simba

  1. JamiiForums Tanzania Simba achaneni na kocha Nabi; hafai na hawafai kwa lolote. Bora mara mia mumrudishe robertinho

    Nawatahadhirisha simba waachane na Nabi na Kishingo. Hawa makocha hawana jipya la kuiokoa simba kucheza relegation playoff.
  2. JamiiForums Tanzania Kilichoiua Simba ni usajili wa kipa kwa billioni Tatu na kumwadhibu yeyote alijejaribu kupinga usajili huo

    Kila aliyepinga usajili wa Ayoub Linkel alishugulikiwa. Timu iliyoshindwa kulipa wachezaji bonasi za zaidi milion 500 msimu huu na uliopita. Iliumiza sana wachezaji kuona inapata billion 3 kusajili kipa garasha.. Waliifunga yanga 2-0 wakazulumiwa bonasi zao za m 300. Kabla ya gemu Mo kaja na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Muda si mrefu Simba itarudi kwenye class yake. Form is temporary, but class is permanent

    Simba ni TOP CLASS! ni bahati mbaya tu TEMPORARILY wapo kwenye LOW FORM! Wanaoujua mpira wanafahamu kuwa class is permanent but form is temporary. Ni suala la muda mfupi tu uto watakimbiana!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yanga wako OVERATED, kisa eti kumfunga Simba!! Coastal kathibitisha hivyo jana

    Kufanikiwa kuifunga Simba goli 5 imefanya yanga kuwa overated. Jana Coastal union waliliona hilo wakakomaa na uto kuponea chupu chupu!!
  5. JamiiForums Tanzania Mrungula umepenyezwa Tena kwa wachezaji na viongozi wa Simba?

    Baada ya kumtimua kocha wao wa viwango kutoka Brazil na kumrejesha kocha bab kubwa kutoka Simba b bwana matola hatimaye Leo mrungula umepenyezwa Tena kwa wachezaji na viongozi na kupelekea kushona SARE isiyo ya razima wakati harusi imeahirishwa? Hali iyo inapelekea tuhuma kuwa nzito na...
  6. JamiiForums Tanzania Tazama hapa video ya Ali Kiba akiwakebehi Simba SC baada ya kulazimishwa sare na Namungo

    Mapenzi ya kweli hayafichiki hata kidogo na pia ni ukweli usiopingika ambao hata yeye alikiri kilichomuondosha Yanga ni ujio wa Diamond Platnumz hivyo akaona wivu Diamond alivyokuwa akihusudiwa na kupewa kipaumbele kwa hiyo jamaa akaamua asepe tu ila kimoyo moyo anaumia. Sasa bhana hii ni short...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hivi, kuna umuhimu wa kikosi Cha Simba kwenda kuweka Kambi Uturuki kujiandaa na msimu mpya?

    Tumeona misimu miwili Nguvu kubwa imetumika kwenda kuweka Kambi Uturuki kujiandaa na msimu mpya lakini wenzetu Yanga wakijichimbia hapo Kigamboni na maisha yanaenda vizuri tu. Ni muda sasa muda mwingi na fedha za Kambi ziwekezwe kwenye usajili Bora.
  8. JamiiForums Tanzania John Bocco ndiye anayeweza kuwabeba Simba kipindi hiki kigumu

    Mchezaji mwenye magoli mengi tangu kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania, mchezaji mwenye hamasa na utulivu, mchezaji mwenye kipaji cha uongozi Papa's John Bocco ndiye anayeweza kuwatoa Simba kwa wakati huu Mgumu wanaopitia wamuamini kila mchezo mpaka hapo Mambo yatakapokaa sawa.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Washabiki wengi wanaoshabikia Timu ya Simba wamekaa kiugomvi ugomvi

    Washabiki wengi wanaoshabikia Timu ya Simba wamekaa kiugomvi ugomvi Tofauti na timu zingine Kama Yanga , Azam, n.k tatizo linakuwa nini? Maana wao wakifungwa wanafanya fujo ushabiki wao ni wa fujo fujo tofauti na timu zingine mfano Timu ya wananchi (Yanga)
  10. JamiiForums Tanzania Nashauri Wachezaji hawa wa Simba SC leo wasiende Uhuru Stadium na wakienda Walindwe sana ili Wasipigwe

    1. Inonga 2. Chama 3. Kapombe Msiseme GENTAMYCINE sikuwashtua. Na hata Saido Ntibanzokinza na Leandre Onana nao hawako salama sana kwa Hasira Kali walizonazo Mashabiki wa Simba SC juu yao, ambao kwa wanaojiandaa kwenda Uwanjani Uhuru Stadium wanasema wanaenda Kuwatia Adabu ( Kuwaadhibu )...
  11. JamiiForums Tanzania Walinzi (Makomandoo) na Wapishi wa Simba SC mliokuwa zamu Derby ya Novemba 5, 2023 Albadiri itatulipia machungu yetu kwa usaliti wenu

    Jamaa kweli Walituweza kila Kona kuanzia kwa Wachezaji Watano ( japo Wawili Kipa na Fowadi wamesamehewa na Wengine Watatu wakilindwa ili Kutuzuga Mashabiki na huenda leo Wasipangwe au Wapangwa baadhi au Wakaishia tu Bench ) kisha wakaenda hadi kwa Viongozi Wawili ambao hawapatani Mmoja akiwa na...
  12. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

    Match Day! Simba SC Vs Namungo FC ⌚ 04:00pm 🏟️ Uhuru Stadium. Namungo anakutana na mnyama aliyejeruhiwa. Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Namungo Kikosi cha Namungo Kinachoanza All the Best Simba. #Nguvumoja# Mchezo umeanza 10' Simba wanaonekana kuwa na presha ya kutafuta matokeo...
  13. JamiiForums Tanzania Simba wamchukue Kocha wa JKT Queen Estre Chabruma

    Uzi tayari
  14. JamiiForums Tanzania Napata furaha sana simba inavyotapatapa kumtafuta mchawi

    Kipigo cha 5G siyo mchezo jamaa wanatafuta mchawi ila wamesahau kulitufunga 5, walipigwa tano tano kwenye CAF pia wamesahau kuwa yanga imekuwa kawaida yake kushinda hizo goli mwisho niseme mjipange isije tena mechi ijayo mkafukuza mpaka mwekezaji (bwana mpata hasara asiye jivua) maumivu yapo...
  15. JamiiForums Tanzania Simbachawene: Kama zile 5-1 zimetokana na Rushwa, Simba mkaripoti TAKUKURU Temeke

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema kama Klabu ya Simba inaamini kupoteza kwa magoli 5-1 dhidi ya Yanga kumechangiwa na mazingira ya rushwa basi taarifa hiyo ikaripotiwe Ofisi ya TAKUKURU Temeke, Dar es Salaam. Awali, Mbunge...
  16. JamiiForums Tanzania Simba waliiogopa mno Yanga kabla ya mechi na wakati wa mechi.

    Hakukuwa na ulazima wa Simba kumfukuza kocha peke yake kwa kosa la kufungwa magoli 5 na Yanga. Kufungwa kwa Simba kulisababishwa na sababu na wadau wengi wakiwemo viongozi na wachezaji wenyewe. Simba iliingia kwenye mechi ile wadau wote wa simba (kocha, wachezaji, uongozi na mashabiki) wakiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba ndio tatizo la kwanza kwenye klabu, wajitathimini wao kwanza kabla ya kuwatoa kafara wengine!

    Viongozi wa Simba na mwekezaji wake ni watu wa propaganda nyingi sana na wamekuwa wakiishi hivyo kwa mda mrefu walicheza na akili za wanachama wao! Jambo hili limekuwepo kwa mda mrefu na ilikuwa ni suala la muda tu ufike waumbuke, awa wakina Try again, mangungu, Mo mwenyewe, wamekuwa ni watu wa...
  18. JamiiForums Tanzania Simba inaendeshwa kwa presha za mashabiki viongozi hawajui wanataka nini na wafanye nini

    Kuna hali ya kustajabisha ndani ya uongozi wa Simba katika kusimamia timu. Hapo awali tuliona jinsi gani uchebe aliondolewa kwenye timu, ilianzia kwa mashabiki huko mwanza kumtupia chupa za maji na kushinikiza kocha hawamtaki, haikuchukua muda kocha akaondolewa klabuni na hali hiyo imewakuta...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Van Dabroek kutua Simba SC

    Aliyewahi kuwa kocha wa Simba SC Sven Van Dabroek ambaye alifundisha FAR Rabat na Wydad Casablanca zote za nchini Morocco kisha akafundisha CR Belouzdad ya nchini Algeria anapewa nafasi kubwa ya kurithi mikoba ya Robertinho. Kocha huyo kutoka Ubelgiji anatajwa kuwa chaguo la kwanza la uongozi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Naiona Simba ikishuka daraja

    Kipigo cha bao 5 kutoka kwa Yanga, kina dalili zote za kuivuruga Simba kuanzia kwenye uongizi mpaka kwa wachezaji na bench zima la ufundi. Hivyo; busara ikikosekana, kuna hatari ya hii club kusambaratika na kufanya vibaya katika ligi na wasipokuwa makini, club itashika nafasi za chini kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…