Simba wangetubu tu

Simba wangetubu tu

Waseme lile 'goli' la Yanga dhidi ya Mamelodi lilikuwa goli au siyo goli? Tofauti na kutubu hili suala haya yanayowapata yataendelea.
Makolo mbona walishatubu.

Kuhusu lile goli walishakubali kwamba ni goli na wakasema Yanga tulionewa.

Hiyo ni baada ya yule refa kuwafanyia figisu kwenye fainali yao ya shirikisho na Berkane.

Walikubali hili tuungane wote tumseme yule refa japo tuliwakataa kiaina kwa kuwaambia lile la Ki Aziz halikuwa goli refa alichezesha fair kabisa hivyo kolos komaeni wenyewe na malalamiko yenu kwa refa msituhusishe na sisi.
 
Nimetoka kuangalia high light ya hiyo mechi , japo kwa ufupi , hiyo game simba wamecheza vizuri mno , kuhusu lile goli bila VAR ni ngumu sana kufahamu kama sio halali au ni halali , ila binafsi nimeona offside, kama vile pacome kuzidi kwake kulimzuzua kipa na kupoteza umakini japo hakucheza mpira wa kwanza yeye🤔

Ni maoni yangu tu.
 
Imeisha hiyoo watoto wa ngungu boy.

Jipangeni tena kwenye ligi siku hazigandi.
 
Nimetoka kuangalia high light ya hiyo mechi , japo kwa ufupi , hiyo game simba wamecheza vizuri mno , kuhusu lile goli bila VAR ni ngumu sana kufahamu kama sio halali au ni halali , ila binafsi nimeona offside, kama vile pacome kuzidi kwake kulimzuzua kipa na kupoteza umakini japo hakucheza mpira wa kwanza yeye

Ni maoni yangu tu.

Hakuna sheria inayohukumu offside kwa kumzuia mtu au mchezaji bali mchezaji aliyezidi akiuingilia mchezo ni offside. Kama hakuuingilia mchezo hadi pale Maxi alipokuja kuingilia mchezo maanake imevunja position ya awali ya Pacome.
 
Hiyo sheria ipo ,kama mchezaji alie zidi akimzuia kipa au mchezaji mwingine hata kama hana mpira ni clear offside
 
Makolo mbona walishatubu.

Kuhusu lile goli walishakubali kwamba ni goli na wakasema Yanga tulionewa.

Hiyo ni baada ya yule refa kuwafanyia figisu kwenye fainali yao ya shirikisho na Berkane.

Walikubali hili tuungane wote tumseme yule refa japo tuliwakataa kiaina kwa kuwaambia lile la Ki Aziz halikuwa goli refa alichezesha fair kabisa hivyo kolos komaeni wenyewe na malalamiko yenu kwa refa msituhusishe na sisi.
Ila bongo Kuna ujinga na vibweka sana sikuakini eti kipindi kile mashabiki wa Yanga wanaosema refa hawakuwaonea .

Kuna mmoja eti alisema amecheki marudio Goli la Aziz Ki walinyimwa kihalali na kumuomba Msamaha refa ,yote hayo kumkomoa Koloz
 
Tatizo kolo wakati sisi tunafanyiwa unyamela na bwana Beida Dahane wao walikuwa upande wa Dahane kwamba lile sio goli tena walimtetea mwanzo mwisho.

Yalipokuja kuwakuta japo uhalisia simba walizingua wenyewe eti kolo wakakubali lile ni goli hili tuwasaidie kumsema ndugu Dahane,hapo ndipo tulipomkataa kolo.
 
Back
Top Bottom