Ukweli kuelekea dabi yanga na simba June 15,2025

Ukweli kuelekea dabi yanga na simba June 15,2025

pamba boy

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
252
Reaction score
392
Iwapo yanga atapeleka timu uwanjani kucheza na simba yafuatayo yatatokea.

Yanga watacheza Kwa nguvu na pressure kubwa na rafu nyingi kupelekea kuadhibiwa Kwa kadi za njano nyingi. Kuna uwezekano simba wakafaidika na hizo rafu na hata haitakuwa ajabu simba wakipata penati zaidi ya Moja.

Mashabiki wengi uwanjani watakuwa wa simba maana wale wa yanga wameaminishwa hawachezi hivyo kwenda kwao uwanjani inaweza kuwa aibu na fedheha iwapo watafungwa.

Matokeo salama Kwa usalama ni simba kufungwa,tofauti na hapo kutatokea vurugu kubwa sana hasa kwenye miundo mbinu ya uwanja.

Mgogoro mkubwa sana utatokea kati ya uongozi wa yanga na mashabiki ila wazee wa yanga watanufaika Kwa kupewa pesa watulize hali hiyo.

Yanga watatishia kuendelea na ligi hasa mechi ya Tanzania prison na Dodoma Jiji na kuelekea msimu ujao. Hali ya kisiasa nchini itakuwa mbaya zaidi Kwa kuzingatia timu ya yanga Ina vinasaba vya usiasa ndani yake..

Kutokana na hali hiyo simba inabidi wachukue tahadhari nje na ndani ya uwanja Kwani yanga kuamua kucheza inawezekana wameakikishiwa ushindi Ili kuepusha hayo yote hapo juu .
 
Unasema yanga ina vinasaba vya usiasa vip kuhusu MO
 
Back
Top Bottom