simba

  1. JamiiForums Tanzania Muhogo mchungu kweli... Kama wizara mngekemea madudu ya TFF na bodi ya ligi kwa mechi na Simba mngejua hakuna lawama mechi ya jana

    Nimeshangazwa kama sio kusikitishwa na andiko la Naibu Waziri Kilocho nishangaza Naibu Waziri anashangaa na maamuzi ya mwamuzi , lakini katika Ligi yake ya ndani maamuzi kama hayo yamekuwa yakifanyika na Simba amekuwa amekuwa kimyaaaaa , Mechi ya mashujaa inatosha kabisa kuonesha kuwa huyu...
  2. JamiiForums Tanzania VIDEO: Wasiojulikana wavamia Chumba cha Waamuzi, sintofahamu yazuka na Walinzi wa Simba baada ya Fainali ya Kombe la Shirikisho

    Sintofahamu iliibuka kati ya walinzi wa Simba na wageni ambao hawakufahamika katika chumba cha waamuzi kubadilishia nguo baada ya mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho Afrika kumalizika kati ya Simba na RS Berkane.
  3. JamiiForums Tanzania MSemo wa Ubaya ubwela mbona siusikii leoooyaani wana Simba walivyo na stress leo usishangae kesho asubhi "Simba yajiunga na CHAUMMA

    Mtaaaaniiii YAAANI NASHAURI wiki hiii nzimaa msishinsane na Wana Simba popote Wana stress kubwaa kiasi cha kwamba Kesho ASBH USISHANGAE kusikia MAGAZETINI "SIMBA YAJIUNGA NA CHAUMA"""
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Simba imecheza mechi zake zote mbili za fainali ya CAFCC ikiwa ugenini

    Tusihadaike kwa maneno ya wanasiasa na vipichapicha vya hapa na pale, ukweli ni kwamba Simba imecheza mechi zake zote mbili za fainali ikiwa ugenini. Simba imefanyiwa umafia mkubwa sana katika fainali hii kuanzia nje ya uwanja na hadi leo uwanjani kwa upande wa uamuzi. Hili jambo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa bongo wapo fasta wameshatunga wimbo wa Simba kawa paka. Utani wa jadi mtamu

    Huu wimbo simba kawa paka umeniacha hoi sana. Kila msiba wasanii wanautungia wimbo fasta
  6. W

    JamiiForums Tanzania Siwaelewi wanasimba wenzangu walioumia kukosa ubingwa, hivi sasa Simba ni klabu ya tano kwenye 5 year ranking

    Kama ni kukosa sio mara ya kwanza hata mtani na yeye alikosa, alipoishia tumepafikia hakutakuwa na zile kelele za abiola cup ya miak 30 iliyipita. Tujipange kwa msimu ujao LIGI YA MABINGWA Huu ndio msimamo wa 5 year Ranking, hata Pyramids ya mzee wa kutetema ikishinda watakusanya points 47...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally ana gundu? Simba hawajabeba kombe tangu ajiunge nao

    Huyu bwana anaweza kuwa na mkosi. Anabwabwaja sana lkn timu yake haipati makombe ktk kipindi hiki. Watu wa Simba amkeni, pengine mmeingiliwa na migundu
  8. W

    JamiiForums Tanzania Kuna namna yoyote kwa Simba kushiriki kombe shirikisho msimu ujao ? Huku tutajipata ila sio Caf ligi ya mabingwa ?

    Ninauliza kama kuna namna yoyote Simba inaweza kuingia upya kwenye mashindano haya msimu ujao. Mashindano ya Caf Champions ni magumu sana, tumechoka kuishia robo fainali
  9. JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi Alishuhudia Fainali, Simba ikatuaibisha, Mtoto wa Mzee Mwinyi ameshuhudia yaleyale

    Uzi huu ni kumbukizi ya historia na hauhusiani na uzi wa matokeo ya leo. Mnakumbuka ule msemo wa kichwa cha mwendawazimu? Basi hilo jina walipewa makolo baada ya kudufuliwa na kutolewa wakiwa kwao kwenye fainali ambayo wao hulazimisha kuiita shirikisho. Shuhuda wa aibu hiyo alikuwa rais...
  10. JamiiForums Tanzania Poleni watani (Wana simba!)

    Mpira kwangu ni burudani tena haswa timu hizi mbili zikiwa zinacheza Yanga(chama langu), au simba(watani). Nichukue nafasi hii kuwapa pole wanasimba wote kwa kupoteza dhidi ya Berkane, kusema kweli mpira wa leo ulinipa kimuhemuhe kwani laiti watani wangu wangeshinda hakika Berkane wangepaa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Afadhali simba kafungwa ili tuepukane na kelele za wanasiasa

    Nimefurahi sana hakuna cha Mama wala nini,ni mwendo wa Spana za Gwajima na uchungu kwa wale wapendwa wetu waliopotea hatuna mda wa furaha mpaka Tundu lussu awe huru
  12. M

    JamiiForums Tanzania Karma ni Karma huwa inawatafuna sana wanafiki, refa aliyeinyima Yanga goli halali kule Afrika Kusini Simba wakakenua leo hii ndio analaumiwa

    Mashabiki wengi wa Simba ni awajielewi kabisa,,Leo hii wanapiga mayowe eti refa kawanyonga na wamesahau ni refa uyu uyu alikataa goli halali la yanga kule kwa madiba na wakakenua meno yote 32 nje? Goli lile laiti lingekubaliwa lingeipekeka yanga hatua ya nusu fainali ya klabu bingwa laana ambayo...
  13. JamiiForums Tanzania Simba wanakaribia kupiga treble ya kukosa vikombe vitatu 2025

    Mpira hauchwezwi kwenye mdomo. Captain Mohamed Hussein a.k.a Tshabalala alianza tambo mapema "tunapiga treble ya makombe matatu". Wanaojua mpira hawakumuelewa kabisa. Wakajiuliza mbona anatukana mamba kabla hajavuka mto? Msemaji wao Ahmed Ali naye akadandia hiyo hoja kichwa kichwa wakajipa...
  14. JamiiForums Tanzania Makombe yote yanaenda kwa waarabu kama maombi yetu sifa apewe Mungu

    Mungu fundi Mungu fundi Mungu hajawahi shindwa Yaan nilianza kuiombea pyramid ifike final Imefika nkaomba mungu asaidie wachukue na ubingwa Sasa wanasubiriaa tu masaa kubeba kombe Niliomtakia heri mayele afanye yake mashallah Sasa leo kama maombi na kichwa cha habari hapo juu Nakama...
  15. JamiiForums Tanzania Ushabiki wa Simba na Yanga ndiyo tumefikia huku????

    Habari za muda huu wana jamvi Je ni sahihi kwa hiki kilichofanyika uwanjani? Ule utani wa jadi uko wapi? Ushabiki utaenda kutugawa muda si mrefu tutaanza kuona watu wakipigana mapanga na kuuwana kisa ushabiki wa timu hizi mbili. Wasemaji wa hizi timu kuna namna wanasababisha haya mambo...
  16. JamiiForums Tanzania Simba sports Club ni Kama Mandonga,Ikishindwa Imeshinda na Ikishinda Imeshinda

    Sisi fans wala hatuna presha kabisa yani,target ilikuwa kufika Nusu Fainali,lakini tumepita lengo na kuingia fainali Maana yake ni kwamba tayar tumeshinda kufanikisha lengo letu,kwahiyo leo tunaenda Zanzibar tayar tukiwa washindi Ni hayo tu!
  17. JamiiForums Tanzania Wadau niende mbele nyie mrudi nyumanyuma. Leo Simba anakalia. Ama sivyo Ban ya Mwezi Mzima

    Sioni. Kila nikiangalia sioni Simba akichukua kombe. Yanga tumefanya kazi kubwa sana na hawa maarabu. Kwa kweli haitowezekana Simba kuchukua kombe. Labda kombe la uji au urojo huko Zanzibar. Nawashauri watuletee Tende na Halua tu.
  18. JamiiForums Tanzania Je? Simba Leo Kupita na Upepo Wa Mabigwa Wapya?

    Msimu huu hasahasa huko Ulaya kumekuwa na wimbi la timu kadhaa kuchukua makombe mbalimbali baada ya kukaa muda mrefu bila kuchukua. Timu kama Newcastle United, Tottenham Hotspurs, Crystal palace, Bologna Fc 1909 Wamechukua makombe mbalimbali. Hata kwenye Uefa champions league huenda Paris...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Simba anashinda goli 4 na anachukua ubingwa leo

    Wakuu Uzi ndo umeisha hivo. Kipindi cha kwanza Simba anashinda moja au mbili then kipindi cha pili anashinda 3 au mbili jumla goli 4. Nimemaliza
  20. JamiiForums Tanzania Simba 3, Berkane 2

    Simba 3, Berkane 2. Uwanja wa Aman Complex Zanzibar. Tarehe 25 May 2025. πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…