simba

  1. Inaonekana Simba mnamtema Gomez?

    Taarifa za awali kabisa ni kwamba Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba SC imemfuta kazi Kocha Mkuu wa Klabu hiyo Didier Gomes Da Rosa kutokana na kushindwa kuisaidia klabu hiyo kufuzu makundi ya klabu bingwa Afrika (CAF Champion League). Kwa sasa kikosi hicho kitakuwa chini ya Kocha Hitimana...
  2. C

    Kikao kizito cha dharura cha bodi ya simba kinaendelea muda huu

    Maduka yanayotembea yenye miguu miwili yajiandae, story zenu za mpira una matokeo matatu kasimulieni wake zenu na marehemu bibi zenu, nyambafu
  3. C

    Benchi la ufundi Simba lapigwa chini

    Habari ambazo hazijathibitishwa ni kwamba benchi la ufundi limepigwa chini, kama ni kweli ni sawa tu ingawa Hitimana kaonewa Mzungu keshachachawa hajui tena hata kufanya sub na mapenzi binafsi kwa wachezaji kama wawa yemepitiliza Matola kwa kweli kama tunayoyasikia ni kweli basi ulaaniwe sana...
  4. C

    Yatambue mafaza ya Simba SC yasiyogusika hata yakivurunda au kuuza mechi

    *manula.... huyu hata kumuelezea ni ngumu siku akiamua kudaka anadaka kwelikweli siku akiamu kuvurunda kama jana utafurahi mwenyewe kwa huzuni *Boko .... Huyu naye kama Manula probably hana miaka 32 kama anavyosema *Wawa .... Hili ndilo kubwa la magodfather huwa halipendi kuruka kama goli...
  5. Simba SC kukutana na miamba hawa

    PLAY OFF CAF CCC KUWAKUTANISHA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Simba SC πŸ‡¨πŸ‡© Tp Mazembe πŸ‡²πŸ‡¦ RS Berkane πŸ‡ͺπŸ‡¬ Pyramids πŸ‡©πŸ‡Ώ JS Kabylie πŸ‡³πŸ‡¬ Enyimba πŸ‡ΉπŸ‡³ CS Sfaxien πŸ‡¨πŸ‡² Coton Sport πŸ‡ΏπŸ‡¦ Orlando Pirates πŸ‡ͺπŸ‡¬ Al Masry Wakati MAKOLO FC wanahangaika kutafuta mchawi ni nani miamba hii inapiga push up. Sasa ni rasmi wamepewa RED ARROWS washindwe...
  6. Tatizo la Simba SC ni kumkufuru Mwenyezi Mungu

    Sio kituo la kawaida kwa Simba iwe mbele kwa BAO 3-0 uwanja wa Mkapa halafu zote zirudishwe kwenye kipindi kimoja na timu ndogo kabisa kama Galaxy. Sio kitu Cha kawaida watu wenye ulemavu wa ngozi Tanzania kuwa mtu maarufu kama Haji Manara. Huyu mtu kufika level aliyonayo kwenye nchi kama ya...
  7. Simba yashindwa kuivunja rekodi ya Yanga

    Kuna rekodi hazivunjiki kama vile; Young Africans ndiyo Klabu ya kwanza Tanzania kuingia robo fainali klabu bingwa 1969 Simba ndiyo klabu ya kwanza kuingia nusu fainali klabu bingwa 1974 Kuna rekodi zinavunjika kama; Yanga kuwa klabu pekee ya Tanzania kuingia ROBO FAINALI klabu bingwa kwa...
  8. Tamaa za pesa zimetuponza Simba, tumesajili kimhemko. Sijasikitika sana

    Wakuu hii Simba ukiangalia ni mbovu sana hairidhishi hata kuiangalia. Hata tuliposhinda kule Botswana wala sikufurahia jinsi timu ilivyocheza. Hii timu haionekani hata ikitafuta ushindi. Tulicheza vibaya sana na timu ilionekana kuelemewa basi tu bahati ilikuwa kwetu. Kocha ameshindwa hata...
  9. Kwa wasiojua, Simba bado itapanda ndege: ipo CAF confederation cup kule kina Azam na Biashara wametolewa

    Hili niliseme maana naona wengi wanafatilia mpira lakini hawalijui. Mnyama Simba bado atapanda ndege. Amepelekwa kwenye CAF confederation cup yaani shirikisho kule ambako kina Azam na Biashara wametolewa. Ukiwa mkubwa ni mkubwa tu. Maana watu wanaumia na kwa wale mashabiki wenzangu na mi...
  10. Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

    Ni Simba Sports Club Dhidi Ya Jwaneng Galaxy Fc Kutoka Botswana. Baada ya Mechi Iliyopita Simba Sc Kuibuka na Ushindi wa Goli Mbili Bila Ugenini, Leo Jwaneng Galaxy Wanakuwa na Kibarua Kizito mbele ya Miamba ya Soka Afrika Simba Sc kuhakikisha Wanapata Ushindi Wa Goli 3 bila Dhidi ya Wenyeji Wa...
  11. Wakati nikiwa siwataki tena Makocha Gomez na Hitimana, Wafuatao upesi sana Wafukuzwe na Wasimamishwe Simba SC

    1. Meneja Patrick Rweymamu 2. Mratibu Abbas 3. Kipa Aishi Manula 4. Beki Shomary Kapombe 5. Beki Pascal Wawa 6. Nahodha John Boko 7. Kocha Selemani Matola Ninaotaka wabakie tu katika Benchi la Ufundi ni Mfia Timu Kocha wa Viungo na Kocha wa Makipa ambaye nimehakikishiwa na Mtu wa ndani...
  12. Mpende au Mchukie, Mugalu ni msaada mkubwa sana Simba

    Chris Kope Mushimba Mugalu ni straika ambaye tangu aje Simba amekuwa katika lawama na shutuma za kiwango chake, imefikia hatua hata mashabiki wake hawampendi. Ila jamaa ni bonge la straika, anapokuwepo kwenye timu anafanya wachezaji wa timu pinzani kuanzia watatu hadi wanne wasipande mbele kwa...
  13. Kata Funua Aliyopigwa Simba SC pale Kwa Mkapa na Makhirikhiri, Mo Dewji Alaumiwe?

    Mnaweza Kuwalaumu Wachezaji, lakini kwa ubora ule wa wakina Sakho, Kanoute na Banda ni vigumu sana kwa mtu mwenye akili kichwani kutarajia makuu kutoka kwao. Mnaweza kumlaumu kocha lakini kwa wachezaji alioletewa na Mo Dewji...anakosewa heshima. Licha ya kuwa Didier GOMES sio mwalimu mwenye...
  14. Hali tete Simba: Mo apaniki tena, aushinikiza uongozi uchukue hatua kwa mechi ya leo

    Bilionea Mo ametoka ku-tweet muda si mrefu, Wana Simba mnasemaje? Hali tete
  15. Simba Sc ikipigwa nchi hutulia.

    Mitaaani kuanzia kariakoo Msimbazi hadi mitaa ya huku kwetu huwezi kusikia makelele. WanaSc punguzeni makelele mnaposhinda hasa mkipata kabao komoja.
  16. Cult following au tatizo la afya ya akili: Jinsi Biashara wanavyoshambuliwa na mashabiki wa Simba na Yanga

    Inashangaza kwa kweli. Yaani sasa hivi watu wamejaa mihemko tu na kuabudu watu fulani tu. Yaani wanatamani kama team ya mpira inayofanya vizuri iwe Simba au Yanga. Kama ni msanii, wanataka awe msanii wao tu Alikiba, Harmonize, au Diamond Kama ni siasa wanaamini mtu wao yeye ni malaika...
  17. Suggestion formation ya Match ya leo Simba vs Galaxy

    Simba ni kama maji. Ndio team pekee inayotung'aalisha kimataifa. Ninaweka mapendekezo yangu ya formation ya leo. Lengo ni kwamba leo tunataka kufunga mengi.
  18. Mechi ya Simba ni saa ngapi?

    Hii mechi inaanza saa ngapi. Tuambiane jamani wengine tunaishi vijijini. a.k.a shibekijijini
  19. Simba mlichowafanyia biashara sio poa

    Mmefanikiwa kuwahujumu wasisafiri kwenda Libya kisa waliwabana mkatoka droo. Mna ushaidi gani yanga alitoa pesa kwamba Simba afungwe na biashara? Kwa kuwatumia watu wa kushughulikia vibari mmechomeka rushwa ili wakwamishe vibari vya kusafiri? Mtu wa Kwanza aliyeihujumu Biashara Ni Rais wa TFF...
  20. C

    Biashara United nje mashindano ya CAF. Hatarini kufungiwa, Mlezi yuko wapi? Jasho la Simba lapotea bure

    mlezi anaweza kutafuta milioni 15 fastafasta kwenye mechi vs simba(hata kama ni za wauza magodoro) ila kwenye issue muhimu akihojiwa anakuambia siwezi toa hela zangu za mshahara sasa pre match meeting huko benghazi libya imemalizika , Baadaye AHLY TRIPOLI wanaingiza team uwanjani watakaguliwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…