Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,211
- 22,897
Yaani wajitahidi wafungwe angalau 3 tu maana inaonekana kuna baos 5.na mbinu pekee ya kuwasaidia ni kukabia juu sana. Wakakabie katika goal la Berkane kabisa.
Yaani Simba wakakabe hasa lango mwa Berkane mpira usiwe unavuka hata ile D Sababu ukivuka tu bao. Simba hawana kipa. Wana shati tu pale langoni.
Na leo kuna makosa watafanya mabeki ya kiduanzi sana kisha Berkane watawachapa nao kinyama. Berkane hii game wanamaliza kwao kisha Zanzibar wataenda tu kutalii na kuogelea wakila urojo.
Game si ngumu kwa Berkane. Ni game rahisi sana. Kipindi cha kwanza wana bao 2 na cha pili wana bao 3. Jumla 5.
Ila kama Simba watakabia juu. Basi zinaweza pungua hadi. 3 au 4.