simba

  1. JamiiForums Tanzania Mambo 10 niliyoona kuhusiana na matamasha ya Simba Day na Yanga Day

    Hii ni tathmini yangu ya mambo 10 tuliyoyashuhudia katika matamasha ya Simba Day na Yanga Day. 1. Ni wazi mauzo ya jezi mpya za Yanga siyo mazuri. Jezi za Simba zimeuzika saana. Kuna tukio la Yanga la ugawaji jezi mpya bure kwa waliojitolea kutoa damu halafu anayesimamia ugawaji wa hizo jezi...
  2. JamiiForums Tanzania Vibe la SIMBA ukiwa wa YANGA na tafsiri za kiroho

    Lissu kiroho ni SIMBA kiushabiki ni YANGA.. Lissu ni mwanamageuzi kindakindaki kupitia CHADEMA.. Timu yake ya YANGA Ina vinasaba na CCM anapata tabu sana. Lakini kwa hakika akipewa machaguo mawili kati ya yanga na CHADEMA! Kwa asilimia 100 atachagua CHADEMA Tamasha la SIMBA day limetoa...
  3. JamiiForums Tanzania Mdhamini wa Jezi za Simba alitoa ahadi ya kusajili mchezaji yeyote Klabu ikimtaka, Je imekuwa hivyo?

    Hij ahadi aliyeutia Boss wa kampuni siku anatambulishwa rasmi kuwa mdhamjnj mpya wa Jezi, Je wanaSimba tunaikumbuka vizuri? Kuna wachezaji kadhaa Simba imewakosa kwa kushindwa kufika Dau au wengine kuzidiwa Dau na timu nyingine. Jeuruti kashindwa au alitoa ahadi ya uongo? Huu ni kama utapeli...
  4. JamiiForums Tanzania Watu 7 wafariki dunia kwa ajali wakitoka kufurahia Simba Day

    Watu saba(7) wamefariki baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugonga lori lililokuwa limeharibika na kusimama barabarani katika Kijiji cha Kongo kata ya Bukwe wilayani Rorya, mkoani Mara. Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo Septemba 11, ambapo watu hao saba walikuwa kwenye gari dogo aina ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini MO havai jezi yenye wadhamini wakuu wa Simba Sports ambao ni kampuni ya kamari ya Betway?

    Tiririka & serereka.
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Asanteni Simba yangu kwa kuturejeshea furaha japo ya muda

    Kuna kitu kilichokuwa kimekosekana nchini.. Furaha ya kweli, Furaha ya asili Furaha halisi Furaha at free will..! Furaha ya hiari Watu Leo wamerindima na kufefea vibe kama lote toka moyoni Makusanyiko ya hivi karibuni pamoja na kuwa na rangi yenye kumaanisha uhai.. Lakini yalikuwa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ila Simba eti wanaingia kwa Mkapa kama Mazombie

    WanaSimba Wanakuja kama Mazombie kwa Mkapa🦁 Leo hadi Simba day iishe tutaona mengi sanaa 😂 😂 😂 😂
  8. JamiiForums Tanzania Mashabiki DRC wang'oa viti Uwanjani baada ya timu ya taifa kufungwa na Senegal

    Mashabiki wa DR Congo wameharibu Uwanja wao kwa kuvunja na kurusha viti baada ya timu ya taifa kushindiliwa mabao 3-2 na Simba wakali toka hifadhi ndogo ya Wanyama ya Teranga Senegal nyumbani kwao. DR Congo walikuwa wakiongoza 2-0 kabla bao hizo mbili kuchomolewa kisha wakafungwa na jingine...
  9. JamiiForums Tanzania Simba iangalie uwezekano wa kuleta wasanii wa kimataifa kutoka nje katika Simba Day zijazo

    Yanga kama ilivyo bibi yake CCM imehodhi wasanii wote wanaowika Tanzania. Hakuna haja ya Simba kupapatikia hawa wasanii wanaokuzwa na kulelewa katika misingi ya kisiasa. Simba huwa inaanza wengine wanafuata. Badala ya kuwapigia magoti hawa wasanii au kuokoteza underground, nadhani kuanzia msimu...
  10. JamiiForums Tanzania Kuelekea Simba day na msimu mpya 2025/26, unatamani Simba iwe ya aina gani kiuchezaji??

    Habari wakuu. Kuelekea Simba day Hapo kesho 7 sep 2025 na msimu mpya wa ligi kuu ya NBC, unatamani simba sc iwe ya aina gani kiuchezaji?? Mimi kila mwanzo wa msimu, huwa natamani sana kuiona Simba ikicheza mpira mzuri wa pasi na kasi. Natamani sana ile Simba ya Pira birian irudi. Yaani Simba...
  11. JamiiForums Tanzania Thamani ya Yanga ni Tsh. Bilioni 100, Simba ni Tsh. Bilioni 20

    Katika mkutano mkuu wa mwaka, thamani ya club ya Yanga imewekwa wazi kuwa ni billions 100 Yanga wanajiendesha Kisasa na uwazi kabisa, Yanga imekuwa ikifanya mikutano ya mwaka Kwa uwazi na kusoma mapato na matumizi na bajeti ya msimu ujao Hii ni tofauti Kwa mtani mbapo mara mwisho kufanya...
  12. JamiiForums Tanzania Je, nanii anastahili kuwa nahodha mpya wa Simba?

    "Mara zote huwa nawaachia wachezaji wangu wamchague nahodha wao, sikupenda kilichofanyika msimu uliopita, msimu huu nitachagua nahodha mimi mwenyewe," kauli ya kocha wa Manchester City, Pep Guardiola kabla ya msimu huu kuanza. Linapofika suala la uteuzi wa nahodha wa timu huwa kuna vigezo vingi...
  13. JamiiForums Tanzania Kipa wangu wa JKT to Simba Aliy Salum alikuja na sifa hizi hizi kapewa thnkyu..jiandae kisaikolojia

    Leo nimeona thxkyu ya kijana mkoja alietutesa sana tanga Mungu fundi..tukampta bw mmoja toka jkt Bw huyu kuja bw ali saalum amepewa thxkyu Namkumbusha kipa wangu bora kabisa wa ssc uwe makini Hawao viongozi wa simba sawa na wajumbe Wanakusifia wewe ukiitika wanakugeuka kama alkysalum...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Yanga Kujiandaa Kuikabili Simba Kwa Siku Tatu tu Baada ya Siku ya Mwananchi September 12 Ni Dharau Kubwa Kwetu Simba, Lazima Tuwaonyeshe

    Yanga wana siku ya mwananchi tarehe 12, halafu baada ya siku 3 tu wanaikabili Simba kwenye ngao ya hisani. Je wameona mechi hiyo kwao ni mteremko? Je code zote za Simba bado wanazo ndio hawana presha Je ndio maana msemaji wao anaropoka tu akiwa na uhakika na anayosema? Je upinzani wa Simba...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wana simba wenzangu kuleni kwa wingi karanga mbichi, mihogo na kupaka mkongo ili tukampe kichwa Ally Kamwe

    Mm kila cku asbh lazima nile karanga mbichi na tena nimehamasika mno baada ya semaji la Yanga kutaka kichwa, nakula karanga mbichi atar kWa ajili ya kusafisha kichwa, tena Magori ndio mwenyekiti wa bodi aaaah na vumbi la mkongo napaka ili kichwa kimeremete.
  16. JamiiForums Tanzania Crescent Magori Mwenyekiti Mpya Simba Sport Club

  17. JamiiForums Tanzania Mo Dewji amrejesha Simba Barbara Gonzalez kama Mjumbe wa Bodi

    Rais na Mwekezaji wa Simba SC ametangaza mabadiliko makubwa ya kiuongozi ndani ya klabu hiyo, akibaki na nafasi yake ya Rais lakini akikabidhi Uenyekiti wa Bodi kwa kiongozi mpya kutokana na majukumu yake mengine na kutokuwepo mara kwa mara nchini. Kupitia taarifa rasmi, amesema ni muhimu Simba...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba heshimu mashabiki, kutoa maoni ni haki ya kikatiba

    Kwa mujibu wa Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya 18, Freedom of expession is an absolute right.Absolute right maana yake kwa wanasheria ni kuwa ni haki ambayo huwezi kuipoka kwa namna yoyote ile, you cannot abrogate freedom of expression.Hii haki ya kikatiba...
  19. A

    JamiiForums Tanzania BADALA YA KUIPUUZA KAGAME CUP, KWANINI SIMBA, AZAM NA YANGA WASINGEPELEKA JUNIOR SQUADS...HII INGEKUWA PRE-SEASON TOSHA KWAO

    Naona wazi Simba, Yanga na Azam wamechagua kuipuuza hii michuano tajwa, tena hii ni mara ya pili mfululizo... Kama hoja ni zawadi zinazotolewa kuwa ni ndogo, mbona wakialikwa kushiriki Mapinduzi cup ni lazima waende iwe mvua iwe jua tena katikati ya ligi...Je ina maana SMZ wanaweka mzigo mkubwa...
  20. JamiiForums Tanzania Washabiki wa Simba amkeni, viongozi wenu wanawaburuza tena…

    Kuna kichaka baadhi ya viongozi wa hovyo wa timu hii wanajificha na hakina afya kwa jamii husika ya Simba Sports Club. Simba wamefungwa na Yanga zaidi ya misimu mitatu mfululizo. Yanga wamebeba ubingwa zaidi ya misimu mitatu mfululizo. Lakini Leo hiii kuna wapenzi na washabiki ambao Mimi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…