simu

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge Kenya aiba vifaa vya simu

    Mbunge nchini Kenya aiba vifaa vya simu,venye thamani ya milioni 1.9 ya Kenya.akamatwa kwa kupitia CCTV camera.Mbunge huyo ni wa Kitui.Polisi wameweza kumjua,baada ya uchunguzi.
  2. Mobutu JR

    JamiiForums Tanzania Screenshot aina ya simu unayotumia

    Wakuu,ni aina gani ya simu unayoitumia? Weka screenshot ya aina ya simu Yako hapa
  3. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Simu Zinauzwa,Mkoani Tunatuma

    TUNAKULETEA BIDHAA HIZI KWA GHARAMA NAFUU SAMSUNG BRAND 🔥🔥 Samsung Galaxy s20 fe -5G.... 420,000/= ✓ Samsung Galaxy S10 plain 5G.. 415,000/=✓ Samsung Galaxy note 20 ultra 5G... 550,000/ Samsung Galaxy A42..5G.......... 330,000/ Samsung Galaxy A21.......... 235,000/=✓ Samsung Galaxy...
  4. Epateletech

    JamiiForums Tanzania Zijue model za simu ambazo zinaweza kuwa za mkopo

    simu za mkopo Hizi ni simu ambazo watu ukopeshwa yaani ulipia kiasi kidogo na kilichobaki ulipia kidogokidogo wanapotumia simu zao yaani zimwekewa mfumo ambao ili utumie lazima ulipie kiasi fulani kwa siku wiki mwezi usipolipia basi simu italock uwezi kutumia Sasa kuna baadhi ya watu wamekuwa...
  5. MaT2B

    JamiiForums Tanzania Niko na 510K Natafuta Simu Nzuri, Nisaidieni Kabla Sijaingizwa Mjini DSM Na Wingbacks.

    Watalamu wa tech nipeni suggestions. BRands kama Samsung na Xiaomi. Chief-Mkwawa ,
  6. black-tz

    JamiiForums Tanzania Tanzania iko mbioni kutunga sheria na kuweka muongozo wa kutekeleza mfumo wa kitaifa wa mtandao wa simu, ujulikanao kama National Roaming

    Tanzania iko mbioni kutunga sheria na kuweka muongozo wa kutekeleza mfumo wa kitaifa wa mtandao wa simu, ujulikanao kama National Roaming. Kupitia mfumo huu mpya, mtumiaji wa simu ataweza kuunganishwa na mtandao wowote uliopo karibu; bila kujali kampuni ya simu ambayo amesajili laini yake. 📶...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ukwapuaji wa simu Mbeya chukua Tahadhari!

    Kuna kukithiri kwa ukwapuaji wa simu na mikoba hasa kwa wanawake na wadada kwa ujumla ndani ya jiji la Mbeya. Mama mmoja katika eneo la Sae siku ya Jumapili anatoka getini kwake na kuingia barabari wakwapuaji wanaotumia bodaboda wakaondoka na kibegi chake cha mkononi kikiwa vitu kadhaa ikiwemo...
  8. nipo online

    JamiiForums Tanzania Ukifanya mambo haya manne kama hufanikiwi nipigie simu nikirudishe pesa zako

    1.Sadaka ya fungu la 10 2. Kusaidia wahitaji mfano yatima na wajane 3.Wazazi au walezi wako 4.Ujenzi au kuchangia kazi za Mungu mfano ujenzi wa nyumba za ibada. Hii ndo njia halali ya kutoboa kimaisha, anza na ulichonacho
  9. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufungua simu uliyosahau password

    SOMO LA LEO ♌️: JINSI YA KUFUNGUA SIMU ULIYOSAHAU PASSWORD KWA KUTUMIA KOMPYUTA 💻📱 Kama umesahau password yako (Pattern, PIN, Fingerprint) usikimbilie Kariakoo unaweza kuweka sawa mwenyewe kwa kutumia kompyuta 🧰 VIFAA VINAVYOHITAJIKA 1📍Kompyuta yenye internet 2📍USB cable 3📍Simu iliyo-lock...
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Message na call logs mnabaki nazo kwenye simu za nini?

    Mtu unafumaniwa na meseji ulizochati na mtu au mumeo anakuta namba mpya ambayo unawasiliana nayo kila mara hadi anaanza kuitilia mashaka. Umechati na mtu mmemaliza kwanini usifute hizo meseji au umewasiliana na mtu mmeongea mliyoyaongea kwanini usifute hiyo namba. Unaskia wanandoa wanalalamika...
  11. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Je, Tesla atamtoa Apple kwenye soko la simu na laptop?

    Elon Musk anakuja kwa kasi sana kwenye technology ya mawasiliano, kumbuka anamiliki satellite zake thus kwa technology za mawasiliano yupo cheap sana hata simu na laptop zake ni quality ya juu kwa bei ya chini kuliko products za apple yaani iphone na computer. Katoa tablet na simu ambayo...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa kutambua namba za mitandao ya simu Tanzania 📶

    Watu wengi hupata changamoto kujua kama namba fulani ya simu ni ya Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel au TTCL. Karibu tushirikiane kujuzana namba za mwanzo za kutambua mtandao, Tuzikusanye zote na kuweka orodha kamili VODACOM: 0754, 0755, 0743, 0745, 0746, 0769 TIGO: 0710, 0712, 0713, 0714, 0715...
  13. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Je, wajua? Kati ya mwaka 1998 hadi 2012, Nokia ilikuwa mtengenezaji mkubwa zaidi wa simu za mkononi duniani

    Nokia ni kampuni ya Kifinland iliyozinduliwa mwaka 1865. Hii ni kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na mawasiliano na teknolojia ya taarifa. Makao makuu ya Nokia yako Espoo, Finland. Kampuni inafanya kazi katika zaidi ya nchi 100 na ina wafanyakazi takribani 130,000 duniani kote. Nokia...
  14. D

    JamiiForums Tanzania AIBU KUBWA SANA: Hawa ndio Wakurugenzi wakubwa wa Makampuni ya mitandao ya simu Afrika Ya Mashariki. Hakuna Mtanzania hata mmoja

    Wakurugenzi Wakuu (CEOs) wa Makampuni ya Mitandao ya Simu Tanzania, Kenya na Uganda. Tanzania. 1. Vodacom - Philip Besiimire - Uganda 2. Airtel Tanzania - Charles Kamoto - Malawi 3. Yas - Pierre Canton-Bacara - France 4. Halotel - Nguyen Tien Dung - Vietnam Kenya 1. Safaricom - Peter Ndegwa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kuna yeyote humu aliyepigiwa simu au kutumiwa email na gaming board of Tanzania kuwa kapata kazi?

    Kuna jamaa angu kaniambia eti gaming board of Tanzania ishawatumia watu email na kuwapigia kuwa wamepata kazi? Je humu jf kuna mdau yeyote aliyefanya oral ambae kapigiwa na hao jamaa? maana utaratibu wao wa recruitment unashangaza sana.
  16. W

    JamiiForums Tanzania iPhone ni kama mkoba wa Gucci au Luis Vuitton wenye buku jero ndani. Ni muonekano tu lakini unabanwa matumizi, Sijutii kuhamia Android

    Nimezitumia Iphone kwa mudamrefu, nilikuwa sisikii wala sioni simu nyingine nje ya iphone, ila baada ya kuhamia android sijioni kabisa nikirudi nilikotoka. Simu za android hapa nazoziongelea ni zile topbrand Samsung, Google Pixe, One Pus, Xiaomi, Mitandao ya simu inakubana ukitumia Iphone...
  17. Alblondys

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya Top up ya Simu

    Salam wana Jf. Nina Simu yangu Samsung Galaxy Note9, Storage yake 128gb, Ram 6gb. Changamoto yake: Flickering kiswahili sijajua vzuri ila Kioo ni kama kinaonesha kufifia hivi. Kazi inafanya vizuri tu hai haina Kipengele kingine. Nataka nifanye Top up nichukue Google Pixel au Samsung series...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mtandao wa Twitter Unakataa kufunguka Kwenye Simu yangu?

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa sasa ni kiangazi kwetu kwa hiyo pilika pilika za mashambani ni nyingi sana. Kwa hiyo Muda wote tunakuwa Bize . Sasa nimepata nafasi nikawa nimepumzika nikasema nikatembelee Twitter huko maarufu kama X niangalie habari za hapa na pale . Ila naona unagoma. Kazi...
  19. black-tz

    JamiiForums Tanzania Ushawahi zurura kweny simu yako ukakuta neno "NFC" au watumia infinix okay

    USHAWAHI ZURURA KWENY SIMU UAKO UKAKUTA NENO "NFC" 🥲 AU WATUMIA 😂 INFINIX okay NFC NI KIFUPI CHA (Near Field Communication) NFC ni teknolojia ya wireless communication inayoruhusu mawasiliano kati ya vifaa viwili vilivyo karibu (karibu cm 4–10). Inatumika wapi? Kufanya malipo (e.g...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Wanaotuma na kupokea pesa kwa mitandao ya Simu waongezeka

    WANAOTUMA NA KUPOKEA PESA KWENYE MITANDAO YA SIMU WAMEONGEZEKA Sekta ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeendelea kukua ambapo takwimu zinaonesha kuwa laini za simu zilizosajiliwa zimeongezeka kutoka milioni 73.5 kwa mwezi Aprili, 2024 hadi laini milioni 90.4 mwezi Aprili, 2025 sawa na...
Back
Top Bottom