simba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Kocha mpya Simba SC Pablo Franco unalipa Mshahara wa Nabi, Kazi, Zahera, Manara na Bumbuli huku Chenji ikibaki pia

    Awali alitaka Mshahara wa Tsh Milioni 350 kwa Mwezi ila baada ya Majadiliano na Klabu aliyoipenda ya Simba baada ya Kusimuliwa na Timu ya Sevilla ya Hispania iliyokuja Tanzania kucheza na Simba SC sasa amekubali kupokea Mshahara wa Tsh Milioni 250 kwa Mwezi na mpaka sasa ameshalipwa tayari...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC mnaoweweseka na Tetesi za Clatous Chama kwenda Yanga SC mmeanza Kuijua na Kuifuatilia Simba SC lini? Mnaniangusha

    Yawezekana 95% ya Vijana mnaoifuatilia na hata Kuishabikia Simba SC wengi wenu miaka yetu mlikuwa bado katika Zipu za Baba zenu wakitafakari wawalete duniani au waghairi tu. Nimeshangaa na Kushangazwa mno kuona wana Simba SC leo wakiwa wameshtushwa na wengine hata Kuogopa baada ya Tetesi za...
  3. demigod

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Simba SC Wamekosea Kuajiri Kocha Asiye na Uzoefu wa Soka la Afrika.

    Sote tumeona aina ya Kocha ambaye ameajiriwa na Simba SC. Kocha ambaye amechukua nafasi ya Didier Gomes. Tukiamua kutumia jicho la tatu la kiuchambuzi kila anakubariana na mimi kuwa Simba SC inaenda kupitia changamoto nyingine ya kibahati nasibu. Uzoefu:- Yes anauzoefu wa kufundisha katika...
  4. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Simba inaendeshwa kwa hasara kuliko Utopolo

    Napingana na Engineer kuwa Utopolo inaendeshwa kwa hasara kwani Mo Dewji aliposema Simba inaendeshwa kwa hasara walimtukana wakiongozwa na Msukule wao .. Yanga pamoja na waandishi Mazuzu walimsema vibaya Sana Mo... kwamba anakula mpunga kijanjajanja pale Simba! Hivyo Engineer sikubaliani nawewe...
  5. President of China

    JamiiForums Tanzania Kwanini yanga wanaumia sana simba isipocheza vizuri!?

    Nimefuatilia kwenye mitandao ya kijamii, kila mtandao nakutana na mwanayanga aka UTO akilalamika kwanini simba mpaka sasa haiongozi ligi. Nimejaribu kifuatilia masuala ya kisaikolojia na mental illness nikagundua, mashabiki wengi wa yanga wanaipenda sana simba. Simba imekuwa national club...
  6. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Simba kumtambulisha kocha wake saa mbili usiku huu

    Kupitia ukurasa wa klabu ya Simba kwenye mtandao wa Twitter, wametangaza kuwa usiku wa leo saa mbili watamtangaza kocha mpya! Hivyo mashabiki wakae mkao wa kula!! Unahisi kocha wa Simba atatoka nchi gani?
  7. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Mwaka jana (2020), Raundi ya 5 Simba ilikuwa ikiongoza Ligi

    Pamoja na kwamba Yanga ilimaliza mzunguko wa kwanza ikiwa kileleni msimu uliopita lakini ligi ilipofikia Round ya 5 Simba ndiyo iliyo kuwa ikiongoza ligi wakiwa wote wanalinga point lakini Simba akiwa juu kwa tofauti ya magoli FACT1 Mwaka jana SIMBA alikuwa na magoli mengi ya kufunga mara mbili...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mkwara wangu Kuzaa Matunda na leo Simba SC imeshinda japo kwa taabu naomba Kikosi hiki ndiyo kiwe kinaanza mwanzo mwisho tafadhali

    FIRST ELEVEN YA USHINDI TUPU 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein Zimbwe 4. Kennedy Wilson 5. Joash Onyango 6. Jonas Mkude Deco de Souza 7. Duncan Nyoni 8. Rally Bwalya 9. Meddie Kagere Mkombozi 10. Ibrahim Ajib Fundi wa Mpira 11. Kibu Denis Mpambanaji SUBSTITUTES WA USHINDI...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Simba mtateseka sana msimu huu kama staili yenyewe ndo hii

    Ni ajabu na kweli timu iliyokuwa inajinasibu kuwa na kikosi bora imebaki kutegemea mbeleko ya kadi nyekundu na penalty ili kupata matokeo,,,na licha ya kupata matokeo wanatoa machozi jasho na damu kupata angalau kagoli kamoja mbele ya timu inayocheza pungufu kwa muda mrefu. Kama mpinzani akiwa...
  10. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

    NBC Premier League kuendelea leo. Mabingwa watetezi Simba SC wakitoka kupata sare mchezo uliopita, leo saa 1:00 usiku kuwaalika Namungo FC ambao nao pia walitoka sare mchezo wao uliopita. Je, leo nani kuondoka na alama 3? Kwa upande wa Simba, Mkude Anarejea katika nafasi ya kiungo baada ya kuwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Simba vs Namungo, unadhani mechi ya leo mnyama atapata penalt dk ya ngapi?

    Mimi nishaweka sawa mkeka wangu mnyama Kama kawaida yake ataendelea alipoishia penalt ya 4 leo inapatikana ikishindikana kuna mtu anakula umeme tunashindaa bila jasho, ivyo vitu ndo mwokozi wetu kwa sasa mtatusameh kwakweli tunapozidiwa uwa tunakula mpaka Majani🤣🤣🤣🤣
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Simba SC leo mkitoka sare au mkifungwa na Namungo FC kwa Mkapa tafuteni vichochoro vya kukimbilia tumeshachoka kuwavumilia

    Wengine kwa Mpira wenu Mbovu na Matokeo mabaya sasa tumeshakonda na tukiona Soka zuri, la Kitabuni, linalovutia la Yanga SC na Ushindi wao mfululizo ndiyo Hasira zinatupanda na Machungu kutuzidia Mioyoni na Rohoni. Wachezaji wa Simba SC ukomo Wetu wa Kuwavumilia umeshafika Kikomo na leo Ole...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Manara ifanyiwe kazi; kwanini Yanga & Simba hawezi shinda bila kubebwa kwa penati na kadi nyekundu kwa wapinzani wao?

    Nilikuwa naangalia mechi baina ya Yanga na Ruvu na mpira ulikuwa umebalance huku Ruvu wakimiliki mchezo vyema hadi pale referee kwa mapenzi binafsi alipoamua kuharibu mpira kwa kuwazawadia Yanga penati ya bure bila kufuata kanuni 17 za mpira wa miguu achilia mbali kumtoa nje mchezaji wa Ruvu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC ikifanya haya tu Mashabiki wake wataendelea Kunenepa na itarejea katika Soka lake lile la uhakika huku wakiyasahau Machungu yote

    1. Ikubali kuwa Msimu huu Yanga SC imesajili vyema na imedhamiria Kivitendo kufanya vyema na kuwa Mabingwa wa NBC Premier League.. 2. Ikubali kuwa Msimu huu imesajili Kimihemko na vibaya zaidi kama walivyowahi kufanya Wapinzani wao Yanga SC kwa Misimu Miwili mfululizo hivyo wanatakiwa (...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wapya wa simba, ni nani anamzidi kiwango Francis kahata alieachwa na simba?

    Simba mpya haipati matokeo mazuri msimu huu. Simba imesajili wageni wengi na kuwaacha wageni wengine kama francis kahata. Je katika wachezaji wapya wa simba ni nani anamzidi kiwango Francis Kahata?
  16. C

    JamiiForums Tanzania Kwako Barbara - CEO Simba Sports Club

    Niwaombe wana Jamii Forum wasaidie kufikisha ujumbe huu kwa kiongozi yoyote wa SSC kama wapo humu. Madam Barbara : Tatizo la Simba ni moja tu fanyia kazi hili haraka sana, 1: Mpaka muda huu Simba imezidiwa propaganda kwenye Social Media, Redio na TV stations Simba sasa hivi imekuwa inapewa...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Simba tafadhali msimchukue yule kocha wa Mamelodi, please mtajuta sana

    Litakuwa kosa kubwa la karne narudia tena kosa kubwa mnoooo Mookoena huyo wa south africa au kocha yoyote msouth affrica hafai kabisa nasikia Pitso Mosimane kampigia pande hapo, do not hire him. Wa south africa haswa weusi wanatudharau sana , hata mitandaoni ukiona jinsi wanavyokandia leagues...
  18. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Pongezi nyingi kwa timu za Ligi Kuu isipokuwa Yanga na Simba

    Naamini hamjaamka poa kwa sababu ya tozo plus timu mbovu ya Makolo. Asubuhi yote hii napenda kuvipongeza vilabu vyote vinavyoshirikia ligi kuu Tanzania, hakika mpka sasa vimeonesha ushindani mkubwa sana. Yanga na Simba zishazoea (zimekariri) kuwa na uteja kwa baadhi ya timu mpka kwenda na...
  19. je parle

    JamiiForums Tanzania Simba SC, kwa mpira huu kazi ipo

    Simba imepoteza uimara uwanjani kabisa.inacheza as if wanacheza ndondo hawana mipango hawana maamuzi. Tulishazoea Simba vs coastal ni mechi ya magoli mengi lakini leo hii Coastal anamiliki mpira anafanya mashambulizi ya hatari kuliko simba. Hii ni aibu huu mwaka.kama simba itashinda wanatakiwa...
  20. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

    Coastal Union haijawahi kupata ushindi mbele ya Simba kwenye ligi kuu kwa misimu mitatu mfululizo iliyopita tangu msimu wa 2018/19. Katika mechi sita walizokutana, Simba imeshinda mechi tano na kutoka suluhu mechi tatu, Jumla Ya Magoli 21 Wagosi wa Kaya Wafungwa na simba katika Michezo hii 6...
Back
Top Bottom