Wewe na simu yako ni nani anayemiliki mwenzake?

Mfilisti

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
3,729
Reaction score
19,466
Tuseme ukweli bila kupepesa macho
  • Unalala nayo kitandani
  • Ukiamka kitu cha kwanza ni kuiangalia
  • Ukiisahau nyumbani, siku yote unakuwa kama umetupwa kisiwa cha peke yako
  • Battery ikishuka chini ya 20% moyo unaanza kukudunda kama una deni.
  • Bundle likiisha kwa baadhi ya watu bora asinunue chakula anunue bundle.
Sasa swali ni moja tu: Wewe ndio unamiliki simu, au simu ndio inakumiliki wewe?

Na unapokosa muda wa kuishika, unahisi kama vile kuna mtu amekuondoa kwenye “group la maisha”😂😂
 
😂😂😂
Hii akili uliyotumia hapa ungewaza hela si ungekuwa umevumbua njia nyingine ya kuingiza mshiko!!
😂😂😂
Ila simu mwanangu zinatumiliki!!

nilikua nawaza hapa kutengeneza dawa ya watu wenye uraibu wa simu
 
Back
Top Bottom