simba

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwijaku: Tokea Fred Vunjabei aweke Jezi mpya za Yanga zilidoda ila tangia aweke Jezi mpya za Simba anauza hadi anachoka kupokea Pesa

    Yaani Jezi zitengenezwe Italia zisiuzike halafu zile zilizotengenezwa Tandahimba na kupigwa Chapa Tandale ndiyo ziuze?
  2. Mributz

    JamiiForums Tanzania NANGU ATUA SIMBA KUTOKA JKT

    🚨 𝐔𝐬𝐚𝐣𝐢𝐥𝐢 𝐔𝐦𝐞𝐤𝐚𝐦𝐢𝐥𝐢𝐤𝐚: Wilson Nangu (22) amejiunga na Simba SC kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea JKT Tanzania. 🇹🇿✨ Kijana huyu mwenye uwezo wa kucheza nafasi nyingi anatarajiwa kuwasili Dar es Salaam leo kwa ajili ya utambulisho rasmi. Atavaa jezi namba 31 akiwa na Wekundu wa Msimbazi! 🔴⚪...
  3. veyra

    JamiiForums Tanzania Manara Akanusha Taarifa za Kurejea Simba, Asema Moyo Wake Upo Yanga

    Mkurugenzi Mtendaji wa Manara TV na mwanachama wa Klabu ya Yanga SC, Haji Manara, amekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni zikidai kuwa anatarajia kurejea kufanya kazi katika klabu ya Simba SC. Akizungumza kupitia Manara TV, Manara alisema kuwa taarifa hizo si za kweli na kwamba bado...
  4. D

    JamiiForums Tanzania hizi jezi za Simba, mbele wapi? nyuma wapi? mbona hazieleweki.

    I will be short hizi jezi , mbona kama makengeza, mbele wapi, nyuma wapi?? mcheki kapombe amkuwa kama kanyongwa , ajulikani kageuka mbele au nyumA.
  5. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Simba tunawasubili mzindue na za kiume hizi mlizozindua mbona ni za kike tu

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Asanten sana LONDON BOY
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Haji Manara kurejea Simba, na Ahmed Ally kupandishwa cheo

    Habari za uhakika ni kuwa Haji Manara amekubali kurejea Simba, Baada ya Rais wa Club hiyo Mo Dewji kumuomba msamaha sana ili arejee Haji Manara ilikuwa aonekane Leo kwenye uzinduzi wa jersey za Simba, lakini kutoka na malipo yake kutoka Kwa Mo Dewji kucheleweshwa, Sasa ni dhahiri tutamwona...
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania Joash Onyango Ajiunga na Kenya Police FC, Umri Wake Wazua Mjadala

    Beki mkongwe mwenye jina kubwa katika soka la Afrika Mashariki, Joash Onyango, amezua gumzo mara baada ya kujiunga rasmi na kikosi cha Kenya Police FC akitokea timu ya Dodoma Jiji ya Tanzania. Onyango, ambaye amewahi kung’ara na miamba wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC na Singida Black Stars...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yanga waanza kupendelewa na kulindwa huku simba wakikaziwa nati, Je ndio kazi ya zile milioni 100 ?

    1. Yanga imeruhusiwa kuwa timu pekee kuutumia uwanja wa Mkapa na mechi zao ni saa moja jioni watu wakiwa wametoka kwenye shughuli zao, Simba wataendelea kutumia uwanja wa KMC mechi za saa kumi. 2. Yanga wanaanzia nyumbani, Simba ugenini. 3. Derby ya kwanza inapigwa kwa Mkapa mwezi wa 12...
  9. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Bahari Beach Simba road

    Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta. Sifa za Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio. *Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master. *Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1833. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 900...
  10. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Nimeona gorikipa Goalkeeper Yakoub Suleiman akienda simba imenipa mwaswali magumu sana

    Sijui niseme tatizo ni uongozi unaosimamia huyu kijana, Au niseme ni tamaa ya fedha, Au sijui dogo kapenda kwenda kwenye timu kubwa, Sijui timu yenyewe ya JKT ndio hawajielewi. Kiufupi huyu kijana kafanya makosa makubwa sana, Tena haya makosa yamejirudia ndani ya mwaka huu rejea mkasa...
  11. Mbabani

    JamiiForums Tanzania Namba 10 pale Simba kitaalamu

    Kwa ufupi sana. Simba wamemkosa Feisal pendekezo la kocha Fadlu, lakini pia uwezekano wa kumpata Allan Okello ni mgumu. Fadlu ameonesha bado anahitaji mchezji wa kuamua mechi kubwa na kutengeneza nafasi ndani ya 18. Clatous Chota Chama bado anao uwezo wa kufanya mambo makubwa pale simba...
  12. PLOII

    JamiiForums Tanzania Kwa 100% bingwa wa EPL ni Arsenal NBC wana Lunyasi bado, MO ana Drama sana kasajili nini? Anavuna asipopanda na ngojera ya 87B

    Habari Wana Sports, Kiukweli mwaka huu Arsenal imefanya sajili Bora sana ingizo la striker Victor ndani ya Chama letu inatupa confidence ya kusepa na makombe mwaka huu. Imagine Victor yupo pale mbele left Kuna TEMINADO SAKA right MADUEKE. Declan Rice anakichafua Dimba la chini na juu pale...
  13. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba wasema hawatacheza ngao ya jamii tarehe 16 walisepa season 2, hatuchez season 2

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Zaaaaa ndaniii kabisa ni kwamba makolo wamepima kina cha maji wameona watazama tena, hivyo wametafuta kila aina ya sababu ya kukimbia ngao ya jamii na wameipata Kwahiyo wamesema tarehe 16 watasepa season 2 hawaleti team Simba acheni uoga...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba kumuaga Mkude ni kumnanga na kujikosha tu, asikubali

    Simba walikuwa na muda wa kuwaaga Bocco na Mkude kama wangetaka kuwaaga wakati ule walipopanga kuwaacha kwakuwa kumuacha mchezaji sio dharura wala ajali. Zawadi inakuwa na maana na faida kama itatolewa kwa kuambatana (paired) na tukio linalozawadiwa.(Ivan Pavlov, Thorndike). Kuwaaga Sasa is...
  15. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu jezi za Simba ni huu

    Nitalielezea hili jambo kwa ufupi sana, mengine mtajalizia wenyewe. Nimeacha kuongelea sana soka la Tanzania maana wababaishaji ni wengi, kuanzia viongozi, wachezaji, wachambuzi na waandishi wa habari hadi mashabiki. Kiufupi ni kwamba jezi za Simba zinazoenda kuzinduliwa J5 ni zile zile ambazo...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini jezi za Simba zizinduliwe Superdome Masaki, 'sisi' wa Msimbazi sio muhimu?

    Wenye fedha ndio muhimu msimu huu hapa Simba. Uzinduzi wa jezi za Simba umewalenga wao tu sisi wa Tandale tusubiri masazo baada ya vibopa kuzivaa kwanza. Hii imetudhalilisha vibaya sana sisi tunaopaka rangi nyekundu usoni viwanjani wakati wa mechi. Naomba matajiri waende kuishangilia timu...
  17. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Sisi ni simba wa Yuda: Makanisa yanakubalije kanisa la Gwajima kufungiwa wao wakiwepo? Ule upendo wa Kristo unaohubiriwa umeishia wapi?

    Mughonile! Roman Catholic, Lutheran, Anglicana, Wasabato, Walokole na Wakristo wengine. Mnakubalije Ukristo kufanywa Kama nyumbu wakati sisi ni simba wa Yuda. Kanisa la wenzetu limefungiwa kisa kosa la mtu mmoja ambalo sio kosa kwani alikuwa anahubiri injili ya kukemea maovu ya watekaji. Padri...
  18. ngara23

    JamiiForums Tanzania Sina uhakika kama diadora ndo watengezaji wa jezi za Simba

    Nimeona jezi za Simba alizitengeza diadora zikiwa mbaya mno. Nina wasiwasi kama kweli jayrutty alitwambia ukweli kama diadora ndo atakuwa na mashirikiano nae ili wazalishe jezi Bora Diadora ni kampuni kutoka Italia na imejijengea heshima kubwa hasa kuvalisha mastaa wakubwa wa mchezo wa tennis 🎾...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Jezi mpya za Simba zimevuja, Kama ni kweli ndio zile ni nzuri sana ila bado watu wabaya hawajafa ndani ya timu yetu na tujiandae kudhalilika tena

    Baada ya wao kutoa jezi mbovu, zinizi na ubora wowote, inasemekana jezi mpya za Simba zimetoka, wanaozipost ni washabiki wa Yanga pamoja na mwandishi kanjanja İbrahim Ambokile. Kama kweli zile ni jezi za Simba nimezipenda na nitazinunua za rangi zote, ni jezi zenye Quality ya kutosha, yule Ali...
  20. hydroxo

    JamiiForums Tanzania Wanayanga wenzangu tusikubali kuingia kwenye mtego wa mashabiki wa simba kuhusu jezi zetu mpya

    Mara baada ya Yanga kutangaza jezi zake mpya za msimu huu wa 2025/2026 wameibuka baadhi ya mashabiki wa simba na kuanza kuziponda jezi za yanga na kusema ni mbaya. Ubaya ni kwamba bila kufahamu the motive behind,baadhi ya mashabiki wa yanga nao wameungana na wale wa simba kwenye kuzisema jezi...
Back
Top Bottom