simba

  1. M

    JamiiForums Tanzania FAFLU AMEIFANYA SIMBA ICHEZE OVYO SANA KWA MFUMO WAKE, PIRA BIRIANI HAKUNA TENA.

    Mimi nikiwa shabiki wa simba kikweli siridhiki na mbinu za FADLU, SIMBA imekuwa timu ambayo haichezi kama timu ambayo tumeizoea na tunafurahia mpira. Watu wanampa sana sifa huyu kocha lakini uwezo wake umeishia hapa hawezi tena kuibadili timu hii naomba atafutwe kocha mwenye uwezo wa mbinu...
  2. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania ZakaZakazi: Hakuna Timu iliyofungwa matches tano mfululizo na Yanga kama Simba

    Alichokiandika Meneja Habari Wa Azam ZakazaKazi Baada Ya Yanga Kuishinda Simba… SASA NI TANO KWA TANO Agosti 9, 2023 Azam FC ilifungwa 2-0 na Yanga kwenye Ngao ya Jamii jijini Tanga, Shabiki mmoja wa Simba aliyefahamika kama Kisugu, alitokwa povu jingi sana na kuonesha dharau kubwa kwa...
  3. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Simba yapiga treble ya kukosa makombe

    Msimamo wa makombe msimu huu kwa kilabu ya 5imba mpaka sasa Ngao ya jamii ❌ Cafcc ❌ Muungano ❌ CRDB cc ❌ NBC Premier League ❌
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GENTAMYCINE nikiulizwa nataka Simba SC iachane na Wachezaji wangapi ili ya Msimu ujao iwe Tishio nitasema wakubakia wawe 3 tu ila wengine wafukuzwe

    Camara, Mukwala na Mpanzu kwa Wageni wabaki na kwa Wenyeji abakie tu Kagoma, Tshabalala ila wengine Watemwe.
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nilisikitika sana tu kuona wana Simba SC wengi wakiyadharau Maneno ya Mchezaji Obrey Chirwa kelekea Mechi yetu tuliyoadabishwa ki haki jana kwa Mkapa

    Na kilichoniuma zaidi ni kwamba 95% ya waliokuwa 'wakimbeza' Mitandaoni hata Mpira wa Chandimu tu hawajacheza!!!
  6. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Waliochangia Simba kukosa ubingwa msimu huu

    1.Camara ( vs coastal union,Vs Yanga,Vs Azam) 2.Kijiri( vs Yanga) 3.Chasambi (vs Fonten gate) 4. che Malone( vs Azam)
  7. K

    JamiiForums Tanzania Simba viongozi wake wanajitahidi sana kununua malefa ili washinde,ubora wa timu hawana

    Simba Viongozi wake wanajitaidi saba kununua marefa ili waonekana bora mbele ya mashabiki wake,na mashabiki hufurahia hilo wanaposhinda mechi bila kuhoji uwezo wa timu tena ni timu ya kawaida sana, ilistahiri kushika na 4 au tano kwenye msimamo wa ligi, Endeleeni kununua malefa mkikutana na...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tamko la Mwenyekiti wa Simba, Mangungu kuhusu matokeo ya Dabi

    Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu amezungumza kuhusu matokeo ya derby ya jana na kujibu kuhusu baadhi ya maoni ya mashabiki wa klabu yake kuto kumuamini na kumtaka aondoke kwenye uongozi.
  9. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo yangu maboresho ya simba

    Habari za muda huu Baada ya kuchoshwa na kunyanyaswa sana na Yanga naomba viongozi wa Simba wafanye maboresho kama wachezaji 6 hivi tu.(Tusifumue kikosi chote tutapotea zaidi) 1.Quality Golie awe namba mbili ili kumpa changamoto Camara aasiwe anajisahau 2.Lusajo mwaikenda akamchalange kapombe na...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kocha Fadlu umefedhehesha brand ya Simba, hukupaswa kusema Yale kwenye vyombo vya habari pengine na wewe umechangia kutuangusha

    Jana wakati anahojiwa na Media, Fahdu anasema Simba Haina wachezaji wenye quality kama Yanga, ina maana Israel Mwenda, Boka, Wana quality kubwa sana kushinda Kapombe na Shabalala, matatizo ya ndani ya timu kiuongozi ndio unahamisha kwenye quality ya wachezaji, kwani ulikuwa una ulazima Gani...
  11. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Utopolo msijisifu saana, wenyewe Simba tunaojua mambo ya ndani tunajua haikutaka kushinda derby ya jana

    Inashangaza sana kuona mtu anakaa kudai eti Yanga imeshinda kwa ubora. Ukweli ni kwamba kuna mambo ya ndani kwa ndani huko Simba yanayopelekea kupigisha timu shoti na hata mgomo baridi wa wachezaji. Turudi mechi ya nusu fainali dhidi ya Singida. Hivi unahitaji akili kubwa kiasi gani kujua Simba...
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe: Nitapeleka barua rasmi Simba kuwaomba wadhaminiwe na GSM ili wasipoteze dira

    Ameyasema hayo muda mfupi baada ya game ya Yanga vs Simba ambapo Yanga iliidungua Simba bao 2:0. Ameongeza kuwa katika misimu minne mfululizo, Simba ndiyo timu inayo ongoza kwa kufungwa na Yanga na kwamba imefungwa zaidi ya timu zinazo dhaminiwa na GSM hivyo ni wakati wa kupokea barua ya posa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Niliyoyaona Simba Ikidhalilishwa kwa Mara ya Tano Mfululizo na Yanga

    1. Kuna utofauti mkubwa sana baina ya Yanga vs Simba upande wa menejimenti, Yanga waliona wampe timu GSM awape furaha, GSM ndio anasajili wachezaji na kila jambo wanalisimamia wao, Simba kule Mo Dewji anaongoza, Mangungu anaongoza, kale kadada CEO kanaongoza kwa remote kutoka kwa friends of...
  14. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali mashabiki wa Simba ni muda wa kuipambania Simba

    Hapo vip! Kwa nature wa mpira wa Tanzania kuna umuhimu viongozi wa serikali ambao ni mashabiki wa Simba kama Majaliwa,Makonda,kigwangwala,zungu,speaker Tulia n.k kuipambania Simba kwa kuinusuru kugandamizwa na viongozi wahuni mashabiki wa yanga.
  15. Dabil

    JamiiForums Tanzania Derby ya Simba na Yanga ife rasmi, iwe Yanga na Azam

    Hongereni watani, hatuna kisingizio chochote mmetufunga kihalali. Michezo 5 mfululizo Simba tunanyukwa,ni tofauti kwa Azam na Yanga, Simba hawana ubabe tena mbele ya Yanga tuwaweke kando kwenye derby iwe Azam na Yanga Derby huwa mmoja hata awe dhaifu anakaza ila siyo kufungwa mara 5...
  16. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Simba kwa kufanya maamuzi sahihi na hakika Simba ina Watu makini , Simba bingwa NBC premier league 2024/25

    Leo tar 25/6/2025 saa 11 jioni kuna dabi ya kariakoo , Mwanzoni kulikuwa na kila Sababu kwa Simba kutopeleka timu uwanjani lakini dakika za jioni Mnyama anaingia uwanjani. Points 3 za leo ni muhimu sana kwa Simba , Hakika Yanga hawezi chukua ubingwa kirahisi kwa timu kutofika Uwanjani hii ndio...
  17. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Hakuna nchi nyepesi kuongoza duniani kama TZ. Sikutegemea Simba kupeleka timu uwanjani leo

    Imagine Uto leo Wana hamu ya kucheza mechi, TAREHE 15 hamu Yao ilikuwa wapi mpaka wakavaa na Jezi zenye maandishi ya Hatuchezi Ng'oo? BODI ya ligi na TFF hawajatueleza aliyebadilisha Tarehe ni nani? kwa kanuni ipi kwa makubaliano na nani? kwanini bodi ibadilishe Tarehe na kupanga Tarehe mpya...
  18. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania SIMBA wamefanya utoto sana kwa hili na kipigo kwao hakikwepeki

    I salute you kinsmen Hii team yenu ya simba imejaa utoto Walifanya kukaa kimya eti ili yanga wakose mapato. Nani kawadanganya kuwa watu hawataoingia?? Msipoingia basi wanayanga wataujaza na hivi wana ugwadu na nyie Mkiingia tu tunafunga mageti hatutaki mkimbie tena. Hamna tofauti na malaya...
  19. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Kibashiri: Simba vs Yanga – 25 Juni 2025

    Uchambuzi wa Kibashiri: Simba vs Yanga – 25 Juni 2025 Matokeo ya Mechi (Full Time Result / 1X2) Pendekezo bora: X (Draw) au X1 (Yanga au sare) Sababu: Yanga wanahitaji sare tu kuwa mabingwa, watajilinda sana. Simba wanahitaji ushindi, lakini Yanga wana rekodi nzuri dhidi yao. Double...
  20. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Simba ikimfunga Yanga leo nipigwe Ban ya Mwezi Mzima

    Hizi teams zina mambo ya kipuuzi sana lakini nashukuru YANGA MATAKWA YETU YOTE YALITIMIZWA ILI LEO TUIFUNGE SIMBA KWA UHAKIKA KABISA... SIMBA HAWAWEZI ISHINDA YANGA HII AMBAYO INAPIGA MTU BAO 3,4,5,6 bila huruma kabisa.
Back
Top Bottom