Israeli ni simba dume katika kundi la Nyumbu

temoin

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2025
Posts
311
Reaction score
708
Kapiga au kapigwa? Hiyo ni siri ya jeshi

Lakini kitendo cha israeli kuivamia Iran na kupiga vinu vyake vya nyuklia ilikuwa ni ushindi mkubwa kwao pasipo kujali kama mashambulizi ya Iran kwa israeli yalileta madhara kiasi gani.

Kauli za kejeli na za kutatanisha kutoka kwa kiongozi mkuu wa Iran kuwa ataifuta israeli katika uso wa dunia hazikupaswa kuvumbiwa macho na viongozi wa israeli

Ukiangalia ramani na jografia utaona jinsi israeli alivyozungukwa na maadui pande zote, hivyo kitendo cha yeye kuwa vitani na maadui zake ni kuitetea nchi yao na si vinginevyo, ingawa kuna watu wanaishutumu kuwa yeye ndo chanzo cha vita na migogoro isiyoisha mashariki ya kati.

Lakini ukweli ni kwamba israeli ingekuwa nchi ya kinyonge ungekuta hadi leo hii walishafurumushwa pale mashariki ya kati, kupigana kwake ndo kusavaivu kwake. Na kitendo chake cha kuthubutu kuivamia na kuipiga Iran nchi ambayo ilikuwa inaogopwa kuwa inamiliki silaha za nyuklia ni ushindi tosha na ni ujumbe kwa nchi nyingîne za kiarabu zinazoiangalia israeli kwa jicho la chui

Hivyo nadiriki kusema kuwa israeli ni simba dume mmoja aliyezingirwa na kundi la nyumbu ila bado kidume anaéndeleza ubabe wake dhidi ya maadui zake

Kwa sasa maadui wakisikia jina la nyetanyahu wanashikwa na tumbo la kuhara
 
Kinacho sikitisha ni hawala kushirikiana na bwana wake lakini matokeo yakawa hivi
downloadfile-8.jpg
 
Hiyo haijalishi mkuu lakini israeli kuivamia Iran ilishtusha wengi maana ni kitu ambacho hakikuwahi kufikiriwa kama kitatokea
😂😂😂😂 Yani sidhani kama unacho kiongea kina uhalisia au mahaba .
Ilishafahamika muda tu kama israel ataishambulia Iran.
Pili mbona hii si mara ya kwanza ila pasipo bahati kila akishambulia anakutana na kitu kizito
downloadfile-17.jpg
 
View attachment 3396086
Israeli katangaza kuporeza watu 24. Iran juzi kasema wànanchi wake 926 walipoteza maisha
 
Ni kweli matukio ya kigaidi Israel ilifanya Na ndio maana Raia wengi wa Iran wamekufa.
Pili kwenye vita hatuangalii wanao kufa tunaangalia malengo!
Je malengo ya Israel ilikua ni kuua hao Raia
Na kama ndio basi hana sifa za kua kwenye medani za kivita.
 
Na wewe mkuu unaamini kabisa Israel wamekufa watu 24 tu!?
Makombora yaliyopigwa yalichimbua hadi mahandaki walipokua raia ndio useme wafe watu 24 tu!?
Tumia common sense hata kidogo kaka.
Do houses in Israel have safe rooms?
Most homes now include a Mamad (Merhav Mugan Dirati – residential protected space), a reinforced, private room within each unit, while others have a shared safe space on the floor of the building—called a Mamak (Merhav Mugan Komati

Mamad (Merkhav Mugan Dirati):
  • This is a reinforced, private room within an individual residential unit.
  • It's built with thick, reinforced concrete walls, a steel door, and specially designed windows to withstand shrapnel, debris, and other potential dangers.
  • Mamad rooms are designed to be a quick and accessible shelter during short warning times, offering protection against missiles and other threats
 
Kapiga au kapigwa? Hiyo ni siri ya jeshi

Lakini kitendo cha israeli kuivamia Iran na kupiga vinu vyake vya nyuklia ilikuwa ni ushindi mkubwa kwao pasipo kujali kama mashambulizi ya Iran kwa israeli yalileta madhara kiasi gani.

Kauli za kejeli na za kutatanisha kutoka kwa kiongozi mkuu wa Iran kuwa ataifuta israeli katika uso wa dunia hazikupaswa kuvumbiwa macho na viongozi wa israeli

Ukiangalia ramani na jografia utaona jinsi israeli alivyozungukwa na maadui pande zote, hivyo kitendo cha yeye kuwa vitani na maadui zake ni kuitetea nchi yao na si vinginevyo, ingawa kuna watu wanaishutumu kuwa yeye ndo chanzo cha vita na migogoro isiyoisha mashariki ya kati.

Lakini ukweli ni kwamba israeli ingekuwa nchi ya kinyonge ungekuta hadi leo hii walishafurumushwa pale mashariki ya kati, kupigana kwake ndo kusavaivu kwake. Na kitendo chake cha kuthubutu kuivamia na kuipiga Iran nchi ambayo ilikuwa inaogopwa kuwa inamiliki silaha za nyuklia ni ushindi tosha na ni ujumbe kwa nchi nyingîne za kiarabu zinazoiangalia israeli kwa jicho la chui

Hivyo nadiriki kusema kuwa israeli ni simba dume mmoja aliyezingirwa na kundi la nyumbu ila bado kidume anaéndeleza ubabe wake dhidi ya maadui zake

Kwa sasa maadui wakisikia jina la nyetanyahu wanashikwa na tumbo la kuhara
Ila simba dume ambaye akipigwa anaomba msaada tembo aje kuamulia ugomvi ,huyo sio simba ni paka aliyevaa kinyago cha simba ili watu wamuogope ili hali anapigana na watu wasiyekuwa na silaha kwa zaidi ya miaka miwili na kawashindwa
Nchi tano zimeshiriki kumpiga iran kwa ugomvi aliyeanzisha israel ika kichapo alichopokea tena kutoka km zaidi ya elfu mbili na huku akilindwa na nchi zaidi ya tano ,lakini hadiakao ya mossad yamepigwa kwa shabaha ya hali ya juu, kambi tano za kijeshi zimepigwa, na kituo cha research kinachotegemewa na israel kimeharibiwa
Marekani na washirika wake walikuwa na kila sababu ya kuomba yaishe, na israel hatorudia tena kumchokoza iran, na akithubutu ndio itakuwa mwisho wa taifa lake, yule level yake ni hamas ndio wamasumbuana hadi leo
Iran kampa show ya wiki moja tu kasalimu amri
 
Kapiga au kapigwa? Hiyo ni siri ya jeshi

Lakini kitendo cha israeli kuivamia Iran na kupiga vinu vyake vya nyuklia ilikuwa ni ushindi mkubwa kwao pasipo kujali kama mashambulizi ya Iran kwa israeli yalileta madhara kiasi gani.

Kauli za kejeli na za kutatanisha kutoka kwa kiongozi mkuu wa Iran kuwa ataifuta israeli katika uso wa dunia hazikupaswa kuvumbiwa macho na viongozi wa israeli

Ukiangalia ramani na jografia utaona jinsi israeli alivyozungukwa na maadui pande zote, hivyo kitendo cha yeye kuwa vitani na maadui zake ni kuitetea nchi yao na si vinginevyo, ingawa kuna watu wanaishutumu kuwa yeye ndo chanzo cha vita na migogoro isiyoisha mashariki ya kati.

Lakini ukweli ni kwamba israeli ingekuwa nchi ya kinyonge ungekuta hadi leo hii walishafurumushwa pale mashariki ya kati, kupigana kwake ndo kusavaivu kwake. Na kitendo chake cha kuthubutu kuivamia na kuipiga Iran nchi ambayo ilikuwa inaogopwa kuwa inamiliki silaha za nyuklia ni ushindi tosha na ni ujumbe kwa nchi nyingîne za kiarabu zinazoiangalia israeli kwa jicho la chui

Hivyo nadiriki kusema kuwa israeli ni simba dume mmoja aliyezingirwa na kundi la nyumbu ila bado kidume anaéndeleza ubabe wake dhidi ya maadui zake

Kwa sasa maadui wakisikia jina la nyetanyahu wanashikwa na tumbo la kuhara
Naomba ujibu kapiga yeye au Tramp?

Iran inasema kila kitu kiko sawa !!

na tunaona Wazungu wanataka kuendelea kukagua iyo Project ya Nuclear !!!

Kunazaliwa swali lengine ikiwa kweli Project ya Nuclear ilipigwa kwanini sasa wanakazania kuendelea kukagua ivo Viwanda vya Nuclear
 
Ku access damage na ku-limit future capabilities, ni matakwa ya IAEC, na Iran ni signatory wa hiyo atomic energy agency, except Israel and North Korea
 
Kapiga au kapigwa? Hiyo ni siri ya jeshi

Lakini kitendo cha israeli kuivamia Iran na kupiga vinu vyake vya nyuklia ilikuwa ni ushindi mkubwa kwao pasipo kujali kama mashambulizi ya Iran kwa israeli yalileta madhara kiasi gani.

Kauli za kejeli na za kutatanisha kutoka kwa kiongozi mkuu wa Iran kuwa ataifuta israeli katika uso wa dunia hazikupaswa kuvumbiwa macho na viongozi wa israeli

Ukiangalia ramani na jografia utaona jinsi israeli alivyozungukwa na maadui pande zote, hivyo kitendo cha yeye kuwa vitani na maadui zake ni kuitetea nchi yao na si vinginevyo, ingawa kuna watu wanaishutumu kuwa yeye ndo chanzo cha vita na migogoro isiyoisha mashariki ya kati.

Lakini ukweli ni kwamba israeli ingekuwa nchi ya kinyonge ungekuta hadi leo hii walishafurumushwa pale mashariki ya kati, kupigana kwake ndo kusavaivu kwake. Na kitendo chake cha kuthubutu kuivamia na kuipiga Iran nchi ambayo ilikuwa inaogopwa kuwa inamiliki silaha za nyuklia ni ushindi tosha na ni ujumbe kwa nchi nyingîne za kiarabu zinazoiangalia israeli kwa jicho la chui

Hivyo nadiriki kusema kuwa israeli ni simba dume mmoja aliyezingirwa na kundi la nyumbu ila bado kidume anaéndeleza ubabe wake dhidi ya maadui zake

Kwa sasa maadui wakisikia jina la nyetanyahu wanashikwa na tumbo la kuhara
MBONA mnatuletea Uongo jamani aliyepiga vinu ni marekani au Israel.
 
Do houses in Israel have safe rooms?
Most homes now include a Mamad (Merhav Mugan Dirati – residential protected space), a reinforced, private room within each unit, while others have a shared safe space on the floor of the building—called a Mamak (Merhav Mugan Komati

Mamad (Merkhav Mugan Dirati):
  • This is a reinforced, private room within an individual residential unit.
  • It's built with thick, reinforced concrete walls, a steel door, and specially designed windows to withstand shrapnel, debris, and other potential dangers.
  • Mamad rooms are designed to be a quick and accessible shelter during short warning times, offering protection against missiles and other threats
Makombora ya Iran yali penetrate hadi kwenye aina zote za bunker hizo.
Tulijionea Kila kitu katika habari tusidanganyane,hizo shelter za Israel ni za kujikinga na light missiles sio heavy missiles kama za Iran.
June 15 na 16 raia wengi walifukiwa kwenye hizo bomb shelter kupelekea watu kutokuziamini tena na kukimbilia kujilaza kwenye vituo vya reli.
 
Ku access damage na ku-limit future capabilities, ni matakwa ya IAEC, na Iran ni signatory wa hiyo atomic energy agency, except Israel and North Korea
Iran ameshajitoa kwasababu IAEA imekiuka tayari.
 
Back
Top Bottom