Simba haijali mashabiki zake na inawatapeli na kuwaingizia hasara,wakati mwingine kelele anazofanya Ahmed Ally ni kama unafki tu.
* Simba ilileta mchango kwa ajili ya uzio wa uwanja wa Bunju,mashabiki wamechanga baadaye Magungu anasema imeenda kwenye matumizi mengine,na hakuweka bayana ni...
Semaj letu limedai usajili wa msimu ujao no fully mapendekezo ya kocha wetu, ss najaribu kuangalia hao wachezaji anaowapendekeza watemwe, nakuta jina la fundi wa mpira Deborah Fernandez Mavambo.
Huyu wala tusidanganyane kuwa hana uwezo,. Mavambo ni fundi hasa, ana nguvu, ana akili ya ball, ana...
Baada ya kutumikia Simba SC kwa takribani miaka 11, nahodha wa klabu hiyo Mohamed Hussein ameagana rasmi na Wekundu wa Msimbazi kufuatia mkataba wake kumalizika na kutoongezwa tena.
Mohamed Hussein, maarufu kama "Zimbwe Jr", ameacha alama kubwa ndani ya kikosi hicho akichangia mafanikio...
Alipoamua tu kujitetea mwenyewe katika kesi yake ya uhaini, sheria na kanuni za kimahakama ikabidi zibadilishwe haraka haraka.
Kweli binadamu hujafa hujaumbika!
Miaka mingi Yanga imekuwa ikisajili kimyakimya bila promo za majigambo na kutishia timu nyingine ila matokeo yake yalionekana uwanjani ambapo wachezaji wapya walikiwasha hasa, mfano Mayele, Aziz Kii na Pacome katika usajili wao hapakuwa na promo hata kidogo. Tofauti na wenzao wa Simba ambapo...
Manji alipotaka kuikodisha Yanga kwa miaka 10 mlimgeuka Mzee wa watu mchana kweupe",
Simba nao wameanza kuonesha dalili za kumkana Hadharani Mo kisa kaawambia Mmetumia Billion 87 zake😂😂😂
acheni Unafiki Kama hamuwataki muwe mnawakataa mapema
Wiki hii hii niliandika Uzi hapa kusema kuwa tunamuonea zaidi Mangungu ila kama kuna Mtu HATARI zaidi Simba SC na ndiyo ANATUUMIZA mno kila tukikutana na Yanga SC kuwa ni Salim Abdallah Mhene 'Try Again" nikaishia Kudhihakiwa na hata Kutukanwa.
Na katika Uzi huo huo pia nikasema wazi wazi kuwa...
Kuna utafiti mdogo nimefanya na kugundua kwa sasa waliokuwa wapenzi wa Simba wengi wameanza kutafakari iwapo walikuwa sahihi kuishabikia timu hii.
Hata hivyo kuna watu muhimu wanahusika moja kwa moja katika kuishusha Simba taratibu lakini kwa uhakika
Wa kwanza ni mwekezaji ambaye bila kupepesa...
I salute you kinsmen.
Kipindi cha usajili kinapofika tu basi simba ndio huwa wana furaha wao na azam lakini ligi ikianza tu.
Yanga wanabebwa
GSM anaharibu ligi
Udhamini wa team nane
Mangungu atoke
Tshabalala msaliti
Sasa nataka mjue simba imejaa uozo mkubwa sana.
Na inaanzia kwa Mo mwenyewe...
Nikiwa na akili zangu timamu natangaza kuihama hii timu isiyojielewa naepuka kuwa mjinga Kwa kuishabikia hii timu wakati wenzetu Yanga wanatambulisha vifaa vya kazi sisi tunahesabu hasara za msimu uliopita nimegundua timu yetu imejaza mashabiki mbumbumbu waliogeuka kuwa.
Chawa wa viongozi na...
Timu yetu inapitia wakati mgumu sana, inarushiwa mishale mashariki, magharibi, kusini na kaskazini, hawapumui.
Nawapa pole sana viongozi wangu, hiyo ndio kazi ya uongozi.
Mitandao ya kijamii imeleta changamoto kubwa katika tasnia ya habari nchini, kila mtu anapojisikia kuongea anaita social...
Uzembe wa viongozi wetu wa Simba.
Leo Balla Conte amesaini Yanga
Pendekezo la Fadlu Davids limepuuzwa na viongozi
Viongozi wao wanahitaji Kagoma
Hakika Rage alikuwa sahihi kutuita mbumbumbu
These people are very serious in their planning, wamelivamia soka lenye mashabiki weng wakaingiza products zao na wamefanikiwa.
Ili uweze kufanya vizuri kwenye biashara zako make sure una timu yenye kuleta ushindani na kuwapa furaha watanzania, pia hakikisha mpinzani wako unamdhoofisha.
Yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.