Ni ajabu sana kwa hizi timu zetu za Kitanzania Simba na Yanga kufanya mambo kienyeji kienyeji sana ili kuwafurahisha mashabiki wao na sio kuitengeneza timu.
Kuna tetesi kuwa Simba wamemsajili Miquissone, unachojiuliza uyo Kocha alimuona Miquissone kwenye mechi ipi ya kiushindani mpaka...
Ali Kamwe (Msemaji Yanga SC)
Siku ya Wananchi (Yanga Day) Taifa litatulia na Watu hawatoamini kwani tunaenda Kumtambulisha Mchezaji ambaye atawafanya Watu fulani Walie, Wasiamini na Wengine hata kutamani Bora Wafe tu.kuliko Kumshuhudia huyo Mchezaji akicheza Yanga SC.
Ahmed Ally (Msemaji Simba...
Nipo kwenye gym moja maarufu sana hapa karibu na Ubalozi wa Vatican lakini kwa masikio yangu nimemsikia mmoja wa wana kundi wa friends of Simba akimtuhumu mwenzao aliyepo karibu na Mudi kwa kuwa (nokolea).
" ....Chairman anaenda kuiharibu Klabu kwa kupenda sifa za hovyo kwa bwana mkubwa."...
GENTAMIYCINE nilidhani ukiwa Tajiri basi hata na Uwezo wako wa Kufikiri nao unakuwa ni wa Kitajiri ( nikimaanisha ni mkubwa ) kumbe hali ni tofauti kabisa.
Matajiri Mohammed Ghullum Dewji wa Simba SC na Gharib Said Mohammed wa Yanga SC kwa Historia Kubwa ya Simba na Yanga hasa katika Siasa za...
Ukipita mitaani ukawakuta mashabiki ,WA Simba na wachambuzi wa soka watakuonyesha kwamba mo dewj anaidhulum Simba au wanataka billion 20, wakati huo huo mo dewj ameendelea kutumia pesa zake kuihudumia timu kwa mambo mbalimbali ambapo tangia ameanza kuifadhili timu mpaka Leo huenda ametumia zaidi...
Rais wa heshima wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo Dewji'kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema "Transformation ya Simba bado haijakamilika. huu ni mwaka wa 6. Karibuni ntakata tamaa"
Mohammed Dewji aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu Simba miaka minne mfululizo hadi...
Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Simba wamefika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa afya zao na kufanya vipimo mbalimbali ikiwa ni maandalizi ya kujiandaa na msimu mpya ya mashindano ya ligi 2023/2024.
Daktari wa Timu ya Simba Dkt. Edwin Kagabo...
Hali ya usalama katika vijiji vilivyoripotiwa kuvamiwa na Simba Bado ni tete, hiyo ni kwa mujibu wa kazi wa vijiji husika kuishi kwa hofu na kuogopa hata kutembea mida ya jioni kwa wale wenye mashamba mbali imekuwa changamoto kubwa! Taarifa mahsusi itolewe kama usalama umerejea na hao Simba...
Mwambieni Yule Meno Kuungua wenu, mla Mirungi na Mporwa Wake zake aliyeandika katika Instagram Page yake kuwa Baleke kaondoka rasmi Simba SC kuwa amerejea rasmi Tanzania na Simba SC hivyo asipende kuwa na Kiherehere.
Imeisha hiyo.....!!
GENTAMIYCINE nikiwa kama Mshabiki na Mwanachama wa Yanga SC natoa ONYO KALI kwa Uongozi wa Yanga SC kuacha Kutuzuga kupokea Fedha za Bonus ili Mashabiki tusiongelee Usajili na Ukata mkubwa ulioko sasa Klabuni ambao Unafichwa ili tusichekwe na Simba SC wenye Hela na wanaosajili Vyuma hasa kweli...
Tunajua upande wa pili bado wamepigwa na butwaa wa hizi sajili zinazoendelea pale Msimbazi. Msimu huu ulioisha kuna mambo yaliyotokea katika ligi na hasa mashindano ya kimataifa ambayo kwa kweli yalituumiza sana wanaSimba. Sitaongelea sana ligi ya NBC maana huku tulikuwa tunawamudu ni basi tu...
Habari ndugu ZANGU.
Mimi ni mdau WA soka.
Na mpenzi na mdau wa Simba.
Nimekuwa nikifuatilia usajili HASA WA wachezaji wa KIGENI ndani ya simba.
NIMEWEZA KUYAONA MAKOSA YAFUATAYO KIUFUNDI.
1. KOSA kubwa la Kwanza ni KUMUACHA Golikipa Beno kakolanya., Hivyo wanalazimika KUSAJILI Golikipa wa...
Nguvu kubwa ya kumtoa Feisal kwa fitina pale Yanga na usajili mkubwa wa wachezaji wa nje basi tunategemea Azam kuchukuwa kombe la ligi kuu(NBC) , Kombe la Shirikisho la Azam .
Simba kwa usajili wa wachezaji wa nje walioufanya kwa vibe na mbwembwe na jinsi MNAVYOJIAPIZA KUWA HAKUNA KAMA SIMBA...
Beki Kisiki wa Kimataifa wa Kenya, Joash Onyango amesaini kandarasi kuitumikia timu ya Singida Fountain Gate.
Katika picha iliyopakiwa katika Mitandao ya kijamii, mlinzi huyo aliyekuwa anaitumikia Simba Sports Club ameonekana na Mkurugenzi wa Singida katika sehemu maalum ya kusaini Kandarasi...
Nimemuona huyo jamaa mkenya uko Simba app akiongea kavaa Uzi mpya juu ya nembo ya mo xtrer Kuna nembo ya VB inapaushwa kwenye video editing ili isisomeke.
Kweli VB alifanya kosa kubwa kutoweka nembo za mo kwenye Uzi wa Simba wa kimataifa hata msahau Muhamedi Kamwe.
Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa Mshambuliaji hatari AUBIN KRAMO kutoka Asec Mimosas kwa Mkataba wa miaka miwili.
Kramo (27) raia wa Ivory Coast ana uwezo wa kucheza winga zote mbili na kucheza namba 10.
My Take
Hapa Simba imeupiga mwingi. Karibu Simba SC mnyama Aubin Kramo.
Ndoto niliyoota ni kwamba wakubwa wakisema hakuna ni hakuna ...kwa Sasa yanga ni mtoto pendwa kabisa ..ni wakati wake kudeka na kujigalagaza ...na sisi Simba SC tujitahidi kupigana nafasi ya pili mpaka 2031 kwa Sasa milango imebanwa kisawasawa! Tuombe hiyo 2031 nchi asipewe yule jamaa wa iramba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.