nzuri Mpya na iwe portable maana spend simu kubwa nakalbisha ushauri
 
Chukua Pixel 4a, nadhani saizi zitakua zimeshuka utapata hadi kwa 350k . Ni portable
 
Kwa bei hio pata Xiaomi Note 12, 4G, Ram 6, Storage (ROM) 128
 
Samsung s21 ,oppo reno 7, xiaomi 11lite ,mi 10 zote ziko kati ya bei hizo ila masoko ya nje unaweza agiza
 
Back
Top Bottom