Mechi ya kiporo ya TRA SC dhidi ya Simba SC inatarajiwa kupigwa jioni saa 10:00 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Stadium, ikiwa ni sehemu ya mashindano ya NBC Premier League, ambapo timu zote zinatarajia kuonesha ushindani mkali kusaka alama 3 muhimu.
Kikosi cha TRA United SC
Kikosi cha...
Hii tabia imekuwepo muda mrefu sana, kuna kipindi Mkude alikuwa akisifiwa sana wakati yeye alikuwa chanzo cha makosa mengi, walimsifia mpaka viongozi wakawa wanaogopa kumwacha kwa kuwaogopa mashabiki.
Baadae akaja Shabalala pamoja na magoli mengi yalikuwa yanatokea kwake bado mashabiki...
Tayari Mo Dewji amepeleka mapendekezo kwenye bodi ya udhamini kutaka kujenga uwanja kwe uwanja wa Bunju. Simba imepata katiba mpya ambayo inataka mchakato wa uwekezaji uanze upya baada ya logo ya Simba ithaminiwe upya kupata thamani halisi ya Simba.
Pia imeondoa neno mwekezaji na kuwa...
Mnaojua kiswahili mtasahihisha kichwa cha habari. Mwaka 2020 katika mashindano ya shirikisho Simba iliyokuwa ya moto ikitembeza pira biriani iliwapa vipigo Azam Fc 4-0 na Yanga 4-1.
Cha ajabu mechi ya yanga wameiacha ila mechi yao waliyobamizwa wameiondoa hii inamaanisha nini ina maana wanataka...
Bila shaka Wanalunyasi mtakuwa mnatamani kupata kiongozi kijana ambaye ana maoni makubwa juu ya klabu yenu kama ambavyo Yanga wamewatesa misimu hii minne mfululizo baada ya Engineer Hersi Said kuchukua kijiti cha Rais wa Klabu baada ya Mshindo Msolla.
Mnahitaji uongozi wenye maono, uwezo wa...
Kodi lazima ilipwe na watu wote wa dini zote, makabila yote na hata mashabiki wa timu zote.
Inafahamika kuwa taifa la Tanzania limegawanyika kati ya wanaume na wanawake, wakristo na waislam na pia mashabiki wa Simba na Yanga. Hii inamaanisha kuwa kwenye jambo la kitaifa usiingize jinsia...
Mechi ya Simba dhidi ya Tabora United inachezwa uwanja wa General Isamuhyo
=====
Timu ya Simba imeichapa TRAUnited magoli 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo na hivyo kujiweka kwenye mazingira mazuri ya kukimbizana na Yanga (inaongoza ligi, pointi 38...
Hakuna mtu mwenye akili timamu ambae hajui kwamba TFF na Bodi ya ligi wana upogo kwenye kupanga ratiba za mechi, waamuzi na adhabu mbalimbali. Upogo wao huu haupangui matokeo ya ligi badala yake unazidi kuidhoofisha timu yao.
Mechi kali ya Ligi jioni ya leo inapigwa Mwanza katika dimba la CCM Kirumba
Kikosi cha Simba Sports Club kitawakosa washambuliaji wake wawili dhidi ya Pamba JIJI FC, Baraka Mwangosi na Seleman Mwalimu.
Mwangosi aliumia kwenye mechi dhidi ya Singida BS na hajasafiri kwenda Mwanza wakati...
Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca amesema kuwa Mzee wake alikuwa si mtu wa kupenda sherehe kabisa jambo lililopelekea asihudhurie harusi hata ya mwanaye mmoja.
Anasema hawakumshangaa kwani hata harusi yangu haikuwa na sherehe kabisa, walitoka kanisani wakaenda kunywa soda, wakarudi nyumbani Mama...
Kutokana na Mvua kubwa kunyesha, Mechi ya Simba na Tabora iliyokuwa ichezwe leo, 14 Machi 2026 imeahirishwa hadi itakapopangiwa ratiba na bodi ya ligi
Hayo yamesababishwa na uwanja kujaa maji na mpira kushindwa kudunda
Uamuzi huo umetolewa na Mechi Kamishna baada ya vikao vya pande zote 2
Hakuna timu ambayo inataka mechi yake ya nyumbani ya Simba na Yanga ichezwe saa 8 mchana. Hakuna mdhamini wa timu ambae anapenda mechi ya timu inayoidhamini icheze mechi zake na simba na yanga saa 8 mchana. Mwenye haki ya matangazo asilani hawezi kukubali mechi za simba na yanga zichezwe mchana...
Hapo vip!
Ukitazama kwa jicho latatu unaona kabisa hizi faini wanazopigwa Simba sio haki,ila nikwasababu wanajua club ya Simba inapesa hivyo wanatengeza faini za kijanja ili hiyo bodi inayongozwa na viongozi maskini wapate mkate wa chai.
Ni wazi bodi inaibeba Yanga katika vitu vingi ila Simba...
Mwigulu Madelu Lameck Nchemba kama waziri mkuu ingawa hawakushinda ubunge wala urais, anatakiwa awe makini na anachosema vinginevyo haya mambo yatamharibia na siku moja atajikuta katika hatari kubwa ambao hataweza kutoka hapo.
Mwigulu alitoa idadi kubwa ya gas station zilizoharibiwa kama 600...
HAPO VIP!
YANGA TOKEA DUNIA IUMBWE HAIJAWAHI KUINGIA TOP 10 ZA CAF KAMA TIMU BORA NA KUBWA BARANI AFRIKA.
TIMU BORA NA KUBWA NDANI YA NCHI YA YAKE NA NJE YA NCHI YAKE NI TIMU AMBAYO INAFANYA VIZURI KIMATAIFA:
SIMBA IMESHAFIKA NUSU FINAL YA CLUB BINGWA MWAKA 1974,FINAL YA SHIRIKISHO MWAKA...
Ukitizama uchambuzi wa mitandaoni sasa ni habari za Iran na Marekani na Israel.
Hakuna uchambuzi au kelele au shamlashamla kuelekea mechi ya derby itakayopigwa jioni.
Hakuna habari yoyote ya Bongo inayotrend kwa sasa
Naaam hayawi hayawi Sasa yamekua !! Asiyekia na mwana basi aeleke jiwe " hayo Si maneno yangu NALIA NGWENA aka Under cover Bali ni maneno ya Wahenga, na sipo hapa kutabili kama shekhe yahya Bali nazungumza kama mwanasayansi Wa Mpira ukipenda niite Isack Newton kwenye ulimwengu Wa Mpira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.