Hebu tafakari kama tungechukua kombe kila kiongozi wa serikali angeanza na neno gani kwenye huo ushindi.
Nafikiri hata wachezaji wangesahaulika kupongezwa.
Update: Yametimia, ingida wamenyimwa Penati 2
Red Card za mchongo kwa Singida
Singida kunyimwa penati
Refa kuwapa simba penalty za kujidondosha
Magoli ya offside
dakika kuongezwa 15
Singida wakitaka kufunga ni offside
Hapo vip!!
Ni wazi na Dunia imeshuhudia Simba ikiibiwa ubingwa na Refa,tena kwa ushetani wa hali ya juu..hili halikubaliki na Viongozi wa Simba simameni kidete juu ya hili.
mazingira na ushahidi huu inatosha kumvua barkae ubingwa.
1.Kunzaia hatua na maamuzi ya CAF kumchagulia Simba uwanja wa...
CAF KUFANYA UCHUNGUZI DHIDI YA SIMBA SC NA BAADHI YA VIONGOZI WAKE [emoji2073][emoji3544]
Kwa mujibu wa taarifa za awali, Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limeanza uchunguzi rasmi juu ya matukio yaliyotokea kabla ya fainali ya mkondo wa kwanza na baada ya fainali ya mkondo wa pili ya...
BANA WEWEE USITUKANE MAMBA UJAVUKA MTU
MSIKILIZEE MWAMBA ANAVYOSEMA
YANGA WALIVAA SHANGA
MEDALI BILA KOMBE KAMA SHANGA TUU
WAO WANALETA KOMBEEE
WAMEISSHIAA
KUJA NA SHANGA ZILE ZILE LOH
Kutokana na makosa ya kujirudia ambayo viongozi wa Simba na Mashabiki wamekuwa wakifanya.
CAF itawapa Simba adhabu hiyo baada ya maonyo na faini ambazo wamekuwa walipewa
Adhabu nyingine, Simba atatakiwa kulipa faini ya dollar million 1
Mashabiki wa Simba walifanya vitendo visivyo vya kiungwana...
Tuwapongeze Simba kwa pale walipolifikisha taifa letu kisoka, kidemokrasia na kiuchumi. Timu zetu bado ni "feeder clubs" kwa timu za kaskazini lakini tumejotahidi kuivuta Africa na dunia kuelekea Tanzania kisoka.
Simba tusitafute mchawi kulikosa kombe la CAF kwakuwa wachawi tunawafahamu wote...
Bingwa wa shirikisho hupata 2 million USD, ila cha kushangaza gharama za motivation, bahasha na nguvu kubwa aliyoitumia Bwn Kanji ili tu kuiprove wrong Young africans inafikia zaidi ya 5 million USD. Tetesi kutoka vyanzo vya kuaminika vinadai Bwana Kanji ameapa kurejesha pesa zake kwa namna...
Nimeshangazwa kama sio kusikitishwa na andiko la Naibu Waziri
Kilocho nishangaza Naibu Waziri anashangaa na maamuzi ya mwamuzi , lakini katika Ligi yake ya ndani maamuzi kama hayo yamekuwa yakifanyika na Simba amekuwa amekuwa kimyaaaaa
, Mechi ya mashujaa inatosha kabisa kuonesha kuwa huyu...
Sintofahamu iliibuka kati ya walinzi wa Simba na wageni ambao hawakufahamika katika chumba cha waamuzi kubadilishia nguo baada ya mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho Afrika kumalizika kati ya Simba na RS Berkane.
Mtaaaaniiii YAAANI NASHAURI wiki hiii nzimaa msishinsane na Wana Simba popote Wana stress kubwaa kiasi cha kwamba
Kesho ASBH USISHANGAE kusikia MAGAZETINI
"SIMBA YAJIUNGA NA CHAUMA"""
Tusihadaike kwa maneno ya wanasiasa na vipichapicha vya hapa na pale, ukweli ni kwamba Simba imecheza mechi zake zote mbili za fainali ikiwa ugenini.
Simba imefanyiwa umafia mkubwa sana katika fainali hii kuanzia nje ya uwanja na hadi leo uwanjani kwa upande wa uamuzi.
Hili jambo...
Kama ni kukosa sio mara ya kwanza hata mtani na yeye alikosa, alipoishia tumepafikia hakutakuwa na zile kelele za abiola cup ya miak 30 iliyipita.
Tujipange kwa msimu ujao LIGI YA MABINGWA
Huu ndio msimamo wa 5 year Ranking, hata Pyramids ya mzee wa kutetema ikishinda watakusanya points 47...
Huyu bwana anaweza kuwa na mkosi. Anabwabwaja sana lkn timu yake haipati makombe ktk kipindi hiki. Watu wa Simba amkeni, pengine mmeingiliwa na migundu
Ninauliza kama kuna namna yoyote Simba inaweza kuingia upya kwenye mashindano haya msimu ujao.
Mashindano ya Caf Champions ni magumu sana, tumechoka kuishia robo fainali
Uzi huu ni kumbukizi ya historia na hauhusiani na uzi wa matokeo ya leo.
Mnakumbuka ule msemo wa kichwa cha mwendawazimu? Basi hilo jina walipewa makolo baada ya kudufuliwa na kutolewa wakiwa kwao kwenye fainali ambayo wao hulazimisha kuiita shirikisho.
Shuhuda wa aibu hiyo alikuwa rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.