Desierto JF-Expert Member Joined Aug 26, 2019 Posts 899 Reaction score 3,109 May 28, 2025 #1 Hebu tafakari kama tungechukua kombe kila kiongozi wa serikali angeanza na neno gani kwenye huo ushindi. Nafikiri hata wachezaji wangesahaulika kupongezwa.
Hebu tafakari kama tungechukua kombe kila kiongozi wa serikali angeanza na neno gani kwenye huo ushindi. Nafikiri hata wachezaji wangesahaulika kupongezwa.
T The lariat JF-Expert Member Joined May 16, 2025 Posts 1,351 Reaction score 1,925 May 28, 2025 #2 Bungeni kungekua na mambo mawili tu. 1. Gwajima 2. Simba Bahati nzuri Barkene wametusaidia
B Bokera Senior Member Joined Jan 14, 2018 Posts 112 Reaction score 83 May 28, 2025 #3 Nampongeza mama kwa ushindi wa simba
D delako JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 3,050 Reaction score 2,141 May 28, 2025 #4 Hakika Berkane wametuheshimisha Sana
Surya JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 10,000 Reaction score 16,201 May 28, 2025 #5 The lariat said: Bungeni kungekua na mambo mawili tu. 1. Gwajima 2. Simba Bahati nzuri Barkene wametusaidia Click to expand... Anguko la simba kupote kombe litafanana na anguko la Samia
The lariat said: Bungeni kungekua na mambo mawili tu. 1. Gwajima 2. Simba Bahati nzuri Barkene wametusaidia Click to expand... Anguko la simba kupote kombe litafanana na anguko la Samia