simba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Yanga na Simba acheni kuvaa fulana za timu zetu wiki nzima

    Wapenzi wa Yanga na Simba, Jezi zenu huwa zinavaliwa angalau siku moja kabla ya mechi,hadi siku ya mechi na baada ya mechi unaweza ukavaa kwa nusu siku hata kama umeshinda au umefungwa.Ushamba wenyewe unakuwa hivi aliyeshinda anavaa jezi wiki nzima asubuhi hadi wengine wanalala nazo,wakati...
  2. JamiiForums Tanzania TFF wasikitishwa na kauli ya Bashe kuhusu mechi ya Simba na Yanga

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) limetoa wito kwa viongozi wote nchini kuacha kutoa kauli zinaweza kuchochea vurugu katika mpira wa miguu. Kauli hiyo imekuja baada ya TFF kusikitishwa na kauli ya Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ambaye alisema waamuzi wa mechi ya Simba na Yanga...
  3. JamiiForums Tanzania Viongozi na Mastaa wa Bongo ambao ni mashabiki wa Simba na Yanga

    Kama uzi unavyojieleza. Huwezi zungumzia soka la Africa kwa sasa bila kuzitaja club za Simba na Yanga. Kama unamjua kiongozi au celebrity yeyote shabiki wa Simba au Yanga mposti hapa. Itapendeza zaidi akiwa ndani ya uzi wa club husika. Pia, Kama wewe ni shabiki wa Yanga weka like 👍 yako kama...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi like goli la Yanga juzi Simba walijifunga au lilifungwa na Zawadi?

    Kwanza tuwapongeze Yanga kwa ushindi wa juzi ni furaha saaana kumfunga Bingwa mtarajiwa kwa Mara nne Mfululuzo, pia Robo finalist wa Klabu Bingwa wa Afirka, aliyewafunga finalist wa Mwaka huu Kaizer Chief na Al Ahl. Turudi kwenye mada, hivi lile goli la Utopolo, ambalo Zawadi alipiga shuti...
  5. JamiiForums Tanzania Mambo kumi (10) ya ali kamwe katika derby ya Simba na Yanga

    Anaandika @alikamwe Mambo 10 nilioyaona Simba vs Yanga 1: DAR ES SALAAM is GREEN & YELLOW 🟢🟡. WENYE NCHI NI WANANCHI🙌 Pointi 3 za HESHIMA. Pointi 3 za KIBABE. Yanga wanaweza kukosa Ubingwa, Lakini angalau wameweka alama isiyofutika kwenye moyo wa Rais, Mama Samia..👏 2: WHAT A MATCH! Yanga...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga na CCM vs CHADEMA

    Ipo hivi Simba ikiwa inacheza na mwadui FC na Simba ikashinda zomea zomea na maneno mengi yatarushwa kwa Yanga ambao hawahusiki na mechi husika ndivyo hivyo hivyo Yanga ikiwa inacheza na lipuli fc na ikashinda tambo zinapelekwa kwa Simba hali kadhalika wakifungwa tambo zinakuwa hivyo hivyo...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga na Simba unazi wa zamani: Kisa cha Mzee Mangara Tabu na Ayubu Kiguru

    YANGA NA SIMBA UNAZI WA ZAMANI: KISA CHA MZEE MANGARA TABU NA AYUBU KIGURU Nina rafiki yangu anaitwa Kazua leo asubuhi kanipa kisa cha Mzee Mangara Tabu na Ayubu Kiguru. Wakati wa ujana wake Kazua alikuwa mkoba, yaani "centre half," wa Dundee United. Leo mimi na sahib yangu Kazua akitutokea...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa za uhakika nilizonazo Manara ndiye anaihujumu Simba SC kila ikicheza na Yanga SC atimuliwe

    Msemaji wa Simba SC Haji Manara binafsi nakuheshimu mno na nisiwe pia Mchoyo wa Kukusifia na Kukupongeza kuwa ndani ya Klabu ya Simba nawe umeweka Alama yako ya Mchango wako mkubwa wa Kuitangaza vyema Simba SC na kuwa Brand hivi ilivyo sasa. Hata hivyo Msemaji wa Simba SC Haji Manara leo...
  9. JamiiForums Tanzania Wauza nazi wagomea kuwauzia mashabiki wa Simba

    Wakuu, Kunataaliga zilizosamba toka jana na leo kuwa,wauza Nazi masoko yote ya Dar walikataza kuwauzia Nazi wapenzi na maahabiki wa timu ya simba, ndiyo sababu ya kupoteza mchezo kwa watani wao wa jadi Yanga
  10. C

    JamiiForums Tanzania Hata Abass Tarimba na Sportspesa yake wanaamini Simba anashinda hii game

    Atapiga sana makelele kuongea propaganda za uongo lakini ikija kwenye reality anakuwa mpooooleeeee. Tarimba anakuambia kwamba u ki bet laki moja kwamba simba anashinda, akishinda utapata 167,000 u ki bet laki moja kwa yanga wakishinda utapata 485,000, UNAJUA NI KWA NINI?
  11. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

    Naaaam..! Hujambo na Karibu kwenye Matangazo ya Habari za Michezo, Burudani na Uchambuzi. Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Jumamosi ya July 3, 2021, ambapo mchezo unaobeba hisia za mashabiki wengi Tanzania na nje ya Tanzania kati ya Watani wa Jadi, Kariakoo Derby...
  12. JamiiForums Tanzania Simba wasijiamini sana, wataaibika kwa Mkapa kwa sababu hizi

    Derby ya Simba na Yanga inakaribia Najua wengisana wameichukulia upande mmoja yaan ushindi kwa Simba. Niweke wazi Simba isijiamini sana hi mechi inaweza shangaza wengi ulimwengu wa soka Si la kuficha upande wa kiwango watani wako juu sana sana Ila hili lusiwayumbishe niwajulishe tu Simba na...
  13. JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba na Azam kombe la FA ni ushahidi mwingine dhidi ya TFF na Simba

    Kama kitendo cha Morrison kunza mpira bila kusubiri amri ya mwamusi ni halali basi soka la Tanzania limefungua ukurasa mpya. Timu zitaiga kilichofanywa na simba. Hivyo, kuanzia sasa tutashudia magori ya vile. Hakuna atakae subiri filimbi ya refa tena. Mechi ile irudiwe kwa maslahi ya mpira wetu...
  14. JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa unajiuliza ni kwanini Wachezaji wa Azam FC juzi Songea walicheza 'Kikatili' vile kutaka 'Kuua' Wachezaji wa Simba SC jibu hili hapa

    Wana Miezi Mitatu hawajapewa Mishahara na si kwamba labda Tajiri 'Mzanzibari' hana Pesa bali kaamua Kuwafanyia 'Kusudi' baada ya Kuwaambia Wachezaji wanamuangusha kwani anawapa kila Kitu hivyo wakitaka Wafurahi basi nao pia Wamfurahishe. Hivyo basi Wachezaji wengi wa Azam FC sasa kutokana na...
  15. JamiiForums Tanzania Je, Simba ikiongozwa na Gomes imeshafungwa na timu yoyote ya Tanzania?

    Nafahamu ya kwamba Simba ikiongozwa na Gomes imepoteza mechi 2 za kimataifa ugenini, Al Ahly (Misri) na Kaizer Chiefs (Afrika ya Kusini) lakini sina uhakika kwa mashindano ya nyumbani kama imewahi kupoteza mchezo wowote, mwenye taarifa zaidi anijuze.
  16. JamiiForums Tanzania Nashauri kesho viongozi wa yanga twendeni CAS au FIFA. Tukakumbushie kesi ya Morrison, huyu mchezaji anakera sana

    Nashauri kesho viongozi wa yanga twendeni CAS au FIFA. Tukakumbushie kesi ya Morrison.huyu mchezaji ana kera sana.anakera mpaka mwisho. Jana tena ametonesha kidonda kwa kusababisha faulo na kusababisha goal.tena unamwona kabisa anamwambia Luis nenda kafunge...na Luis anamsikiliza anaachia shut...
  17. JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kwa wale 'Washamba' tu na wenye 'Chuki' na Goli 'halali' kabisa la Simba SC dhidi ya Azam FC huko Songea katika ( ASFC ) leo

    Nianze Kwanza kwa Kumshukuru Mchambuzi 'mahiri' wa Mpira kutoka Clouds FM Kipindi chao cha Michezo cha Sports Extra Farahani (Farhan) Kihamu kwa Ufafanuzi wake ulioenda Shule (Kidato) Na nikiri kuwa 100% ya kile nitakachokiandika hapa nimekitoa Kwake Mchambuzi huyu Farahani Kihamu na siyo...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Goli la Simba dhidi ya Azam ASFC 2021

    Lile bao hakuna kosa kwa upande wa Simba wala Mwamuzi, ni akili kubwa ya Wachezaji wa Simba kwenye hatua kama zile Rejea Simba dhidi ya Nkana kwenye Klabu bingwa Afrika, move ya faulo ilikuwa kama ile, Wachezaji wa Nkana walipoteza concentration, Simba wakawahi kuweka (Quick thinking). Azam au...
  19. JamiiForums Tanzania Je, unadhani Mashabiki 'Oya Oya' wa Yanga SC baada ya Mechi ya Simba SC na Azam FC leo walitakiwa walaumu lipi kati ya haya yafuatayo?

    a ) Rafu mbaya sana na ya Kikatili mno aliyochezewa Luis Miquissone wa Simba SC na Beki Mpuuzi Mghana wa Azam FC ambayo si tu ingemjeruhi vibaya bali ingeweza hata Kuhatarisha Uhai wake na cha Kushangaza Mwamuzi hakumpa upesi Kadi Nyekundu na akaishia tu kumpa ya Njano huku Mchezaji Mcheza Rafu...
  20. JamiiForums Tanzania Hongereni sana Azam tunawasubiri Fainali. Simba hamna kitu ni maneno tu.

    Kwanza naomba niwape pongezi wachezaji wa Azam kwa ushindi ambao wameupata leo kwa kuiondoa Simba. Simba ni level za Biashara ndo ataenda cheza nao. Sisi Wakubwa tunakutana FAINAL YA AZAM F.CUP. Match ilikuwa nzuri lakini Ubora wa Azam umeamua matokeo ya match hii. Simba match ya Tarehe 3/07...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…