simu

  1. W

    JamiiForums Tanzania Umewahi Kukagua kama Simu au Kompyuta yako kama ina “Virus”?

    Virusi ni programu ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya kuharibu programu nyingine zinazokuwepo kwenye mfumo wa utendaji wa kompyuta au simu. Virusi vya kompyuta vinaweza kufuta, au kuharibu mafaili, kuathiri mfumo wa utendaji wa kompyuta na kuifanya kuwa nzito kwa kuenea haraka na kushambulia...
  2. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu mpya Samsung galaxy A04s

    Hii simu (Samsung galaxy A04s) ni brand new kutoka dukani nimeitumia miezi 3. Naiuza kwa 300,000 tu! Maongezi yapo. Storage ni GB 128. Memory Ram 4Gb. Ni simu ya kisasa unaweza upgrade kwa mfumo wowote wa kisasa. Sasa hivi ina Android 14. Niko Dar es Salaam maeneo ya Mbezi mwisho ya kimara...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awabubujisha machozi ya furaha wana Yanga, awapigia simu Uwanja wa Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna Mwanadamu anapendwa na Kukubalika kuliko Binadamu wote Barani Afrika, basi Binadamu huyo ni Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan. Mama anapendwa mpaka watu wanatokwa na kububujikwa na machozi ya furaha. Mama...
  4. Webabu

    JamiiForums Tanzania Makamanda wa Hamas na Hizbullah waache kutumia simu za satellite za Ellon Musk

    Kufuatia minara yote ya simu na vinu vya umeme kubomolewa huko Gaza,Ellon Musk kwa kile kilichoonekana malengo ya kibiashara alisema ataunganisha jimbo hilo na mtandao wake wa mawasiliano wa star link.Israel ikamshutumu sana na yeye akarudi nyuma. Hata hivyo watu wenye ndugu zao nje huko Gaza...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali mlio nje ya Tanzania mtatumia Mbinu gani kuangalia katika Simu haya Matukio ya tarehe 3, 4 na lile Kubwa la 'Kufa Jitu' la tarehe 8?

    Ni matukio ambayo GENTAMYCINE sitaki kabisa kuyakosa hasa hasa lile la tarehe 8 August, 2024 litakalokufa Jitu huko.
  6. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Mmiliki mmoja wa Bus amenipigia simu huku akicheka sana, nimemuuliza sababu za yeye kucheka hajajibu ameamua kukata simu

    Huyu Jamaa wiki iliyopita nilikuwa naye pale Dodoma,ajabu ni kwamba kuna mambo alikuwa akiniambia nikawa nashangaa tu! Baada ya kugundua alichokuwa akimaanisha,aiseee nimetafakari sana usiku wa Leo na usingizi umegoma kabisa!  Jamaa kaniambia tuupe Muda - Muda KAOLE SANAA GROUP
  7. NEGAN

    JamiiForums Tanzania Tigo Tanzania mmenitapeli MB za ofa baada ya kununua simu kwenye duka lenu (Tigo shop)

    .
  8. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Shida inaanzia kwenye namba ya Simu

    Siku hizi hatuviziani tena njiani kama zamani,maana huko way back ilikuwa kipengele kweli,ukimtaka mrembo ni full misele kitaani kwao,,nakumbuka class mate wangu mmoja tulikuwa tunakaa nae kitaa pale Upanga seaview. Alinambia unamuona flan ambaye nae ni classmate wetu pia,anakuja kuja huku ujue...
  9. USSR

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiria simu za Tesla tukutane hapa

    Mambo ya apple ,sijui Google pixel na sumsung tupa kule hapa ni kitu cha Tesla , mwonekano na uwezo wa hali ya juu USSR
  10. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Rais wetu mpenda maendeleo - tunaomba uboreshwaji wa mitandao ya simu boda ya Rusumo

    Team Jf, Salaàm! Ukiwa boda ya Rusumo kwenye mipaka ya TANZANIA na Rwanda wkt mwingine ni shida kupata mawasiliano kwa kutumia mitandao yetu i.e Vodacom, Airtel, Halotel, Tigo, TTCL nk Mtandao unaoshika sana eneo lile ni wa Rwanda maarufu kwa jina la MTN. Sasa hii husababisha mambo yafuatayo:-...
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Meseji za Zuia Uhalifu zimekuwa kero sasa kwenye simu zetu

    Kuna meseji zinatumwa kuhusu Zuia Uhalifu. Ni wazo zuri lakini sasa wahusika wanazituma mfululizo kwa sisi watumiaji wa simu na kutujazia inbox zetu sisi watumiaji wa mtandao wa tigo. Hii ni kero sasa, wahusika watume walau mara moja kwa wiki.
  12. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Simu mpya ghali kabisa zazinduliwa na Elon Musk!

    Hii ndio simu ambayo Elon Musk anatarajia kuizindua mwezi august 2024. Hii simu ukinunua maisha yako yote unapata free internet toka star link. Pia utapata uanachama wa X[tweeter] premium na kuwa verified. Sisi tuendelee na kujenga matundu ya choo na kubishana kuhusu Simba na Yanga.
  13. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Jipatie simu bei ya viwandani

    Wateja wangu karibuni tupo Uhuru Plaza kupitia sisi utajipatia simu bei za viwandani yaani bei ya chini mnooo. Tuna simu mpya na used kwaajili yako kuanzia simu za vitochi mpaka smartphone Unaweza jipatia smartphone kuanzia tsh 80,000 simu yente ram 4 storage 64 Tupo uhuru plaza Kariakoo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanafunzi wanakatazwa kuwa na simu shuleni? Tunajenga ama tunabomoa?

    Katika zama hizi za kidijitali, inakuwaje mwanafunzi anakatazwa kumiliki na kutumia simu shuleni? Simu imebeba maarifa yote ya dunia, ambayo mwanafunzi anapaswa kujifunza na kuyafahamu, lkn anakatazwa. Nini kinaogopwa, 0 kwa gharama ya kuwanyima wanafunzi kupata maarifa?
  15. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Shtuka biashara ya simu inatajirisha

    Ohoooo...... Kama haujaaambiwa acha mimi nikuambie...... Kama umepata location nzuri Hii biashara unatajirika mapema tu.wabongo amkeni
  16. Lanlady

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mitandao ya simu inapaswa kutoa ufafanuzi hii kauli ya Nape haitakiwi kupuuzwa hata kidogo

    Tukumbuke tu kwamba kumekuwa na malalamiko mengi ya wateja wa mitandao ya simu, kuktwa salio pasipo kujiunga na huduma yoyote ile. Hivyo basi kwa kauli hii ya waziri, haina budi wahusika watoe ufafanuzi. Je, ni maelekezo kutoka juu? - Malalamiko yangu kwa mitandao ya simu, hasa Halotel na...
  17. Ndondocha mkuu

    JamiiForums Tanzania Usimpe nafasi ya pili mwanamke aliyekusaliti: Soma yaliyonikuta, unaweza jifunza kitu

    Habari ya mchana wana jf Mimi ni miongoni mwa member wachache ambao hatupendi kutoa mikasa yetu humu jf lakini kwa hili lililonipata nimeona tushare tunaweza jifunza vitu flani. Mimi nina miaka 27, nilikua na mpnzi wangu ambaye tulianza uhusiano 2022 yeye sasa ana miaka 21, na pia yeye...
  18. jangos

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje ukaibiwa simu??

    Habari zenu, Nimeanzisha huu uzi ili kupata experience ya kutunza simu zetu zisiibiwe, kama umewahi kuibiwa unaweza kutuambia ilikuwaje!
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni maeneo gani safarini kutoka Dar- DodomaA au kwingineko maeneo gani njiani hayana network kabisa na huwezi kutumia simu yako

    Yaani ukifika maeneo hayo network inakua hakuna kabisa. huwezi kutumia simu kuwasiliana, yaani huwezi kupiga simu wala kupokea, huwezi kutuma sms au kupokea sms. Network inakua hakuna kwa ujumla, na zaidi sana hakuna kabisa Internet network.. Yapo maeneo humo humo njiani network iko full tena...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapopeleka Simu Yako kwa Fundi

    Fahamu Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapopeleka Simu Yako kwa Fundi ili kuepuka taarifa zako binafsi kuvuja 1. Ondoa laini ya Simu: Hakikisha umeondoa laini yako ya simu ili kulinda taarifa zako binafsi. 2. Cheleza (Backup) taarifa Muhimu: Fanya backup taarifa zako muhimu ili kuhakikisha...
Back
Top Bottom