simba

  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Hakuna kazi ngumu kama kuwatetea Simba na coach Fadlu

    Simba imepokea kipigo cha 6 mfululizo na coach Fadlu akifingwa mara 4 mfulilizo peke yake bila kupata goli lolote Kwa Yanga, Coach Fadlu amefungwa na makocha 4 tofauti wa Yanga Gamondi kamfunga Ramovic kamfunga Milouf Hamdi kamfunga Roman Folz kamfunga Tuliaminishwa 1. Usajili huu kuafanya...
  2. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Simba wangetubu tu

    Waseme lile 'goli' la Yanga dhidi ya Mamelodi lilikuwa goli au siyo goli? Tofauti na kutubu hili suala haya yanayowapata litaendelea.
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hapo katikati Mashabiki wa Simba walianza kunenepa. Sasa Tabu imerudi tena

    Hali naambiwa kwa Tanzania ni mbaya mashabiki wa Simba wameanza kukonda na kukosa raha. Hapo katikati walianza kunenepa baada ya Ligi kusimama. SASA LIGI IMERUDI TAABU IPO PALE PALE.
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Game imeisha. Simba watakachoweza ni kupunguza idadi ya Magoli

    Watake wanafungwa, wasitake wanafungwa. HAMNA NAMNA WATAEPUKA KIKOMBE HIKI. YANGA TUMEKWEPA MITEGO YAO YOTE.
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Simba ikishinda leo hii Adhabu nipate kwa wiki mbili mfululizo

    Kama kawaida Yanga tunaenda mchukua mwali wetu tujimwaye mwaye naye msimu huu wote. Leo ndo tunakabidhiwa mwali. Naweka hili bandiko hapa. Simba ikitokea leo ikamfunga Yanga niwe banned kwa wiki 2 mfululizo. Najua kuna watu wanaweza jiua kwa kukosa nyuzi zangu za kuelimisha hapa jukwaani...
  6. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Kama ule ndio mpira wa Simba, natamani ifungwe kesho ili Fadlu afukuzwe

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, Kama ule mpira waliocheza Simba siku ya tamasha lao ndo mpira wao kwa msimu huu, naomba kesho tufungwe ili kocha Fadlu afukuzwe mapema. Timu haieleweki inacheza vitu gani, Hadi unajiulza, "Sasa huko pre season walienda kufanya Nini?? Mazoezini wanafannya...
  7. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Simba imetoa taarifa kwa umma kuomba radhi mashabiki wake kushindwa kuvumilia utani wa Yanga SC

  8. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Kutumia Numerology Simba Kesho itashinda

    Kwenye numerology, tunatumia namba zinazohusiana na majina au matukio ili kutabiri matokeo au mwelekeo wa jambo fulani. Hapa, unaweza kuchambua kwa kutumia majina ya timu au tarehe ya mechi. Hebu tuone jinsi tunavyoweza kutumia numerology kwenye mechi hii. 1. Tarehe ya mechi: Jumanne Septemba...
  9. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Simba Sc imefungiwa kuingiza mashabiki kwenye mechi moja ya nyumbani ya CAF CL

    Maamuzi ya CAF yametokana na mashabiki kuvunja utaratibu kwenye mechi ya CAF CC dhidi ya Al Masry. Mechi dhidi ya Gaborone Utd ya Sept. 28 haitakuwa na mashabiki
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 niliyoona kuhusiana na matamasha ya Simba Day na Yanga Day

    Hii ni tathmini yangu ya mambo 10 tuliyoyashuhudia katika matamasha ya Simba Day na Yanga Day. 1. Ni wazi mauzo ya jezi mpya za Yanga siyo mazuri. Jezi za Simba zimeuzika saana. Kuna tukio la Yanga la ugawaji jezi mpya bure kwa waliojitolea kutoa damu halafu anayesimamia ugawaji wa hizo jezi...
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Vibe la SIMBA ukiwa wa YANGA na tafsiri za kiroho

    Lissu kiroho ni SIMBA kiushabiki ni YANGA.. Lissu ni mwanamageuzi kindakindaki kupitia CHADEMA.. Timu yake ya YANGA Ina vinasaba na CCM anapata tabu sana. Lakini kwa hakika akipewa machaguo mawili kati ya yanga na CHADEMA! Kwa asilimia 100 atachagua CHADEMA Tamasha la SIMBA day limetoa...
  12. mngony

    JamiiForums Tanzania Mdhamini wa Jezi za Simba alitoa ahadi ya kusajili mchezaji yeyote Klabu ikimtaka, Je imekuwa hivyo?

    Hij ahadi aliyeutia Boss wa kampuni siku anatambulishwa rasmi kuwa mdhamjnj mpya wa Jezi, Je wanaSimba tunaikumbuka vizuri? Kuna wachezaji kadhaa Simba imewakosa kwa kushindwa kufika Dau au wengine kuzidiwa Dau na timu nyingine. Jeuruti kashindwa au alitoa ahadi ya uongo? Huu ni kama utapeli...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Watu 7 wafariki dunia kwa ajali wakitoka kufurahia Simba Day

    Watu saba(7) wamefariki baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugonga lori lililokuwa limeharibika na kusimama barabarani katika Kijiji cha Kongo kata ya Bukwe wilayani Rorya, mkoani Mara. Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo Septemba 11, ambapo watu hao saba walikuwa kwenye gari dogo aina ya...
  14. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kwanini MO havai jezi yenye wadhamini wakuu wa Simba Sports ambao ni kampuni ya kamari ya Betway?

    Tiririka & serereka.
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania GE2025 Asanteni Simba yangu kwa kuturejeshea furaha japo ya muda

    Kuna kitu kilichokuwa kimekosekana nchini.. Furaha ya kweli, Furaha ya asili Furaha halisi Furaha at free will..! Furaha ya hiari Watu Leo wamerindima na kufefea vibe kama lote toka moyoni Makusanyiko ya hivi karibuni pamoja na kuwa na rangi yenye kumaanisha uhai.. Lakini yalikuwa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Ila Simba eti wanaingia kwa Mkapa kama Mazombie

    WanaSimba Wanakuja kama Mazombie kwa Mkapa🦁 Leo hadi Simba day iishe tutaona mengi sanaa 😂 😂 😂 😂
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mashabiki DRC wang'oa viti Uwanjani baada ya timu ya taifa kufungwa na Senegal

    Mashabiki wa DR Congo wameharibu Uwanja wao kwa kuvunja na kurusha viti baada ya timu ya taifa kushindiliwa mabao 3-2 na Simba wakali toka hifadhi ndogo ya Wanyama ya Teranga Senegal nyumbani kwao. DR Congo walikuwa wakiongoza 2-0 kabla bao hizo mbili kuchomolewa kisha wakafungwa na jingine...
  18. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba iangalie uwezekano wa kuleta wasanii wa kimataifa kutoka nje katika Simba Day zijazo

    Yanga kama ilivyo bibi yake CCM imehodhi wasanii wote wanaowika Tanzania. Hakuna haja ya Simba kupapatikia hawa wasanii wanaokuzwa na kulelewa katika misingi ya kisiasa. Simba huwa inaanza wengine wanafuata. Badala ya kuwapigia magoti hawa wasanii au kuokoteza underground, nadhani kuanzia msimu...
  19. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Simba day na msimu mpya 2025/26, unatamani Simba iwe ya aina gani kiuchezaji??

    Habari wakuu. Kuelekea Simba day Hapo kesho 7 sep 2025 na msimu mpya wa ligi kuu ya NBC, unatamani simba sc iwe ya aina gani kiuchezaji?? Mimi kila mwanzo wa msimu, huwa natamani sana kuiona Simba ikicheza mpira mzuri wa pasi na kasi. Natamani sana ile Simba ya Pira birian irudi. Yaani Simba...
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania Thamani ya Yanga ni Tsh. Bilioni 100, Simba ni Tsh. Bilioni 20

    Katika mkutano mkuu wa mwaka, thamani ya club ya Yanga imewekwa wazi kuwa ni billions 100 Yanga wanajiendesha Kisasa na uwazi kabisa, Yanga imekuwa ikifanya mikutano ya mwaka Kwa uwazi na kusoma mapato na matumizi na bajeti ya msimu ujao Hii ni tofauti Kwa mtani mbapo mara mwisho kufanya...
Back
Top Bottom