simba

  1. Simba kama Majimaji mwaka 1999

    Mwaka 1999 timu ya Majimaji ya songea ilishiriki klabu bingwa na bila kuanzia raundi ya awali, walianzia mmoja kwa moja raundi ya kwanzakwa kucheza na Al Ahly kama ambavyo simba wataanza mwaka huu. hii ilitokana na mafanikio ya kinchi yaliyoletwa na DAR YOUNG AFRICANS mwaka wa nyuma yake 1998...
  2. Simba yamuuza Cloutous Chama RS Berkane kwa Bilioni 1.5 na mshahara wake wapanda kwa 400%

    Picha ikimuonyesha Clatous Chama na Tuisila Kisinda wakiwa katika jezi za mazoezi za RS Berkane muda mchache kabla ya kuanza mazoezi hiyo jana! Picha kwa hisani ya majasusi wetu waliopo huko Morocco, wana Simba mjiandae kupokea tangazo la kuuzwa kwa Chama muda wowote kuanzia sasa! Neno moja...
  3. Walace Karia akubaliana na ombi la Simba SC kuongeza Idadi ya Wachezaji wa Kigeni kufikia 12

    Kuna tetesi za chini ya kapeni zinazo sema bodi ya wakurugenzi ilipokaa kikao chake wiki kadhaa zilizo pita imeafikiana kumuomba ndugu Walace Karia aongeze idadi ya wachezaji wanaoruhusiwa kucheza Ligi KUU Tanzania. Pendekezo ni kuongeza nafasi ziwe 12 kutoka 10 za sasa. Changamoto hiyo...
  4. Naitupia lawama Simba kwa kumliza Messi hadharani

    NAITUPIA LAWAMA SIMBA "WEKUNDU WA MSIMBAZI" KWA KUMLIZA MESSI HADHARANI. Baadhi ya vyombo vya habari vya Hispania na Argentina vimedai kama Leonel Messi wa PSG angekubaliwa kujiunga na Simba SC "wekundu wa Msimbazi" hakika kile kilio chake tusingekiona. Lile chozi ni baada ya kukosa nafasi ya...
  5. Simba washaondoka pre-season Wenzao bado wapo madukani

    Haya tena. Nawapongeza Yanga ingawa mambo ya uwanjani bado lkn naona msimu huu wamejitahidi kuwa serious na usajili. Kinachonishangazaga ni maandalizi yao ya timu. Hivi Sasa bado nadhani wapo madukani wanaendelea na sagulasagulaa ya wachezaji ligi ikianza lawama zinaanza. Tufike mahali...
  6. N

    Kesi ya simba ,kichutya ,pharco tarehe 1 october

    haya wana simba tunarudi tena CAs tarehe 1 october, vipi tena babu plujim hans kashtaki madai yake jameni mbona kuna fununu??? 24.09.21 CAS 2021/A/7808 Kayserispor Kulubu Dernegi v. Go Ahead Eagles BV 28.09.21 CAS 2021/A/7666 Konyaspor Kulübü Derneği v. Leonard Zuta 29.09.21 CAS 2021/A/7909...
  7. K

    Je, mwaka huu hakuna Simba Day?

    Habari wakuu, Imezoeeleka miaka yote simba hufungua msimu na tukio babkubwa la simba day. Mwaka huu sijasikia kitu kuhusiana na simba day, je simba day haipo mwaka huu?
  8. Simba yamuuza Clatous Chama nchini Morocco

    Kutoka kwenye ukurasa wa Maulid Kitenge huko Twitter ameripoti kuwa kuna tetesi kuwa nyota mahiri wa Simba Sc kutoka Zambia, Clatous Chota Chama ameuzwa kwa klabu moja nchini Morocco. Hiyo ni baada ya Mtenda Mkuu wa Simba, kuwa nchini huko kwa muda wa siku kadhaa sasa. Kitenge ametumbia...
  9. Athari za Haji Manara kuondoka Simba mpaka sasa

    Hapa tuseme ukweli. Tangu kuondoka Manara kuna mambo tayari Simba imerudi nyuma na kulingana na Yanga. Kuna faida moja Manara ameiacha kwa Yanga nitaitaja baade. Katika kipindi hiki cha usajili, tumezowea kuwa kipindi cha muhaho kwa pande zote mbili. Manara akizowea kukoleza sana kwa kila...
  10. MO Dewji mzalendo

    Mo Kazaliwa Singida Kasoma shule za serikali Kawatumikia watu wa kijijini kwake Kawekeza kwenye nchi yake Simba SC ni mtoto tu kwake,tokea amaeanza kuwa mshabiki Hadi mwananachama na kisha mwekezaji ndani ya club hii pendwa ni Jambo la kheri na ikibidi asifiwe sana!!.. Kila kwenye neema...
  11. Ianzishwe Simba halisi, Mo Dewji abaki na Simba yake ya ukoo

    Ni kitu kinachowezekana, hasa katika hali ya sasa, Kucha za Mo zilizojificha zinaonekana hadharani. Simba original ianzishwe kwa jina la Simba OG, timu ambayo ipo ligi kuu au imepanda inunuliwe kwa bei chee ibadilishwe jina, Mwamwedi abaki na simba yake ya kunyanyasa wafanyakazi. Kuhusi Pesa...
  12. Kuanzia leo, SIMBA iachane na msemo wake "THIS IS SIMBA" ulioasisiwa na Manara

    THIS IS Simba, umekuwa msemo kielelezo cha kuitambulisha club yetu pendwa ya Simba, ambayo ni club ya wenye nchi matajiri akiwemo @mo Dewji, Bujibuji na wengine baadhi tunaojificha kwenye kijicho cha Mo na hisa zake (all in all tunajuana as secret cindicate) Bila kuachana na mbinu, kauli mbiu...
  13. Appreciation posts za wachezaji wa Simba kwa Mo Dewji

    Hizi ni post za baadhi ya wachezaji na wafanyakazi wa Simba Sc,wanajua kazi anayofanya Mwenyekiti wao. Wanajua njaa ya wachezaji wenzao timu zingine. Leo hii Simba ni timu kimbilio ya kila mchezaji Afrika hii. Leo hii Simba ni timu ya 12 Afrika. Ukitumika tumika kwa akili, usitumike vibaya
  14. Devil's Advocate Kwa Mohammed Dewji

    Jamani najaribu kuwa Devil's Advocate kwenye hii Saga ya Manara VS Mo/Barbara/Simba Nitaenda kwenye kupande ambao Manara ana claim Simba inanyonywa na Mo, kuwa kusema Mo anasema hapati faida ni uongo naomba anaejua. Simba kwenye mikataba yake ya 5 yrs ago kuanzia Sport pesa na mengineyo...
  15. Arusha: Watoto watatu waliwa na Simba

    Watoto watatu kati ya wanne ambao ni wanafunzi wa shule ya Msingi Ngoile na wakazi wa kijijj Cha Ngoile wilayani Ngorongoro Mkoani hapa wameuawa kwa kuliwa na Simba huku mmoja akijeruhiwa wakati wakitoka shuleni. Akiongea ofisini Kwa kamanda wa polisi Mkoa wa Arusha Justine Masejo aliwataja...
  16. Ipo hatari hapo mbele wanaomiliki hisa 51% kumgeukia MO kama Simba Sc itafanya vibaya ndani na nje

    Wapenzi na mashabiki wa Simba wameridhia Mo kumiliki timu ilimradi wanapata furaha na makombe hawatarajii na hawategemei kama Simba itakuja kushindwa sidhani kama wataweza kumvumilia pale mambo yakienda kinyume na matarajio yao.
  17. Wale wote 'mnaomtetea' Haji Manara na 'Upuuzi' na 'Unafiki' wake popote pale mlipo naomba mnijibu haya Maswali yangu Kwenu

    1. Je, Kisheria baada ya jana Haji Manara kuitaja Kampuni ya Azam akiihusisha kuwa na Vita ya Chuki na Kampuni za Mohammed Dewji yuko salama kama aliyeguswa akitaka Kumshtaki? 2. Je, kati ya aliyekuwa CEO Magori ambaye hakuwa kumpa Mkataba wowote Haji Manara na CEO Barbara ambaye kwa mwaka...
  18. Tukujikumbushe Wachezaji wa Simba kabla ya MO

    Simba ilikuwepo kabla ya MO na itaendelea kuwepo baada ya MO, lakini si vibaya tukajimbusha wachezaji waliokuwepo ndani ya simba ambao walikuja kwa mbwembwe lakini ukweli ni kuwa tuliwakusanya kwa kuwa hatukuwa na pesa. Pierre kwizera_Rwanda Paul kiongera_Kenya Lino Musombo_Congo Daniel...
  19. Mnaofikiria kufanya kazi na Manara baada ya haya mjiulize mara mbili. Anachowafanyia Simba nanyi atawafanyia

    Waswahili wana usemi '"Jasiri haachi asili" hivyo wanachopitia Simba kwa sasa kupitia aliyekuwa anafanya kazi hapo ni fundisho tosha kuwa mkae nae kwa tahadhari kwani si Mtu wa staha. Mtu aliye tayari mpoteze yote mliyofikia kwa kuwa tu maslahi yake yamevurugika ni Mtu Mbaya na Msaliti. Manara...
  20. Hawa ndiyo Waandishi wa Habari wa Tanzania Manara akiwa Msemaji wa Simba SC na baada ya Manara 'Kutumbuliwa' hapo Simba SC

    Kauli za Waandishi wa Habari Haji Manara alipokuwa Msemaji wa Simba SC "Haji Manara ajirekebishe kwani tumeshamchoka na Vitendo vyake vya Kutudhalilisha huku akituita baadhi yetu ni Takataka. Kwanini Simba SC inamlea vibaya hivi huku akihatarisha Uhusiano wao na Sisi Wadau wao wakubwa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…