simu

  1. JamiiForums Tanzania China Imevumbua Betri Inayodumu Miaka 50 Bila Kuchaji; Upo Tayari Kutumia Simu Yenye Betri ya Nyuklia ?

    Kwa muda mrefu, betri zimekuwa chanzo kikuu cha nishati katika vifaa vyetu vya kila siku kama simu, kompyuta mpakato, na sensa mbalimbali. Lakini sasa, sayansi imevuka mipaka – kuna betri mpya zinazoitwa betri za nyuklia. Ingawa jina lake linaweza kuwatisha wengi, teknolojia hii inalenga kuleta...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mafundi simu nawahitaji sana!!!. simu yangu ya pixel 5A na Jana ikafa machine

    Habari ndugu Wana JF ,nilinunua simu yangu ya pixel 5A na Jana ikafa machine kwaiyoo nataka kuwauzia kioo ch Google pixel 5A kwa sh 230,000
  3. JamiiForums Tanzania Ila hizi simu zinachangia sana kuvuruga mahusiano

    Jana ndio nilitambua kumbe nina uwezo wa kula haraka hata chakula kiwe kingi na chamoto kiasi gani. Tumetoka kwa chakula cha usiku mwenzangu simu yake akaicha ndani kwenye chaji, tumefika sehemu ya kula tumeanza tu kula akaniomba simu yangu atume mail fulani kabla hajasahau, nikampa...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini transaction fee kati ya mabenki na mitandao ya simu ni kubwa sana?

    Wakuu hawa watu ni kama wana ugomvi, ukitaka kutuma hela kwenda bank au bank kuja kwenye simu lazima ushtuke, gharama zake hazina tofauti na kutoa hela kwa wakala i.e Mpesa! Kwa mfano mtu anayetuma mil 1 anakatwa mpka 11k wakati hela hiyo hiyo kutoka bank moja kwenda nyingine wanakata buku tu...
  5. JamiiForums Tanzania Kuanzishwe kodi mpya na ikatwe sh 1000 kwa kila mwezi kwa kila mwenye line ya simu kama sehemu ya income tax

    Mtu mwenye line atakua analipa sh 1000 kwa mwezi na sh 12000 kwa mwaka kama income tax Hatakama watu wanaiba fedha haitaondoa ukweli bado makusanyo yetu ni madogo sana https://www.jamiiforums.com/threads/nina-nia-ya-kuwa-rais-wa-tanzania.2228628/ Usisahau kushare video na mwenzako
  6. JamiiForums Tanzania Kama unatumia Simu aina hii inabidi ufanye update kwenda android version 15

    Baada kucheleweshwa kwa muda mrefu kuachiwa kwa update ya Android version 15 kwenye baadhi ya vifaa vya Samsung device hatimaye wametoa list la simu inabidi wafanye update kupata android Version 15 kwenye vifaa vyao. Update hiyo mpya sio kwamba kutakua na mabadiliko Makubwa hapana ila sana...
  7. JamiiForums Tanzania Kama Mkristo Naona Uislamu Hautatoboa Hii Karne Kuelekea Karne Ifuatayo: Simu na Wi-Fi Vinachangia Kudidimiza Uislamu Zaidi ya Vita Dhidi ya Makafiri

    Kama ningekuambia miaka 15 iliyopita kwamba simu janja na Wi-Fi vitachangia kudhoofisha Uislamu kuliko hata mashambulizi yote ya historia kutoka kwa Wakristo waliowahi kuitwa "makafiri," ungeweza kudhani ni mzaha. Lakini leo, kama Mkristo ninayeangalia mwenendo wa ulimwengu, siwezi kupuuza...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia toa maagizo kwa NIDA wawapigie watu simu wawaletee vitambulisho kwenye halimashauri walizopo!!

    Nasikitishwa na hii tabia ya nida kutaka kufuta vitambulisho ambavyo havijachukuliwa unakuta mtu alijiandikisha Tarime halafu yupo Dar kitambulisho kinachapwa Dar halafu kinapelekwa tarime wakati mhusika yupo dar!! Yaani nichukue laki2 kufatilia kitambulisho kweli kichekesho!! Hivi nida ni...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Vijana wauza simu Kariakoo acheni utapeli mara moja

    Kuna Vijana hapo mjini Kariakoo kazi yao nikuuzia watu simu used kwa bei za dukani. Pia wanauza simu fake kwa bei ya juu. Je, Hapa Tanzania hamna shirika la kupambana na simu feki?
  10. G

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa biashara ya Ufundi simu

    Naomba ushauri.....kwa sasa mimi ni mwajiriwa ila niliwahi soma veta fani ICT . ila nataka kufungua ofis yangu ya ufundi computer, ufundi simu na kuuza accessories mbali mbali za mambo hayoo..naomba kujua mtaji unaweza kuwa bei gani na vifaaa vipi nahitaaji hasa upande wa ufundi simu.
  11. JamiiForums Tanzania security Plug simu za mkopo

    wadau naomba mwenye kufahamu jinsi ya kuitoa hii security plug maana nimemaliza huo mkopo msaada tafadhari
  12. V

    JamiiForums Tanzania Simu inauzwa

    Nauza simu Motorola moto e14 toleo jipya .Brand new unlocked .bei 360000.Njoo na change kamili au piga simu 0712652110 Dar
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Jifunze kuangalia message ya miamala kwenye simu ya mke/mwanamke wako

    Wakuu kuna siku unaweza Kuja ukalala njaa kumbe mkeo ana fedha ya kutosha na akabunda kimya bila kukutaarifu, Unakuta ana milion Lakini pia ni vyema kufanya ambush phone searching mara moja moja ili ujuwe, mustakabali 🥶NB kama una moyo mdogo Usijaribu kusearch simu ya mke wako Ila wake...
  14. JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu Voda, Airtel Yas waanze kutafuta mashamba ya kulima.

    Elon Musk enables satellite calls on iPhones and Androids worldwide. Elon Musk has once again made waves in the tech world, this time with a groundbreaking advancement that could forever change mobile connectivity. Starlink, his satellite internet service, is set to enable satellite calls on...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba kujua ufanyeje ili ukiwa nje ya Tanzania Laini yako ya Simu isifungiwe na ukirejea Tanzania uendelee Kuitumia?

    Kwa mfano nina Laini ya Airtel Tanzania niliyokuwa Naitumia nikiwa Tanzania, ila naambiwa kuwa nikirejea Tanzania haitokuwa inatumika (na Ninunue Laini mpya) kwani itakuwa Imeshafungiwa kwani sasa ina mwaka siitumii kwakuwa huku nilipo natumia Laini ya Mtandao wa huku. Kwahiyo nauliza ni Mbinu...
  16. JamiiForums Tanzania Onyo : Aina 9 Ya Simu Ambazo Sikushauri Kununua

    Kuna aina nyingi za simu , baadhi zinafanya vizuri sokoni na nyingine hazifanyi vizuri na zikiwa na sababu tofauti . Makala hii itaangazia aina za simu zenye matatizo makubwa ambapo sikushauri kununua ikiwa unahitaji na simu nitakutajia matatizo ya kila simu . Pause : Mimi naitwa Mkisi ...
  17. JamiiForums Tanzania Nalipiaje UTT kwa njia ya simu mbona naitafuta siipati

    Wakuu wa uwekezaji. Nalipiaje UTT kwa njia ya simu mbona naitafuta siipati
  18. X

    JamiiForums Tanzania Alichosema Trump baada ya Marekani kuiongezea ushuru China kufikia 104%: Tunasubiri simu zao

    "Tunasubiri simu zao" hivyo ndivyo Trump alivyopost kwenye akaunti yake baada ya Marekani kuongeza ushuru kwa China kufikia 104% Tangu mwanzoni kabisa Trump alipoanza kuiongezea ushuru China, serikali ya China ilishasema; China itapambana hii vita mpaka mwisho. Trump aache kuwazia eti kuna...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia alivyopiga simu kwa Kadogosa baada ya kupewa tuzo ya 'Mwanamke Kinara'

    Rais Samia Suluhu Hassan ametunukiwa tuzo ya jumla ya uongozi ya mwanamke kinara jijini Mwanza huku akishukuru na kuahidi kuendelea kufanya kazi kwa masilahi ya Taifa. Tuzo hiyo ilitolewa usiku Aprili 5, 2025 mkoani Mwanza na taasisi ya Mwanamke kinara iliyoandaa tuzo za wanawake waliofanya...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini 'charger' za simu hazitengenezwi Tanzania badala yake tuna-import

    Yafuatayo ni majibu kwanini chargi za simu za aina tofauti-tofauti hazitengenezwi Tanzania majibu yapo kwenye video
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…