simba

  1. ESPRESSO COFFEE

    FT: Simba SC 3 - 0 Red Arrows kombe la shirikisho barani Afrika

    Ni Jumapili Tulivu, Jumapili Yenye Kimvua Fulani Maeneo Ya Mjini Dasilamu, Litako pigwa Pira Real Madrid, Wakati Timu zingine Zikiwa Mikoani kuendelea kusaka Point, Kama mkoa wa mbeya Na Vitongoji vyake, SIMBA SC atakuwa analiwakilisha taifa kwenye michezo Ya Kimataifa. Ni Simba Vs Red Arrows...
  2. kavulata

    Timu ndogo kubalini kufungwa na Simba na Yanga ili mpone.

    Baada ya mechi za Simba au Yanga kufanya vizuri mechi zinazofuata timu ndogo hazifanyi vizuri, zinafungwa na timu ndogo wenzao. Hii inatokana na makocha au wachezaji wenyewe wa timu ndogo kwa sababu zao kutumia nguvu nyingi sana kupita kiasi kutaka kulazimisha kuzifinga Simba na Yanga kwa...
  3. CK Allan

    Ukweli Mchungu: Simba na Yanga havitakaa vimiliki viwanja vyao vya kuchezea mechi zao za ligi

    Ndio hivyo! Mechi za Simba na Yanga wakicheza na vilabu vingine ni wao wenyewe wanapanga viingilio.. Lakini ikifika Derby ni TFF ndio wanapanga viingilio, Angalia mapato ambayo Simba na Yanga wanaingiza kupitia Mkapa Stadium! Leo hii uwaruhusu Yanga na Simba wamiliki viwanja vyao halafu...
  4. Kalpana

    Mkiambiwa Timu au Club ya Simba ni kubwa muwe mnaelewa

    Unaposema ukubwa wa kitu ni kwenye nyanja nyingi lakini kwa leo nataka tuu tujikite kwenye mitandao ya kijamii. Hebu angalieni hapa chini
  5. M

    Mwenyekiti Simba SC Mangungu: Nchi itasimama Dirisha dogo la Usajili

    Kwa 'nyepe nyepe' nilizonazo huenda 'Visiki' Viwili muhimu sana Vikang'olewa mahala. Nilipoona tu 'Mafia' ninayemkubali Simba SC nzima Kassim Dewji karithi Mikoba ya 'Mafia' Zachariah Hanspoppe nikajua kuna Watu wanaenda Kuumia, Kulia na hawatoamini.
  6. kasanga70

    Barua ya wazi kwa Club ya Simba: Simba Sports Club

    Wasalaam, Jana nimetoka Lusaka nipo iringa now. Haya ndio niliyoyasikia kwa masikio yangu. Mnajua wazambia wanapenda sana mpira. Wanasema hivi; 1. Ukitaka kuifunga simba cheza cross nyingi sana utapata magoli. Mabeki wake hawajui KBS kucheza cross hasa baada ya kukimbizwa na mawinga. Red arrows...
  7. M

    Haji Manara bado tu unamuamini Alex Mgongolwa kuwa ishtaki Simba SC kwa Kukuajiri bila Mkataba na atakusimamia Kisheria ushinde?

    Halafu nashangaa sana kuona ya kwamba ulitumia Nguvu Kubwa Kulisemea hili Mitandaoni huku Ukiwatisha Simba SC lakini ghafla ukapoa na sasa hivi hutaki hata Kuliongolea. Tunajua ni huyu huyu "Failure Lawyer' Alex Mgongolwa ndiyo alikutia Ndimu ( Kushawishi ) uwashtaki Simba SC kwa Kukuajiri bila...
  8. liwaya

    Mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison

    Nasikia kitu kizito kimeshatua huko Ila imetoka kwa lugha ya malkia mwenye taarifa atuwekee kitu hapa ==== MAHAKAMA ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison Raia wa Ghana na kumfanya mchezaji huyo kuwa halali...
  9. M

    Simkubali Haji Manara na ana Matatizo yake, ila kwa hili la Clatous Chama namuamini 100% na wana Simba SC tusidanganywe na Uongozi wetu

    Nakumbuka KEROZENE nilipochangia Uzi wakati Chama alipouzwa nilisema hapa hapa kuwa ile ilikuwa ni Gia tu, ila muda mchache atarudi Tanzania na Kutua Yanga SC. Kuna sababu Kuu Nne ambazo niliziona wakati nachangia huo Uzi kuwa Chama atatua Yanga SC moja ikiwa ni ukaribu wake na Ridhiwani...
  10. Action and Reaction

    Utabiri wangu kwa timu za Simba na Yanga kabla ya msimu kuisha

    Kwa muelekeo ninaouna ✓ Mechi zote alizoshinda Yanga, Simba anakwenda kushinda kwa magoli mengi... ✓ Mechi zote alizotoa sare Simba, Yanga wanakwenda kupigwa wakiambulia zaidi ni sare kama ya Namungo... ✓ Mechi zote Simba alizoshinda MOYA BILA ( according to Mwnyi Zahera), Yanga anakwenda...
  11. M

    Wachezaji hawa wa Simba SC wapunguze 'Ego' kwani inawaharibia Binafsi na Kuigharimu pia na Simba SC yetu

    Aishi Salum Manula Kujiona anajua, Sifa Kumuharibu na kuamini hana Upinzani ndani ya Kikosi kunaanza Kumgharimu mpaka Kufungwa Magoli ya Kitoto, Kipuuzi na ya Kukosa tu Umakini wake. Ajitathmini na ajirekebishe upesi. Erasto Edward Nyoni Kujiona Mkongwe, Kusifiwa mno na Kuvimba Kichwa...
  12. Labani og

    Kama wewe ni Mtanzania na mdau wa soka ungepata nafasi ya kumshauri kocha wa simba Pablo Franco ungempa ushauri gani

    Kama title inavyojieleza hapo juu, kama mtanzania pure na ni mdau wa soka kutokana na kuyumba kwa timu ya Taifa ni vyema kuendelea kuwekeza nguvu kubwa kwa vilabu vyetu pendwa ili atleast twende kwenye ubora kwa ngazi ya vilabu ili kuwatoa kimaso maso watanzania. Kwa mfano SIMBA walifanya...
  13. LIKUD

    Hirizi ya Simba ya Freemasons vs Hirizi ya Simba ya mchawi au mganga wa kiafrika

    Kwamba ukiwa Na hirizi ya Simba uta demonstrate sifa, nguvu Na uwezo kama WA mnyama Simba kama vile kuogopeka nakadhalika. Muumini WA Dini ZA kiafrika ( ambae anaweza kuwa muislamu au mkristo) mchawi WA kiafrika, mganga wa kiafrika, mchawi WA kiarabu, mganga WA kiarabu akitaka hirizi ya Simba...
  14. Gordian Anduru

    Tutahesabu wachezaji wa NBC premier league watakaoitwa timu za taifa Play off 3rd round WC Qatar 2022

    Umefika wakati wa kuhesabu nani ana wachezaji wengi mataifa mbalimbali Haya hatua ya pili Caf Word cup qualifiier imepita draw ya kupanga yale mataifa 10 bora itafanyika December 18 2021 mechi zitaanza march 2022 Kutoka ligi yaNBC watawakilishwa na 1. Diarra (Hata kama anakaa sub lakini si...
  15. Area 56

    Don Castro kocha mpya wa viungo Simba

    Makolo wameendelea kutuletea vituko, na sasa wameleta zungu la unga, Don Castro kama kocha mpya wa viungo. Hawa jamaa lugha inaweza ikaja kuwa kikwazo kwao ukizingatia Makolo wengi elimu ndogo.
  16. M

    Wana Simba SC wenzangu tafadhali tumkope Akili Beki Dickson Job na tumpe Mshambuliaji wetu John Boko ili zimsaidie Kiufanisi Uwanjani

    Kama leo ningepewa Furushi la Fimbo za Mianzi au Mipera na kuambiwa nimchague mchezaji wa Taifa Stars aliyenikera ilipocheza na Madagascar na nimchape nazo nina uhakika Mshambuliaji wangu wa Simba SC angezikoga kama siyo Kuzichezea sana. Haiwezekani Beki wa Yanga SC ninayemuhusudu (...
  17. Labani og

    kocha wa simba Pablo Franco inawezekana ameletwa na GSM ili kuleta Fair competition kwenye ligi yetu pendwa

    kama title inavyosomeka hapo juu kutokana na uchambuzi wangu wa kisoka inawezekana kocha wa timu ya madrid ya bongo (kolo fc) pablo franco ameletwa na brand kampuni kubwa ya GSM ili kuleta fair competition kwenye ligue yetu pendwa kutokana na ndugu zetu hawa kuanza kulia lia mapema kwamba hakuna...
  18. M

    Cambiasso nao sijui GSM kawapa shingapi ili waikamie Simba?

    Ni mechi ya kirafiki iliyopigwa jana simba amedroo na academy ya cambiasso goli 2-2, lakini ingekuwa mechi ya ligi wangeanza kupiga mayowe kuwa wanakamiwa na timu zilizopewa ela na gsm wakati uwezo wao ndo umeishia hapo. Kinachotokea kwenye uwanja wa mazoezi ndo kinareflect kinachokuwa...
  19. C

    Simba na Vunja Bei wanamuogopa Manara kumbe GSM anatengeneza jezi za Simba

    Ukisikia aibu ni hizi kumbe kutwa nzima tunaiponda GSM na Manara anatucheka tu kimyakimya , wanasimba kwa pamoja tuwaombe radhi Gsm kwa mujibu wa clip ya manara instagram ni kwamba GSM ndiyo wanaotengeza jezi za simba hiyo ni baada ya kuonekana kilichoitwa jezi feki za simba Ukiamini kwamba ni...
  20. Dr Matola PhD

    Simba wameingizwa choo cha kike, kocha Pablo ni magumashi

    Makolo mulibwanji?😄😄 NAWEKA REKODI SAWA JE PABLO FRANCO MARTIN, ALIWAHI KUWA KOCHA MSAIDIZI WA REAL MADRID? Taifa limeendelea kudanganywa kwa mara nyingine, naweza kusema hivyo bila shaka. Pia, udhaifu wa wachambuzi wetu katika kulipokea jambo fulani kisha kulifanyia utafiti wa kina...
Back
Top Bottom