simba

  1. Saoka

    JamiiForums Tanzania Nimeota nafukuzwa na simba pamoja na mbwa wawili

    Habari wakuu, Usiku nikiwa nimelala niliota nipo porini mwenyewe mara ghafla nikaona mbwa wawili wananikimbilia speed namimi nikaanza mbio kule mbele yupo Simba nae anakuja speed daah kwakweli niliishiwa pozi maana wote walikuwa wamenizunguka sasa hapo nikajikuta nimeshtuka na usingizi wote...
  2. Kalpana

    JamiiForums Tanzania Timu yangu Simba na mashabiki wote

    Naona kabisa kwa trend hii tunaenda kupotea. Huu mwendelezo wa kila mtu kulaumu ooh timu mbovu mara wachezaji hawachezi mara sijui Mo kafanyaje kwakweli itenda kutugharimu... kivipi 1) Hii hali inashusha morale ya wachezaji na kujisikia inferior kwa sababu hata sisi tuu tunaowashangilia...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Penati ya Simba SC leo dhidi ya Polisi Tanzania kwa 100% haikuwa halali na Simba SC tumebebwa kweupe, ninawashangaa wanaofurahia Ushindi

    Nipo tayari Kuchukiwa na Kutukanwa na Wana Simba SC wote wasiojua Mpira ila najua wale Wana Simba SC wasio Wanafiki na Werevu watakubaliana nami kuwa Penati iliyotupa Ushindi Usiku huu dhidi ya Polisi Tanzania ni kwamba kwa 100% Simba SC tumebebwa tena bila Aibu ya Mwamuzi. Uwazi wangu...
  4. Theb

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa simba. Tuleteeni kocha haraka

    Kwa maoni yangu tu kwa muda mchache ninaongalia timu yetu pendwa ya simba sport club naona kabisa huyu kocha hamna kitu aisee tuleteeeni mtu km kishingo angalau. Ila huyu aibu zinakuja mbele yetu. Wadau wengine mlete maoni yenu kwa muda huu tu mchache mnao tazama huu mchezo wa simba na...
  5. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania NBC Premier League: Police Tanzania 0-1 Simba SC (27/10/2021)

    Baada Ya Kupigwa 3 kwa Moja Na Jwaneng Galaxy, Leo simba Wanaikaribisha Polisi Tanzania Kwenye Mchezo wa Ligii kuu Tanzania Bara. Polisi Tanzania Wamekuwa na Mwanzo Mzuri wa Ligi hii huku Simba Akiwa amefungwa michezo yote aliyocheza uwanja Wa Benjamini Mkapa Kwa msimu huu. Alifungwa na Yanga...
  6. technically

    JamiiForums Tanzania Game ya Simba na yanga iliyopangwa 11 December kusogezwa mbele?

    Nimelala nikaota ndoto game ya Simba na yanga imesogezwa mbele na haitachezwa tarehe 11 mwezi 12 Kama ilivyopangwa kwenye ratiba. Hapo ndio uwa najiuliza tff wanafanyaje kazi zao kwanini hawapangi ratiba Bora isiyoyumba ? Nani anasogezewa mbele kipigo?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Yanga mwajirini kocha wa viungo aliyetimuliwa na Simba

    Kwa kuwa mpira ni kazi mtu anaweza kufanya kazi mahala popote pale kama ambavyo tumejionea hivi karibuni kwa Senzo na Haji Manara. Huyu jamaa ni msaada mkubwa atawasidia Yanga hadi watashangaa kwanza anaijua kazi yake na nanaipenda pia ni mtoa hamasa kubwa nilikuwa namuona kwenye benchi la...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Asanteni Simba kufata ushauri wangu, chizi vitabu mwenye akili nyingi

    Huku ndani namwaga madini mengi sana nilitoa habari ya menina kudai mamiilioni ikapostiwa instagram copy and paste yangu yangu kuna ya biashara kudaiwa kuuza mechi hadi kitenge kapost ingawa kapost pia ila source ni nuhu adams wa ghana natishiwa inbox eti nitafungwa harakisheni fastaa...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa kumbakiza Kocha Hitimana Simba SC na kumfukuza Kocha wa Viungo Zrane natamani leo tufungwe au 'tudroo' na Polisi Tanzania

    Kuna Vitu vya Kipumbavu mno vinafanyika Simba SC na naomba leo Simba SC tufungwe au tutoke tu Sare na Police Tanzania ili Hasira zangu za Kufungwa 'Kimipango' na Jwaneng Galaxy nizijumuishe na za leo Usiku nije na Uzi wa Kusema Siri za Upumbavu wote uliopo na unaoendelea Simba SC. Hivi...
  10. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa Simba: Red Arrow imewahi kuipiga timu ya Tanzania 7-0

    Nawasalimu kwa Jina la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwaka 2009 katika kombe hili hili lla shirikisho Timu inayoitwa Mundu SC kutoka TANZANIA visiwani ilikung'utwa bao 6-0 katika first leg na kumaliziwa 1-0 na hivyo kupasuka jumla ya goli 7-0. Katika Droo iliyotoka hivi karibuni watanzania...
  11. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Simba mdomoni mwa Wazambia.

    Ni kwamba hapa Simba mwendo wameumaliza. Ni wazi CAF hawataki kuiona Simba mwaka huu kwenye makundi.😄😄😜😜🏃🏃
  12. karv

    JamiiForums Tanzania Simba SC yaachana na Kocha Mkuu Didier Gomes da Rosa, Thierry Hitimana kuwa kocha kipindi cha mpito

    Kwa kauli aliyoitoa ni Mo Dewji baada ya simba kufungwa nilijua tu Gomes hawezi kupona Nakumbuka kabla hajawa muwekezaji simba alitoa kauli kama hiyo Omog ambaye kwa sasa ni kocha wa Mtibwa Sugar nae akafungasha Bado Ole Guna Sosha sasa ili niwe na amani ya moyo.
  13. uttoh2002

    JamiiForums Tanzania Inaonekana Simba mnamtema Gomez?

    Taarifa za awali kabisa ni kwamba Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba SC imemfuta kazi Kocha Mkuu wa Klabu hiyo Didier Gomes Da Rosa kutokana na kushindwa kuisaidia klabu hiyo kufuzu makundi ya klabu bingwa Afrika (CAF Champion League). Kwa sasa kikosi hicho kitakuwa chini ya Kocha Hitimana...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kikao kizito cha dharura cha bodi ya simba kinaendelea muda huu

    Maduka yanayotembea yenye miguu miwili yajiandae, story zenu za mpira una matokeo matatu kasimulieni wake zenu na marehemu bibi zenu, nyambafu
  15. C

    JamiiForums Tanzania Benchi la ufundi Simba lapigwa chini

    Habari ambazo hazijathibitishwa ni kwamba benchi la ufundi limepigwa chini, kama ni kweli ni sawa tu ingawa Hitimana kaonewa Mzungu keshachachawa hajui tena hata kufanya sub na mapenzi binafsi kwa wachezaji kama wawa yemepitiliza Matola kwa kweli kama tunayoyasikia ni kweli basi ulaaniwe sana...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Yatambue mafaza ya Simba SC yasiyogusika hata yakivurunda au kuuza mechi

    *manula.... huyu hata kumuelezea ni ngumu siku akiamua kudaka anadaka kwelikweli siku akiamu kuvurunda kama jana utafurahi mwenyewe kwa huzuni *Boko .... Huyu naye kama Manula probably hana miaka 32 kama anavyosema *Wawa .... Hili ndilo kubwa la magodfather huwa halipendi kuruka kama goli...
  17. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Simba SC kukutana na miamba hawa

    PLAY OFF CAF CCC KUWAKUTANISHA 🇹🇿 Simba SC 🇨🇩 Tp Mazembe 🇲🇦 RS Berkane 🇪🇬 Pyramids 🇩🇿 JS Kabylie 🇳🇬 Enyimba 🇹🇳 CS Sfaxien 🇨🇲 Coton Sport 🇿🇦 Orlando Pirates 🇪🇬 Al Masry Wakati MAKOLO FC wanahangaika kutafuta mchawi ni nani miamba hii inapiga push up. Sasa ni rasmi wamepewa RED ARROWS washindwe...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Simba SC ni kumkufuru Mwenyezi Mungu

    Sio kituo la kawaida kwa Simba iwe mbele kwa BAO 3-0 uwanja wa Mkapa halafu zote zirudishwe kwenye kipindi kimoja na timu ndogo kabisa kama Galaxy. Sio kitu Cha kawaida watu wenye ulemavu wa ngozi Tanzania kuwa mtu maarufu kama Haji Manara. Huyu mtu kufika level aliyonayo kwenye nchi kama ya...
  19. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Simba yashindwa kuivunja rekodi ya Yanga

    Kuna rekodi hazivunjiki kama vile; Young Africans ndiyo Klabu ya kwanza Tanzania kuingia robo fainali klabu bingwa 1969 Simba ndiyo klabu ya kwanza kuingia nusu fainali klabu bingwa 1974 Kuna rekodi zinavunjika kama; Yanga kuwa klabu pekee ya Tanzania kuingia ROBO FAINALI klabu bingwa kwa...
  20. MabatiBeiNafuu

    JamiiForums Tanzania Tamaa za pesa zimetuponza Simba, tumesajili kimhemko. Sijasikitika sana

    Wakuu hii Simba ukiangalia ni mbovu sana hairidhishi hata kuiangalia. Hata tuliposhinda kule Botswana wala sikufurahia jinsi timu ilivyocheza. Hii timu haionekani hata ikitafuta ushindi. Tulicheza vibaya sana na timu ilionekana kuelemewa basi tu bahati ilikuwa kwetu. Kocha ameshindwa hata...
Back
Top Bottom