geofreyngaga
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 667
- 974
Mimi sio mchambuzi mzuri wa soka ila nachojua au kuamini ni ngumu sana kumfunga simba nyumbani na ukiangalia takwimu ni kama haiwezekani hata ndroo pia ngumu kwa timu ngeni.
Kwa msingi huo nilikua naombea kama Simba itafungwa leo basi zisizidi zaidi ya goli 2 sbb simba inauwezo mkubwa wa kupindua matokeo akiwa home.
Na kwa msingi huo huo na amini simba itashinda nyumbani kwa matokeo ya jumla na kuwa bingwa wa CAFCC
Nta review hii post tarehe 25May,2025
God wish.