simba

  1. Chendembe

    JamiiForums Tanzania CEO wa Simba tulipaza sauti mapema kabla usajili kukoma

    Wakati muda wa dirisha la usajili kukaribia kutamatika, tulieleza kwamba Simba sio football academy ambapo wachezaji kinda wanafundishwa. Pia, tulibainisha mapungufu ya safu ya ulinzi na namna ya kuziba nafasi zilizoachwa na kee players mliowauza. Mbali zaidi, wengine tukalaumu hatua ya...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunamsifu Bernard Morrison, ila kwa 75% hana Msaada kwa Simba SC na ni Mzigo, lakini kwa 25% ndiyo huwa anatusaidia

    1. Hakabi akipoteza 2. Anajiona Messi tayari 3. Ana Dharau zilizopitiliza za Mpira 4. Mchoyo (Mbinafsi) 5. Anaharibu Mashambulizi ya Tija 6. Amejipa Mamlaka asiyoyaweza 7. Utoto na Upuuzi vimeshamzoea Klabu iache Kumdekeza na Benchi la la Ufundi limwambie Klabu ( Simba SC ) Kwanza na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Simba mmefanikiwa kusonga mbele lakini rekebisheni mapungufu yenu haraka kabla amjakutwa na aibu mbele ya safari

    Ni jambo la kushukuru kwamba simba imeingia hatua inayofuata kwa msaada wa matokeo ya nyumbani baada ya kupata magoli mengi, lakini pamoja na ayo simba hii inayo mapungufu kibao kuanzia safu ya ulinzi na kiungo. Endapo Red Arrows wangeongeza ubora wao angalau kidogo sasa hivi tungekuwa...
  4. President of China

    JamiiForums Tanzania Suggestion: Formation ya Simba kupambana na Red Arrows

    Mapendekezo yangu. Hayahusiani na akili za UTOPOLO
  5. K

    JamiiForums Tanzania Simba wapo Zambia kupigania Tanzania. Wote Tuungane Kuiombea

    Ndio,S.S.C Wapo Zambia ni Watanzania Hawa, wakiwa Wanawakilisha Bendera yetu ya Tanzania. Kama Watanzania hatuna budi kuweka tofauti zetu pembeni. Dua na Sala Zote Kwa Simba Sports Club ifuzu Hatua ya Makundi...huwezi Jua huko mbele Tunaweza Ku Retain Zile Nafasi zetu 4 CAF! Hivyo Taifa Letu...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtizamo wangu wa 'Kiufundi' kwa Simba SC iliyocheza na Geita Gold FC na inayoenda Kucheza na Yanga SC 11 Disemba, 2021

    1. Timu inacheza kwa Kasi kipindi cha Kwanza ila kipindi cha Pili inapungua. Na tatizo hili linaonekana pale tu Simba SC ikicheza Dar es Salaam ila kwa Mikoani Timu huwa inakuwa 'active' katika dakika zote 90. 2. Ugonjwa sugu wa Mabeki kutoicheza vyema Mipira ya Juu bado haujapatiwa Tiba ya...
  7. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Jinsi Simba na Yanga wanavyobebwa

    Let me declare my interest,Mimi ni Shabiki wa Yanga Mabingwa mara 27 (in Manara's voice 🤣🤣🤣🤣). Binafsi huwa napenda sana kuona timu yangu ikipata ugumu kupata point kutoka timu pinzani maana ndo utamu wa Soka.Siyo timu inajipigia tu,Nafurahi pia Simba ikihangaika kupata point toka kwa mpenzani...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Refa Martin Saanya adaiwa kuwabeba Simba kwenye mechi dhidi ya Geita Gold

    Soma mwenyewe
  9. Area 56

    JamiiForums Tanzania Geita Gold waahidi kuibuka na Ushindi na kutoka na Clean Sheet dhidi ya Simba leo

    Friends of Geita Gold tupo tayari kuisapoti timu yetu leo maana wametuahidi ushindi na clean sheet juu!! Chonde chonde, Geita msituangushe tupo nyuma yenu asanteni sana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naiona Simba ikifika nusu/ fainali Kombe la Shirikisho Afrika

    Wakuu salaam, Simba chini ya Pablo imekua na mabadiliko ya haraka sana, ukiwatizama wachezaji unaona kabisa ile nguvu, ari na uchu wa kuipambania team vimerejea kwa kishindo. Ukiyatizama mashindano ya shirikisho kwa ujumla, utaona team kubwa shindani kwa simba ni TP MAZEMBE & PIRAMYD, kwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Popote mlipo Viongozi wa Simba SC haraka sana epukeni 'Hujuma' hii Kubwa iliyopangwa na Yanga SC

    Kocha wa Geita Gold FC ambaye pia ni mwana Yanga SC lia lia (kindakindaki) Fred Felex Kataraiya 'Majeshi' Minziro amepewa Maagizo maalum ya kuhakikisha Wachezaji wake ama wanawaumiza vibaya au wanawatafutia Kadi Nyekundu Wachezaji Bernard Morrison, Jonas Mkude, Meddie Kagere, Larry Bwalya na...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Pombe ya Simba yatajwa kusababisha vijana kuvimba mashavu

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai amekifungia kiwanda kinachozalisha pombe aina ya simba kampuni ya Turn Bus Investment, kutokana na kuzalisha pombe zenye kiwango kikubwa cha asidi na kwamba hakifai kwa matumizi ya binanadamu. Mbali na kufungia kiwanda hicho ameliagiza Shirika la...
  13. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 3 - 0 Red Arrows kombe la shirikisho barani Afrika

    Ni Jumapili Tulivu, Jumapili Yenye Kimvua Fulani Maeneo Ya Mjini Dasilamu, Litako pigwa Pira Real Madrid, Wakati Timu zingine Zikiwa Mikoani kuendelea kusaka Point, Kama mkoa wa mbeya Na Vitongoji vyake, SIMBA SC atakuwa analiwakilisha taifa kwenye michezo Ya Kimataifa. Ni Simba Vs Red Arrows...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Timu ndogo kubalini kufungwa na Simba na Yanga ili mpone.

    Baada ya mechi za Simba au Yanga kufanya vizuri mechi zinazofuata timu ndogo hazifanyi vizuri, zinafungwa na timu ndogo wenzao. Hii inatokana na makocha au wachezaji wenyewe wa timu ndogo kwa sababu zao kutumia nguvu nyingi sana kupita kiasi kutaka kulazimisha kuzifinga Simba na Yanga kwa...
  15. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Simba na Yanga havitakaa vimiliki viwanja vyao vya kuchezea mechi zao za ligi

    Ndio hivyo! Mechi za Simba na Yanga wakicheza na vilabu vingine ni wao wenyewe wanapanga viingilio.. Lakini ikifika Derby ni TFF ndio wanapanga viingilio, Angalia mapato ambayo Simba na Yanga wanaingiza kupitia Mkapa Stadium! Leo hii uwaruhusu Yanga na Simba wamiliki viwanja vyao halafu...
  16. Kalpana

    JamiiForums Tanzania Mkiambiwa Timu au Club ya Simba ni kubwa muwe mnaelewa

    Unaposema ukubwa wa kitu ni kwenye nyanja nyingi lakini kwa leo nataka tuu tujikite kwenye mitandao ya kijamii. Hebu angalieni hapa chini
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Simba SC Mangungu: Nchi itasimama Dirisha dogo la Usajili

    Kwa 'nyepe nyepe' nilizonazo huenda 'Visiki' Viwili muhimu sana Vikang'olewa mahala. Nilipoona tu 'Mafia' ninayemkubali Simba SC nzima Kassim Dewji karithi Mikoba ya 'Mafia' Zachariah Hanspoppe nikajua kuna Watu wanaenda Kuumia, Kulia na hawatoamini.
  18. kasanga70

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Club ya Simba: Simba Sports Club

    Wasalaam, Jana nimetoka Lusaka nipo iringa now. Haya ndio niliyoyasikia kwa masikio yangu. Mnajua wazambia wanapenda sana mpira. Wanasema hivi; 1. Ukitaka kuifunga simba cheza cross nyingi sana utapata magoli. Mabeki wake hawajui KBS kucheza cross hasa baada ya kukimbizwa na mawinga. Red arrows...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Haji Manara bado tu unamuamini Alex Mgongolwa kuwa ishtaki Simba SC kwa Kukuajiri bila Mkataba na atakusimamia Kisheria ushinde?

    Halafu nashangaa sana kuona ya kwamba ulitumia Nguvu Kubwa Kulisemea hili Mitandaoni huku Ukiwatisha Simba SC lakini ghafla ukapoa na sasa hivi hutaki hata Kuliongolea. Tunajua ni huyu huyu "Failure Lawyer' Alex Mgongolwa ndiyo alikutia Ndimu ( Kushawishi ) uwashtaki Simba SC kwa Kukuajiri bila...
  20. liwaya

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison

    Nasikia kitu kizito kimeshatua huko Ila imetoka kwa lugha ya malkia mwenye taarifa atuwekee kitu hapa ==== MAHAKAMA ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison Raia wa Ghana na kumfanya mchezaji huyo kuwa halali...
Back
Top Bottom