Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,892
- 17,648
Naomba sana kwa mungu hili timu lifungwe limekosa utu mashabiki zake wameuwawa kinyama hata kupost tu halijapost salamu za rambi rambi haya matimu simba na yanga Mimi nayachukia sana Kwa kuisaidia ccm kutawala nchi lazima simba ifungwe leo