simba

  1. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kwa awamu hii ya sita pengine na ya Saba Simba msijisumbue kuhusu ubingwa subirini 2031--2032 hii issue ni nzito!

    Ndoto niliyoota ni kwamba wakubwa wakisema hakuna ni hakuna ...kwa Sasa yanga ni mtoto pendwa kabisa ..ni wakati wake kudeka na kujigalagaza ...na sisi Simba SC tujitahidi kupigana nafasi ya pili mpaka 2031 kwa Sasa milango imebanwa kisawasawa! Tuombe hiyo 2031 nchi asipewe yule jamaa wa iramba...
  2. Area 56

    JamiiForums Tanzania Uzi mweupe wa Simba Sports ni wa moto, wana simba kaeni mkao wa kula

    Nimefanikiwa kuchungulia jezi za Simba za ugenini hizi nyeupe ni nzuri sana sijawahi kuziona aisee. Wana Simba kaeni mkao wa kula kwa uzi huu hakika vunjabei aliwachelewesha sana. Uzi ni mkali. Ikitokea hujauelewa niulize mimi
  3. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kama Akpan wa Coastal alitua simba, George Mpole kutotakiwa na Vilabu vikubwa nchini kweli Ni vigumu nabii kukubalika kwao

    Licha ya kuwa mfungaji Bora Tena kutokea timu ya kawaida kwenye ligi ngumu namba 5 Africa. George Mpole hakuonekana kuwa Lulu Tanzania. Sio Azam, Yanga Wala Simba zilizoonesha Nia ya kumfukuzia. Licha ya kupata namba Taifa stars na kutulia mabao muhimu. Sijaelewa tatizo lipo wapi? Leo mfungaji...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msizuge! mmeumia sana Ngoma kuja Simba SC na Mayele anataka Kuondoka acheni Kumpigia Magoti yenu

    Alipokuwa ana kila dalili za Kutua Kwenu huyu Fabrice Ngoma mlikuwa mkimsifia sana katika Kurasa zenu, Watangazaji na Wachambuzi wenu leo hii mmemkosa kwa Kunyang'anywa Tonge Mdomoni Kimafia na Wakali wa Umafia Tanzania Simba SC na atachezea Simba SC mmebadilika na mnaanza Kumkandia. Wanafiki...
  5. Area 56

    JamiiForums Tanzania Mo: Wana Simba tulieni mambo mazuri yanakuja

    Bosi katwiti muda mchache uliopita. Mambo yatakuwa moto msimu ujao. Inasemekana usajili ni wa moto sana.
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yafuatayo ni majibu kwanini Simba SC inaenda Uturuki kwa Pre Season na haibaki Dar es Salaam kama Wengine?

    1. Simba SC ina Hela na haitegemei Kuuza Jezi ndiyo isafiri 2. Timu inayoshiriki African Super League lazima iwe tofauti na Wengine. 3. Timu inayoshika namba 9 kwa Ubora Afrika lazima Maandalizi yake nayo yawe ni makubwa makubwa. 4. Wachezaji wa Simba SC wana Hadhi ya Uturuki na Ulaya na siyo...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Aliyemsajili Sawadogo Simba pepo ataisikia tu

    WAKATI Simba ilionekana kama imekosea kuwasajili Victor Akpan na Nassor Kapama katika dirisha kubwa lililopita la uhamisho, hatimaye Januari ikafika. Mtu mmoja mwenye busara zake akaishauri Simba iongeze mchezaji wa kiungo baada ya Akpan na Kapama kuonekana hawafahi. Mtu huyo akawasiliana na...
  8. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Fabrice Ngoma kutekwa na Simba

    Hizi habari si za kweli. Simba hawawezi mchukua Ngoma. Huyu anakuja cheza Yanga piga ua. Acheni kujitekenya na kucheka wenyewe.
  9. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nipeni tathmini za performance ya Mohammed Outtara akiwa pale Simba na sababu za kumuita mbovu

    Mmoja wa wachezaji waliopewa "Thank You" pale Simba ni Mohammed Outtara. Huyu ni mchezaji ambaye kila mara watu walipokuwa wakiongelea wachezaji wabovu waliopo Simba na huyu alikuwa anatajwa na sijawahi kuelewa kwa vigezo vipi. Najua wengi wana refer mechi ya Simba na Yanga nadhani itakuwa ya...
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba tengenezeni utaratibu maalumu kwa wachezaji kutumika katika mabonanza

    Ni jambo jema kufanya mambo ya kusaidia jamii mfano kushiriki katika shughuli mbalimbali za ukusanyaji fedha kwa ajili ya maendeleo ya jamii hasa wale wenye uhitaji maalumu. Hivi sasa wakati timu zote zikiwa katika mapumziko, taasisi mbalimbali zikiwemo za wachezaji wameandaa mechi mbalimbali za...
  11. Area 56

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga zinawataka wafanyabiashara waweke oda za jezi mpya bila kuziona, huu ni uwendawazimu

    Sasa najiuliza unawezaje uagize jezi kibao bila haya kuziona zinafananaje? Hapa ni kama DP World tu na bandari yetu
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Jonas Mkude apimwe akili kama akikubali gwaride la heshima la Simba

    Hakuna ubishi kuwa Mkude aliwafurahisha wanaSimba kwa miaka 13 mfululizo, aliwatumikia watanzaniaa pia kupitia timu ya Taifa; ni miongoni mwa watanzania muhimu sana. Lakini namna 'THANK YOU" yake ilivyotolewa kwake na Simba ni ushahidi tosha kuwa uongozi wa Simba unamuona Mkude kama mtu punguani...
  13. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Ni vigezo gani vimetumika kustaafisha jezi namba 20 Simba?

    Mkude amefanya nini la maana Simba Sports mpaka jezi namba 20 aliyokuwa anavaa kustaafishwa? Sijaona Barcelona wakistaafisha jezi ya Messi, Man Utd wakistaafisha jezi ya Giggs au Ronaldo? Ac Milan wamestaafisha jezi namba 3 ya Maldini kwakuwa alifanya makubwa sana ndani ya Milan akiwa kama...
  14. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Simba imerudi shimoni ilikokuwa, haina tofauti na Gor Mahia

    Wakuu, Hii team yetu bwana siku zinavyosogea imekuwa jalala. Wenzetu Yanga bajeti yao wameiweka 24 billion sisi eti tukapandisha pia. Ni nini kama sio kutuona mazumbukuku? Pili inakuwaje mchezaji analalamika hapangwi bila sababu za msingi? Yaani kiongozi anakuja na karatasi ina list tayari...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Simba mnakwenda na bajeti ya bilioni 13 iliyopitishwa na wanachama kwenye mkutano mkuu au mnaenda na bajeti ya bilioni 24 ya kwenye hafla ya ubwabwa?

    Nimeshangaa sana kuona viongozi bila ata chembe ya aibu wanaudanganya umma, bajeti ya klabu kwa mwaka 2023/2024 imepitishwa kwenye mkutano mkuu ni bilioni 13, lakini maajabu ya musa yanajitokeza leo bwana CEO kajula anawadanganya wabunge eti bajeti wametenga bilioni 24!!!??? Baada ya yanga...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mapato ya Yanga SC nakubaliana nayo, ila ya Simba SC yangu siyaamini na ni ya Kipropaganda zaidi

    Uongozi wa Simba SC hakuna ulazima kila Yanga SC ikitoa Ripoti yake hasa ya Mapato au Mafanikio fulani basi nanyi pia haraka sana mje na yenu ya Kubumba (Kupika) na kufanya Kwenu hivi ni Kutudhalilisha wana Simba SC wengi wenye akili kubwa kuliko hata nyie mlioko uongozini. Ni Mwendawazimu tu...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania CEO wa Simba SC kwa sasa tunataka tu kusikia 'Vyuma Vipya' vikitua Msimbazi na si 'Maupuuzi' yenu mengine sawa?

    Haya Maupuuzi yenu mnayoyafanya sasa Kutuvutia Mashabiki wenu (GENTAMYCINE nikiwemo) yatatuingia vyema Mashabiki wenu pale tu tukisia Timu (Simba SC) imesajili Watu (Wachezaji wa Kazi) tupu ili kutupa Raha katika Mashindano yote yajayo kwa Kubeba kila Kombe litakalokuja mbele yetu.
  18. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Moyo wa simba: Kuimarisha ujasiri na uadilifu katika maamuzi yako

    MOYO WA SIMBA: KUIMARISHA UJASIRI NA UADILIFU KATIKA MAAMUZI YAKO Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Maamuzi ni sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Tunafanya maamuzi madogo na makubwa kila wakati, kuanzia chakula cha kula hadi kazi ya kufanya. Hata hivyo, si maamuzi yote tunayofanya...
  19. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Je, Hayati Magufuli alikuwa na hirizi ya simba?

    Magufuli alikuwa ni mtawala anayeogopwa sana. Ukiitwa ofisini kwake unapatwa na ubaridi yabisi hadi kwenye mifupa. Watu wote tulimuogopa sana. Nchi nzima hakuna aliyeweza kumnyooshea kidole. Wataalam wa mambo yasiyoonekana wanasema ili uweze kuwa na kaliba ile ni lazima uwe na hirizi ya Simba...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tanga yaanzisha battle na Simba makocha Brazil vs Argentina

    Hello, Yanga SC halali yao kuitwa utopolo na yeboyebo, mdebwedo, hii ligi ya makocha hamtaiweza Simba SC member mwanzilishi wa African Super League.(ASL). Yanga SC wamesajili kocha kituko, Hongera yanga Kwa usajili wa Angelina
Back
Top Bottom