simba

  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Simba yasema walioenda Ikulu kutatua mgogoro wa derby sio viongozi wa Simba

    Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba. Tukumbuke Yanga waliwakilishwa na viongozi sahihi wa club ya Yanga ikiwa ni pamoja na Arafat Haji ambaye ni Makamu wa Rais wa...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba tafadhali wapokeeni Steven Mnguto na Almasi Kasongo, mliwaponza nyinyi.

    Kujiuzulu kwa Mzee Mnguto na Almasi Kasongo kulitokana na jitihada zao za kuisaidia Simba kuondokana na kadhia ya kukosa ubingwa na kufungwa na Yanga mfululizo. Ingawa tunafahamu kuwa Kuna wengine bado wako TFF na bodi ya ligi, lakini kwakuanzia naomba muwapokee Hawa kama Mashujaa wenu. Wapeni...
  3. Bueno

    JamiiForums Tanzania Je! Ni kweli Simba SC Hawachezi June 25?

    Tusubiri kuona Wallace Karia akikikimbia kiti alichokikalia maana yeye na Bodi ya Ligi ndio kalitengeneza bomu sasa wanawatimua Mnguto na Kasongo,na yeye Wallace ajitimue pia sasa vipi Mwana FA nae atamtimua kwenye nafasi yake au itakuaje atajiuzuru? Simba watagomea kucheza June 25 kweli km...
  4. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Mchezo namba 184 wa 25 june 2025 huwezi kuwa mchezo wa kumpa Simba wala Yanga ubingwa

    Naiona Simba ikipoteza mchezo mmoja,. Na kumfanya kuwa nyuma kwa alama 4 mbele ya Yanga. Hivyo mimi kama UwesuTanzania naiona Deby ya Kariakoo Simba ikicheza kwa kukamilisha tu ratiba, pia nikiendelea kumulika hapa naona kuna asilimia kubwa za Simba Kuto kwenda uwanjani siku ya mchezo...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Karim Boimanda: Bodi ya ligi tunaendelea na maandalizi ya Dabi ya Kariakoo

    "Bodi ya Ligi Kuu Tanzania tunaendelea na maandalizi ya mchezo wa Dabi ya Kariakoo, na ni matumaini yetu kuwa wadau wengine, zikiwemo hizo timu mbili za Yanga na Simba, wanaendelea na maandalizi kuelekea huo mchezo. Ni mchezo mkubwa, mchezo ambao ni kioo cha ligi yetu." - Karim Boimanda, Afisa...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Huwezi ukawa na akili timamu ukashabikia Simba na Yanga. Ni ngumu sana labda uwe unapiga pesa

    Haijawahi tokea mtu mwenye akili timamu akawa anashabikia hizi teams kishabiki kindakindaki na akabaki na akili timamu. Lazima aache kimoja. Ushabiki au akili. Naona tu hata humu JF wengi walishaamua kuacha akili nje wakaingia ndani ya hizi team kinyume nyume wameinama na kushika kichwa. Na...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba aipongeza Simba SC kufika fainali CAFCC, asema jambo hilo si geni kwa Yanga na hawakufungwa kama Simba

    "Mh. Spika nipongeze kwa dhati Simba kwa kutinga hatua ya fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika kwa mara nyingine tangu mwaka 1993. Simba inapokuwa ya kimataifa mimi huwa shabiki wake. Mafanikio haya ya Simba yanatokana na juhudi kubwa ya uwekezaji na Rais wa heshima wa timu Mohamed...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Simbs Sc: Mechi nambari 184 dhidi ya Yanga ipo pale pale

    klabu ya simba imesisitiza kuwa siku ya jumapili ya tarehe ya 15 mwezi june watapeleka timu uwanjani.
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Mpango wa Yanga kushinikiza Viongozi kujiuzulu ni mpango wa makusudi

    Wakuu! Imebaki siku moja kabla ya dabi ya kariakoo hakun tiketi zilizouzwa mashabiki wanaingiaje kwa mkapa? === "Mpango wa Nyuma Mwiko kushinikiza Katibu Mkuu wa TFF na Mtendaji wa Bodi ya Ligi wajiuzulu ni mpango wa makusudi wa kutaka kuweka watendaji wapya katika taasisi hizo watakaolinda...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi na mashabiki wa Simba, yanayoendelea baina ya Bodi ya Ligi na Yanga ni geresha toto tu, Yanga wataingiza timu Jumapili na tutashangazwa

    Kwa uelewa wangu wa mambo ya soka, na kwa kufuatilia mienendo ya majibu ya viongozi wa yanga kwa nyakati mbalimbali, na jana wamekataa kwenda TFF kujadiliana kuhusu madeni ni dhahiri kabisa kuwa ile ni geresha toto, mpango wao waendelee hivi hivi kuwachanganya watanzania ili simba wabweteke...
  11. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Makundi yote ya WhatsApp Tanzania yamegeuka kuwa makundi ya ushabiki wa Simba & Yanga

    Makundi yote ya WhatsApp Tanzania yamegeuka kuwa makundi ya ushabiki wa SIMBA & YANGA. Hatukatai kwamba mpira ni burudani kubwa sana hapa nchini, lakini sasa imekuwa kero kwenye makundi ambayo hayakuanzishwa kwa ajili hiyo. Unakuta kundi linaanzishwa mahususi kwa ajili ya kupeana matukio na...
  12. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Hi ni Aibu Kwamba Timu Zinachezeshwa Mashindano ya CRDB Confederation Cup Bila Kujua Zawadi za Mshindi, Tanganyika Nchi ya Ajabu!

    Katika hali ya kushangaza na ya kusikitisha, imekuwa kawaida sasa kwa timu mbalimbali kushiriki mashindano makubwa bila kujulishwa wazi zawadi au motisha wanazotarajiwa kupewa iwapo zitashinda. Hii siyo tu inakatisha tamaa, bali pia ni aibu kwa taifa kama Tanganyika, lenye historia ndefu ya...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bulaya adai ripoti ya Machi 8 ya Simba na Yanga bungeni

    Mbunge wa viti maalumu, Ester Bulaya ameibuka bungeni na kuuliza swali la kutaka kujua ni nini kilitokea hadi kuahirishwa kwa mechi ya dabi kati ya Simba na Yanga iliyotakiwa kuchezwa Machi 8, 2025 ambapo ameomba kupatiwa majibu. Baada ya kuuliza swali hilo, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Chukua hii mapema kabisa ya kuhusu makubaliano ya Siri na ya Kimkakati kati ya Yanga, Simba, TFF na Serikali juu ya Mechi yao

    Ile ya Simba SC kusema / kutangaza kuwa Mechi na Yanga SC ya tarehe 15 Juni Ipo ni Geresha / Zuga tu. Hata hizi Press Conference mbili za juzi za Yanga SC na zenyewe ni Zuga / Geresha tu. Kwakuwa Yanga SC wamegomea Kucheza na Simba SC tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa na Bodi ya Ligi na...
  15. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kwanini Herod Antipas aliitwa Mbweha na kwanini watu wa Mataifa wanaitwa Mbwa?

    Majina ya wanyama katika Biblia ni lugha ya picha iliyotumiwa kama kielelezo cha tabia, nafasi, au hali ya kiroho. Ni muhimu kuyasoma kwa muktadha sahihi wa kitamaduni na wa kimaandiko. Hii inasaidia kuelewa vizuri mafundisho ya Biblia na jinsi Mungu anavyowasiliana na watu kwa lugha...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mwanakondoo ndiye huyo Simba wa kabila la Yuda

    Salaam, Shalom! Mhubiri anasema, Kila jambo na wakati wake. 1. MWANAKONDOO. Mfalme aliacha kiti Cha Enzi, akavaa mwili wa Mwanadamu akaonekana maskini, asiye na utukufu kwa kazi maalum ya ukombozi. Kumtoa Mwanadamu kwenye minyororo ya dhambi. 2.SIMBA WA KABILA LA YUDA. Sasa baada ya...
  17. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Simba & Yanga Wameibuka Kuja Kuzima Vuguvugu La "No Reform No Election"

    Nimewai kusoma kitabu cha ‘War Made Easy: How Presidents and Pundits Keep Spinning Us to Death’ kitabu kimeandikwa mwaka (2005) na Norman Solomon. Moja ya mstari katika kitabu icho unasema “..., (he) alleges that many government administrations have distorted facts and manipulated the media to...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Kama bodi ya ligi wanaficha jina la kiingozi aliyepiga simu kuzuia Simba wasifunguliwe geti,basi hawafai kuwepo kazini

    Kama kuna ujinga wa kiwango cha juu,ni pale unapolazimika kubeba madhambi ya mtu mmoja ambaye ametumia nafasi yake kufanya uhuni kwenye soka ambalo watu wamewekeza mabilioni ya kutosha. Unaacha kumtaja ili ulinde hadhi yako wakati yeye yupo na anaendelea kuwasapoti wanaosema hatuchezi!Huu ni...
  19. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa ndo wenye msemo wa mwisho,,, Injinia na Arafat wanawaza Ubunge huku watu wanasema hatuchezi

  20. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Simba anaichora tu Yanga, TFF na Bodi ya ligi. Wasipoleta Timu Tarehe 15 Basi Simba lazima adai point 3 mezani au agome endapo kanuni hazitafuatwa

    Baada ya Yanga kutoa tamko lao la hawatacheza mechi mpaka matakwa yao yatakapofanyiwa kazi, Simba nao ni kama wanasubiri Yanga isilete Timu tarehe 15, ili adai point 3 za mezani... na hasipopewa point 3 za mezani nae anagoma mpaka haki itendeke. Ikumbukwe tayari mamlaka za mpira Nchini...
Back
Top Bottom