simu

  1. M

    JamiiForums Tanzania NAUZA SIMU

    GB 64 RAM 4 Wazee Sim Iyo ZTE Ni Ya Mkopo Nimelipa Ela Bado Kidogo sana Nimalize Sema nimepata sim nyengine Hii naitoa Laini yake yakulipia Ipo nakupa sim Ina Clek Lakn inapiga KAZI Fresh kilakitu BEI 55 Chapu Au piga sim tuongee 0612323330
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wafungwa kwanye simu zao utawawatambuaje?

    Unapoamka na kushika simu kabla ya kufanya ibada. Hii ni dalili mbaya kuwa simu imekua kipaumbele kwako kabla ya muumba wako. Hii ni ishara ya uraibu na hatari kwa afya yako ya akili.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Wakongwe enzi hizo ulimiki simu gani ya kwanza kati ya hizi?

  4. Msanii

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna ongezeko kubwa la makato katika huduma ya fedha kwa simu

    Nimefanya transaction kwa mobile phone. Nimetoa kwa wakala na hichi ndicho kilichonistua.... Hivi TRA wanatuona sisi raia kama mazuzu au nini hiki wanachokitafuta kwetu? Wizara ya Fedha, huu mchezo ni wizi na siyo haki
  5. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nikipigiwa simu kwenye laini zangu watu wanaambiwa inatumika wakati siongei na mtu

    Wakuu nisaaidieni Hilo jambo aisee natumia Airtel na Vodacom nikipigiwa simu anaenipigia anaambiwa natumika wakati simu ninayo mkononi na siongei na mtu na kibaya zaidi hata haiiti tatizo litakua nini wakuu mwenye kujua hii ishu wakuu maana watu wanasema nimewablacklist wakati sivyo
  6. MoroGent

    JamiiForums Tanzania Elimu: Kiongozi Akifariki Simu zake na Official Comms Zinakuwa Handled Vipi

    Salamu Wanajukwa, Huwa najiuliza mara nyingi sana hili swali na ningetamani sana kujua kwa Wajuvi wa mambo. Kufariki kwa kiongozi mkubwa wa kitaifa ni swala la nchi lakini pia linagusa maslahi mapama ya kiusalama. Viongozi ni binadamu kama sisi na wanawasiliana na viongozi wengine kwa protocols...
  7. Scott junior

    JamiiForums Tanzania Hii ina sababishwa na nini?

    Hivi ulishawahi mpigia mtu simu, alafu kimoyo moyo unaomba asipokee Ili badae umlaumu kwanini hakupokea.
  8. H

    JamiiForums Tanzania NCAA - LODUARE GATE waweke simu ya landline!

    Hata kama kuna changamoto ya milika haingii akilini geti lililo bize kuliko mageti yote kwa kupisha Watalii eti halina simu. Ukitaka kupiga simu ni hadi utafute simu za watu binafsi na kwa kuwa wana hamishwa hamishwa ni usumbufu mkubwa kwa wanaopitisha wageni. WAWEKE HATA SIMU INAYOTUMIA...
  9. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗥𝗘𝗗𝗠𝗜 𝗿𝗮𝘀𝗺𝗶 𝘄𝗮𝗺𝗲𝘁𝗮𝗺𝗯𝘂𝗹𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗝𝗶𝗻𝗮 𝗝𝗶𝗽𝘆𝗮

    🗯️ Kampuni ya Xiaomi imefanikiwa kutambulisha jina jipya kwenye soko la vifaa vya kieletroniki kimataifa inaitwa REDMI. 🗯️ Ukiangalia ni kama Mabadiliko mepesi kutoka "Redmi na kuwa"REDMI" lakini wamekuja na slogani yako wakisema Mabadiliko haya yataweza kuifanya simu zao kuleta muelekeo...
  10. Mfilisti

    JamiiForums Tanzania Wewe na simu yako ni nani anayemiliki mwenzake?

    Tuseme ukweli bila kupepesa macho Unalala nayo kitandani Ukiamka kitu cha kwanza ni kuiangalia Ukiisahau nyumbani, siku yote unakuwa kama umetupwa kisiwa cha peke yako Battery ikishuka chini ya 20% moyo unaanza kukudunda kama una deni. Bundle likiisha kwa baadhi ya watu bora asinunue chakula...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Yas Yaendeleza Mapinduzi ya Kidigitali kwa Wakulima Kupitia Mpango wa Mikopo ya Simu Janja

    Dodoma, Agosti 2025 – Kampuni ya mawasiliano ya Yas imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuleta mabadiliko ya kidigitali kwa wakulima kwa kuendeleza mpango wa Device Financing, unaowawezesha wakulima kumiliki simu janja kwa gharama nafuu kupitia malipo ya awamu. Kupitia mpango huu, mkulima...
  12. Room 28

    JamiiForums Tanzania Taja huduma za mitandao ya simu ambazo ni zisizo na makato

    Mi ninazo zijua 1.Kununua muda wa maongezi au kumnunulia mtu kutoka mpesa/airtel money -Hapa hutakatwa hata mia kama gharama ya huduma 2.Luku Hapa napo ilikua n bure saizi naona kuna percent fulan wanakata ukinunua umeme zaman haikuepo
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 James Mbowe: Aliyemuahidi kumtafutia fedha Lissu yupo Canada na familia yake anabonyeza simu tu

    Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), James Mbowe akizungumza kuhusu uamuzi wake wa kuhama chama na kuhamia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) ambapo pia amezungumzia Godbless Lema.
  14. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Naweza tumia E-office kwa kutumia simu..?

    Wakuu, naweza kutumia E-office kwa simu au ni mpaka kiwe na PC..? kwa wale wanaotumia Government mailing system..
  15. flynn05

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kuuliza Hivi hizi simu za Samsung gt e1207 bado zinafanya kazi mpaka miaka hii

    Naitaji kununua na nimeiona dukani ila ni simu za mda mrefu sana, so najiuliza na naomba mnisaidie watu wa tech, je ni bora na zinafanya kazi vizuri tu au ninunue tecno ya elfu 20?!
  16. SIR MGAX

    JamiiForums Tanzania Bado najiuliza ni mimi peke yangu ndio nilikuwa na picha ya dj fetty kwenye simu au?

    Tuambiane maana ile picha kila sdcard lazma niirushe.
  17. Think2

    JamiiForums Tanzania Ulianza kumiliki simu akiwa na umri gani??

    Nilianza kumiliki simu nikiwa na umri wa miaka 17 tu baada ya kumaliza form four aina itel kibatani, wewe je ulianza kumiliki simu yako mwaka gani na aina gani??
  18. Damaso

    JamiiForums Tanzania Nokia 3310: Simu ya Kizazi cha Dhahabu

    Ni Septemba mosi ya mwaka 2000 mara baada ya mchakato mkubwa wa kurudi tena jikoni na kuipika na kufanyia kazi mapendekezo, na madhaifu ya Nokia 3210, siku hiyo ya Ijumaa ikawa ni siku bora kuwahi kutokea katika uwanja wa teknolojia ya mawasiliano, kwani ndio siku ambayo dunia kwa mara ya kwanza...
  19. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Zawadi nzuri kwa demu wako ni Simu nzuri, Saa nzuri au Fedha sio nguo za ndani.

    Sasa wewe endelea kumnunulia nguo za ndani, atazivua mbele yetu na kututunuku bila shida yoyote ile.
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania RC Abubakar Kunenge: Simu Janja na TV zinazalishwa Pwani na zipo sokoni

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amesema "Rais Samia aliagiza simu zitengenezwe Tanzania na sasa hivi simu janja zinazalishwa hapa Pwani na sasa zipo sokoni." Akizungumza leo Julai 31, 2025, katika hafla ya uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala, Kibaha mkoani Pwani, Kunenge ameeleza kuwa...
Back
Top Bottom