simba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

    Ni taarifa ambayo bado ya moto moto kabisa ya kama dakika 15 tu zilizopita Tumekuvumilia mara nyingi sana lakini kwa sasa uvumilivu umetushinda, Kwanini kila siku ni ww tu kuiongopea Simba mambo ya uongo? Unaitumia mara kadhaa @wasafifm kuelezea migogoro hewa kuhusu Simba na kutaka kuichafua...
  2. JamiiForums Tanzania Takwimu: Vigogo wa Afrika Simba SC ilikuwa bora kuliko Al Merrikh

    Hizo ni takwimu za game ya leo numbers dont lie. Kama hujui kusoma basi tazama hata picha. Simba Sc ilikuwa bora sana, plan A ilikuwa kumiliki mpira na kukataa kufungwa. Plan B ni kupata point 3. Simba Sc sio timu ya kienyeji inacheza kwa malengo makubwa. Simba Sc ndio timu tegemewa kwa Africa...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya droo na Simba SC, El Merreikh wamtimua kocha

    El Merreikh wametimua kocha wao mtunisia muda sio mrefu baada ya game na Simba Sc. Hii kisaikolojia ni nzuri sana next game. ====== Simba yamfukuzisha kocha Al Merrick Muda mfupi baada ya kutoka sare tasa na Simba leo nyumbani huko Sudan, Al Merrikh imemfukuza kocha wake Nasreddin Nabi na...
  4. JamiiForums Tanzania Al Merrekh 0-0 Simba | Al Hilal Stadium | CAF

    El Merreikh leo wanaangazia kujaribu kurudisha tumaini baada ya kupoteza michezo yake miwili ya kwanza ikiwemo mchezo wa nyumbani. Simba ikiwa imeshinda michezo yake miwili ya kwanza na kuongoza kundi, leo inataka kuweka mguu mmoja kuelekea kufuzu hatua ya makundi kwa kuifunga El Merrikh. Kuwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Baada ya Injinia Hersi na GSM kuona Simba SC inaenda kuubeba tena Ubingwa wa VPL, wameandaa Zengwe kukwepa Lawama

    Ikumbukwe kuwa akiwa anaongea na Kipindi cha Michezo cha Wasafi FM na hata kile cha EFM Boss huyu kutoka Kampuni ya GSM inayoifadhili kwa Kuinyonya Kimapato Klabu ya Yanga Injinia Hersi alisikika akisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa kwa 100% Yanga SC inaenda kuwa Bingwa wa 2020/2021 VPL na...
  6. JamiiForums Tanzania Klabu bingwa Afrika: Simba ugenini kuchuana na Al Merrekh

    Al Merrekh watawakaribisha wababe wa Msimbazi katika Dimba la Al Hilal huko Khartoum saa kumi jioni, katika mchezo huo Wasudan watatafuta kupata ushindi wao wa kwanza katika hatua ya makundi ya mashindano hayo Al Merrikh watawakaribisha Simba SC ambao wameshinda michezo yote miwili ya...
  7. JamiiForums Tanzania Tunawezaje kuangalia mechi ya Simba kwa sisi tulio nje ya nchi?

    Heshima zenu bandugu, Sisi tuliopo nje ya Tanzania tunawezaje kuangalia match ya simba ya leo? Asanteni
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara Ya Kwanza Naiona Yanga Inayoitakia Mema Timu Ya Simba...!

    Wiki nzima kuelekea Mechi kubwa na El Merrekh ugenini sijaona wala kusikia mwana Yanga yeyote akileta yale Masihara ya mnaenda kupigwa 'Hamsa'..! Nikajiuliza hii maana yake ni nini? Majibu yake ni haya, kwanza wamejiridhisha pasi na shaka Simba hii sio ya kispoti spoti inaweza kushinda...
  9. JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Simba wapimwa corona huko Sudan na majibu yanaonyesha hawana

    Kwa nyakati tofauti katika mashindano ya Kimataifa kama Ligi ya mabingwa Afrika na mengineyo kunakuwa na madai ya figisu inapofika kwenye vipimo vya covid 19. Kikosi cha Simba kilifanya vipimo hivyo jana Februari 4 asubuhi katika kambi yao hapa katika hoteli ya nyota tano ya Al Salam. Majibu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Simba yatoa wachezaji 2 kikosi cha wiki CAF Champions League

    Joshua Onyango na Konde boy ni miongoni mwa wachezaji wawili waliochaguliwa kwenye kikosi cha wiki cha CAF champion league wakiendeleza pale alipoachia Lwanga.
  11. N

    JamiiForums Tanzania HATARI: Viongozi wa Simba ongezeni ulinzi kwa Wachezaji

    Haswa team inapoenda mikoani wanaposhuka kwenye basi au kama ile walivyopokelewa Airport wakitoka Kinshasa Manula akanusurika kuibiwa simu. Kumbukeni kuna kipindi Rwanda watu walikuwa wanogopa kusalimiana mtu anaweka kipini kidogo anabana na super glue kina sumu anakusalimia anakuchoma nacho...
  12. JamiiForums Tanzania Huwa Sipendi kuangalia mechi za Simba naibia naangalia Mpira ukiisha naanza Umia Rohoni

    Mimi sipendi kushabikia Simba sababu mimi ni Yanga kweli kweli. Ila ninaufahamu mpira wa miguu. Kuna wakati ushabiki naweka pembeni. Sisi Yanga tunashindwa wapi kucheza mpira wanaocheza Simba? Mazoezini Kocha wetu anafundisha nini? Sioni anachofundisha au maybe michezaji yetu ishakuwa migume...
  13. JamiiForums Tanzania Human Resource Manager Needed at Simba Logistics | Job Opportunity

    Human Resource Manager Simba Supply Chain Solutions Limited and Simba Logistics Limited are looking for an astute, mature and reliable Human Resource Professional between the ages of 35 and 45 years. This position will be on a two-year fixed contract. This opportunity is for candidates who...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Je, Shomari Kapombe wa SIMBA SPORT CLUB ajiondoe haraka Taifa Stars?

    Maneno maneno Huwa yanaumba Kapombe sasa yule mkata kamba yako naye kaitwa stars sasa je ni wakati wa kuamini kwamba ile kamba yako ilikuwa inakatwa na yeye? Kama kweli una uhakika kamba yako huwa inakatwa na yule kijana mliyeitwa naye stars ya sasa ni bora ukajitoa kwa maslah mapana ya club...
  15. F

    JamiiForums Tanzania ubingwa wa enyimba champions league 2003, na mamelodi 2016 kama naiona kwa simba vile . Babra na Mo wananitisha mimi Mwanayanga

    Habari wadau.. Nimeona documentary ya enyimba success timu ya kwanza nigeria ku win caf champions league.. nimeiangalia kwa umakini nikajua ilikuwaje? Kwa nilichokiona kwa enyimba kama nakiona kwa Mo na simba yake ya zama hizi. Enyimba ilikuwa timu ya kawaida sana nigeria haijawai...
  16. JamiiForums Tanzania ASFC: African Lyon 0-3 Simba | Benjamin Mkapa Stadium

    Michezo ya kombe la shirikisho inaendelea na sasa ni klabu ya soka ya African Lyon dhidi ya Simba SC kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. ====== 00' Muamuzi anapiga filimbi kuashiria mwanzo wa mchezo 09' Ibrahim Hajibu anaweka kamba ya kwanza kwa Simba, African Lyon 0-1 Simba 17'...
  17. JamiiForums Tanzania Kombe la Shirikisho Azam: Simba kukipiga dhidi ya African Lyon

    Baada ya kutoa kichapo cha goli 1-0 kwa Al Ahly ya Misri katika mchezo wa Klabu Bingwa Afrika, Simba SC hii leo inashuka tena katika dimba la Mkapa kukipiga na African Lyon. Mchezo huo wa Kombe la Shirikisho la Azam Simba itakuwa ugenini na utapigwa majira ya saa moja usiku kwa saa za Afrika...
  18. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Another locally produced car by Simba Motor Corporations of Kenya. The car is known as the Proton Saga

    The proton Saga will come in three variants; Standard MT- 1.1 MILLION kes. Standard AT- 1.2 MILLION kes. Premium AT- 1.3 MILLION kes.
  19. JamiiForums Tanzania Uchawi wa Simba Hadharani sasa. Hivi mpira wetu Unaelekea wapi?

    Huu ndo Uchawi Mkubwa wa Simba. Duniani hamna Siri. Mpira ni mchezo wa wazi unachezwa kwenye Mwanga. Tumeona kilichotokea. Hapa Simba wamemchukua kimazingara Messi na kumpa ngozi na nywele nyeusi. Wakambadilisha na jina. Huu uchezaji si wa kawaida kwa huyu bwana mdogo. Mpira wety unaelekea...
  20. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki Waziri Sonyo afariki dunia

    Mwanamuziki aliyewahi kuimba kwenye bendi ya Chuchu sound na TOT Plus, Waziri Sonyo ameaga dunia jana tarehe 23 Februari saa moja usiku maeneo ya Kibaha. Chanzo cha kifo hakijawekwa wazi ingawa kuna taarifa kuwa alikwenda kutazama mechi ya mpira wa miguu na aliporudi alijipumzisha hadi mauti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…