CEO wa Simba tulipaza sauti mapema kabla usajili kukoma

Chendembe

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
416
462
Wakati muda wa dirisha la usajili kukaribia kutamatika, tulieleza kwamba Simba sio football academy ambapo wachezaji kinda wanafundishwa.

Pia, tulibainisha mapungufu ya safu ya ulinzi na namna ya kuziba nafasi zilizoachwa na kee players mliowauza. Mbali zaidi, wengine tukalaumu hatua ya kumwacha Chikwende, mchezaji mzoefu, ambaye anachezea timu yake ya Taifa kwa mafanikio. Tunamkumbuka na Kahata sasa.

Leo unatuambia hujafuraishwa na soka lililoonyeshwa na wachezaji wako kwelii?

Nani wa kulaumiwa Kama sio wewe. Sijaona mchezaji wa kigeni mpya ambaye amekonga nyoyo za mashabiki na wapenzi wa Simba Hadi sasa.

Kwa hali ya kikosi hiki, tutakuwa tunashinda kwa kutegemea kudra za Maulana.

Jitafakari
 
Sawa. Kama atakuwa amekusikia, tunatumai atafanyia kazi. Huku mtaani watu wamepigika na maisha ya uchumi wa Kati, sasa walikuwa angalau wanakuja kupoza maumivu ya maisha na Pira Biriani la Simba. Sasa huku nako wanaanza kupigika. Pira biriani limekuwa Pira nyanya chungu.

Sio poa kabisa.
 
Nchini kwetu tunashindwa kutofautisha utendaji wa nje ya uwanja na ndani ya uwanja MO NI MIYAYUSHO PAMOJA NA SAFU YAKE YOTE YA UTENDAJI mpira sio kuchukua chukua tu person assistant kuweka CEO wa timu tukifungwa kuna hujuma tukishinda unataka usifiwe wewe ndio maana Africa Lyon ilimshinda
 
Mbususu ndio chanzo cha yote haya jamani bosi gabachori kafinyiwa ndani, kaweka mchepuko kwenye litimu lake la hovyo
 
Nchini kwetu tunashindwa kutofautisha utendaji wa nje ya uwanja na ndani ya uwanja MO NI MIYAYUSHO PAMOJA NA SAFU YAKE YOTE YA UTENDAJI mpira sio kuchukua chukua tu person assistant kuweka CEO wa timu tukifungwa kuna hujuma tukishinda unataka usifiwe wewe ndio maana Africa Lyon ilimshinda

Tafuta Hela dhamini Timu ili umuoneshe MO jinsi Timu inavyoendeshwa.
 
Magori ndiye aliye iingiza Simba Chaka, Alidai Simba imesajili wachezaji Bora wapewe muda, Matokeo yake ata wale wachezaji walikua wakikaa bench wamekua Bora kuliko wachezaji kutoka nje ya nchi.
Simba na Yanga uwa hazimsubiri mchezaji, zinaitaji matokeo kwakua ni timu zenye presha kubwa. Simba na Yanga sio sehemu ya majaribio zinahitaji wachezaji wenye ushindani mkubwa.
 
Jamaa najua ni mtu smart na ni mwerevu ila sijajua kwann mwaka huu amekua mwanasiasa kiasi iki kuna siku et anaongea kabisa hawakumuitaji aucho kwa mchezaji kama yule kuongea kaur ata kama propaganda ila ni zalau kwa wanasimba sisi tunawategemea wao tumewapa dhamana ya kuijenga timu iwe bora zaid mashabik wanafanya kaz yao vyema tu wanaenda viwanjan wananunua jez kila wanachofanya watu wanasupot kwa mapenz zaid kama viongoz jukum lao kusimamia yote ni pamoja na kuleta wachezaj wazur ikitokea kiongoz anaongea kaur za ovyo kwa mtu ambae kila mmoja anaona uwezo wako ni kutiana ujinga ni bora ukae kimya na kujua tumekosea baadae ujipange zaid ufanye usajil bora sasa iv simba wachezaji nyota anakua hd au benard ni vzur ila kama viongoz wanatakiwa wajitathamin aina uficho kujua kwamba kuna sehem wamekosea ktk usajil
 
Una ugomvi na punctuation marks?
 
Magori ndiye aliye iingiza Simba Chaka, Alidai Simba imesajili wachezaji Bora wapewe muda, Matokeo yake ata wale wachezaji walikua wakikaa bench wamekua Bora kuliko wachezaji kutoka nje ya nchi.
Simba na Yanga uwa hazimsubiri mchezaji, zinaitaji matokeo kwakua ni timu zenye presha kubwa. Simba na Yanga sio sehemu ya majaribio zinahitaji wachezaji wenye ushindani mkubwa.
Magori eti ndio technical advisor wa timu. Akikutana na timu pinzani kisha mchezaji fulani kwenye timu hiyo aliwasumbua anataka asajiliwe Simba!!!
 
Wakati muda wa dirisha la usajili kukaribia kutamatika, tulieleza kwamba Simba sio football academy ambapo wachezaji kinda wanafundishwa.

Pia, tulibainisha mapungufu ya safu ya ulinzi na namna ya kuziba nafasi zilizoachwa na kee players mliowauza. Mbali zaidi, wengine tukalaumu hatua ya kumwacha Chikwende, mchezaji mzoefu, ambaye anachezea timu yake ya Taifa kwa mafanikio. Tunamkumbuka na Kahata sasa.

Leo unatuambia hujafuraishwa na soka lililoonyeshwa na wachezaji wako kwelii?

Nani wa kulaumiwa Kama sio wewe. Sijaona mchezaji wa kigeni mpya ambaye amekonga nyoyo za mashabiki na wapenzi wa Simba Hadi sasa.

Kwa hali ya kikosi hiki, tutakuwa tunashinda kwa kutegemea kudra za Maulana.

Jitafakari
Ndio kwanza simba inafanya vzr. Hivi utopolo mnawashwa na nini..? Kila mara Mo Mo kazi aliyoifanya Mo unadhani ni nyepesi hakuna mtu mweusi nchi hii au mtz yoyotr nchi hii ambae angedhubutu kuwekeza pesa bila faida kama dewj. Leo simba ina heshimika Africa ni juhudi za dewj sio propaganda. Unakuja unakosoa tu bila kujitafakari unaandika mambo yapo biased kinoma. Tupende kutoa vibanzi kwenye macho yetu kabla ya kuangalia boriti kwenye macho ya wengine. Anaeponda hivyo ukute hata hachangii hata 100 mle simba. Hakuna timu duniani inayokua kwenye form kila wakati wachezaji wamesajiliwa tuwape muda. Waliouzwa ni wawili chama na luis. Waliowaleta ndio wamewauza na wakaleta wengine jutafakarini kabla ya kutoa chambuzi zisizo na macho
 
Back
Top Bottom