Hello GT!
With due respect to NRE and whatever results that can be achieved, baada ya uchaguzi mkuu 2025 kukamilika mtajwa ana uwezo mkubwa wa kuwa PM ikiwa mamlaka itamuona na kumpa nafasi hiyo.
Sababu zitokanazo na mtazamo wangu;
1. Mtajwa ana busara, hekima na uwezo wa kuongoza.
2. Ana...
Naona watu wanafukunyua nyuzi na post zangu za nyuma na kunitag ili kunizodoa. Napenda kuwajulisha kuwa mimi siyo tena mshabiki wa Simba. Nimechukua likizo isiyo na muda maalumu katika mpira wa bongo.
Pale nafsi yangu itakapokubali kurudi kufuatilia mpira wa Tanzania nitafanya hivyo ila nimeona...
Hakika hii timu sasa itakuwa kama Namungo.
Huwezi kutengeneza kamati ya usajili ya kipuuzi kabisa na mtu wa hovyo mali ya utopolo ngungu boy akiwemo.
Kamati hii huenda ndiyo inayokwamisha upatikanaji wa wachezaji bora na wanaishia kwa wapinzani.
Huwezi kusajili kwa vikao kama kamati za kugawa...
Mohammed Dewji, mwekezaji mkuu na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC, amesema klabu haijapotea na iko kwenye mchakato wa kujijenga upya. Katika ujumbe kwa mashabiki, Dewji amesema huu si wakati wa lawama bali mshikamano na hatua chanya.
Ameeleza kuwa Simba imejenga kikosi kipya, kuimarisha benchi...
Wakuu,
Ngungu kama ngungu, maono ya simba sc yamebebwa na huyu mwamba, ukimuangalia tu kwa jicho la kawaida unaona kabisa ni tapeli pamoja na jopo lake lote.
Nadiriki kusema, kama huyu mwamba pamoja na jopo lake hawatong’atuka simba sc, ni vilio tena. Kwanza wapinzani wao wanawamudu.
Kugungwa...
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema kuwa usajili utakaofanywa na Simba safari hii utakuwa na umakini wa kiwango cha ICU (Intensive Care).
"Taarifa tu ni kwamba usajili wetu safari hii unafanyika kwa umakini wa ICU, na wachezaji waliopendekezwa na mwalimu...
Mo na Mangungu wanataka kupinduana, lakini mo ameshaanza kuvuta punzi ya moto ya GSM kibiashara.
Baada ya Simba kufungwa mara 5 mfululizo bidhaa za mo zimeingizwa chaka na bidhaa za GSM; kunywa maji ya masafi badala ya maji ya GSM ni kichekesho siku hizi.
Mangungu anataka kumuondoa mo kutoka...
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema kocha wa kikosi hicho Fadlu Davids anahusika moja kwa moja na kutoongezwa au kuvunjwa kwa mikataba kwa baadhi ya wachezaji wa klabu hiyo wakati huu ambao wanajiimarisha kuelekea msimu ujao
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam, Ahmed...
Kirusi Simba SC siyo Mwenyekiti Mangungu pekee ambaye wana Simba SC wengi wanamdhania ila kuna Kirusi Mkuu wa Kuiumiza Simba SC kwa mengi tu na ambaye kwa bahati mbaya sana hata Tajiri wetu Mo Dewji anamuamini 100% japo ameshaonywa mno tu juu yake ambaye ni Salim Abdallah Mhene 'Try Agai'
Wewe...
Salute kwenu Wana Lunyasi!
Niende kwenye Mada,
Mashabiki na wanachama wa Simba tunamkosea Sana Mangungu. Huyu ni kiongozi yupo kama kipofu hata ukimvutia shimoni anaenda maana haoni.
Kipindi Simba ipo kwenye peak tulipitisha katiba kwa bashasha na Bodi ya Wakurugenzi ikapewa Meno kuliko...
Kama kuna Kitu kinachoniuma kwa Simba SC yangu hadi sometimes huwa naamua hata Kuisusa na Kuinanga vibaya sana Mitandaoni ni Viongozi wa Simba SC na hasa Msemaji wa Simba SC kuwekeza zaidi katika Propaganda (Kudanganya) Mashabiki.
Mlisema kuwa Mchezaji Elie Mpanzu ndiyo Kwanza sijui ana Umri wa...
Ngao ya jamii ilikuwa ni timu 2 kwa miaka mingi lakini Simba ilipoanza kukosa nafasi ya kushiriki, Karia akaongeza ziwe timu 4.
Nasikitika kusema kwamba kwa maksudi mechi za nusu fainali wanaweza kupanga Simba vs Yanga
Kwa jinsi Yanga wanavyojiandaa huku Simba tukiwa bize kutafuta mchawi, hiki...
Hizi ndizo Timu tatu ambazo tayari zimeshaonyesha Nia ya Kumsajili Mchezaji Emil Mpanzu tena kwa Fedha nono sana....
1. KRC Genk
2. Brest FC
3. RS Berkane
Ila Mimi kama GENTAMYCINE mwenye Jicho la USHAURI na kuona mbali kama Ndege Tai nakushauri uende KRC Genk ok?
Na nimesikitika sana kusikia kuwa baadhi yenu Viongozi wa Simba SC ambao nawaheshimu Personally mkisema kuwa moja ya sababu Kuu ya kutaka kumuacha Nahodha Mohammed Hussein Zimbwe Jr Tshabalala ni kuwapiga Miba (Kuwaroga) Mabeki wazuri wa Nafasi yake ambao wanamzidi Uwezo.
Ngojeni leo...
Ni kama bado naona timu hizi za Simba na Yanga zenye utajiri wa Mashabiki zikazane kubuni mbinu mbalimbali kujiongezea mapato.
Kwa mfano vipi kama wataingia makubaliano na Kampuni za Bia na Soda kukawa na sehemu ya vinywaji vikawa na nembo au picha ya Mchezaji aliyefurahisha Mashabiki kwa...
M/kiti wa Simba na meneja wa habari na mawasiliano Ahmed Ally wanapaswa kuachia ngazi kwani hao wanaihujumu simba kwa kufanya propaganda za kuisifu simba kwamba ni Bora ili ionekana ni timu Moja imara yenye wachezaji wazuri kumbe wanaifanyia propaganda ya kutufunga macho.
Bila ya Hawa kuondoka...
Kapiga au kapigwa? Hiyo ni siri ya jeshi
Lakini kitendo cha israeli kuivamia Iran na kupiga vinu vyake vya nyuklia ilikuwa ni ushindi mkubwa kwao pasipo kujali kama mashambulizi ya Iran kwa israeli yalileta madhara kiasi gani.
Kauli za kejeli na za kutatanisha kutoka kwa kiongozi mkuu wa...
Wakati wanaposajili wasisahau ile nafasi ya pili kwenye ligi ya NBC waliipataje. Wasije wakasahau kuwa walikuwa na timu mbovu iliyosaidiwa kumaliza katika nafasi ya pili kwa msaada wa waamuzi.
Wasithubutu kusahau mchango wa cepha Kayombo, Smart, Tatu Malogo na Elly Sasii. Pia wawashukuru Kidao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.