simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC msipokuwa makini na hii 'Mind Game' ya Yanga SC kuwa hawatoleta Timu 03 Julai, 2021 tunaenda kuumbuka kwa kufungwa nao

    Nauonya Uongozi wa Simba SC na Wanachama mpaka Mashabiki wa Simba SC kuwa tuweni makini mno na hii Mbinu ya Nje ya Kisaikolojia ya Mchezo (Mind Game) inayofanywa na Yanga SC hasa kuelekea Mechi yetu nao tarehe 3 July, 2021 kwani tukienda nayo na tukaiamini na Kuwaamini Yanga SC naona Simba SC...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ijue Ajenda ya Siri juu ya Yanga SC 'Kutishia' kutocheza Mechi yao na Simba SC 03 July, 2021

    Juhudi zangu za Kuchimba kutoka Jikoni nimeambiwa na Mmoja wao kuwa si Kweli kuwa Yanga SC hawataleta Timu Siku hiyo ila Kutishia kwao huku mara kwa mara kutoitambua au kutocheza 'Derby' ni kutaka 'Kuidhoofisha' Klabu ya Simba Kimapato kwakuwa Mechi hii ijayo Simba SC ndiyo Mwenyeji. Hivyo basi...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Kauli za Chuki za Mbunge Tarimba Abbas (CCM) dhidi ya Simba SC na TFF naiomba Simba SC iachane rasmi na SpotiPesa yake

    "TFF ni Simba SC na Simba SC ni TFF na tumeshaona jinsi Simba SC inavyobebwa na TFF kiasi cha wengine Kuchoshwa na Upuuzi huu ", Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas Tarimba. Chanzo: Sports Court Wasafi FM leo. Simba SC nadhani tumeshauvumilia huu unafiki uliopitiliza wa Mbunge wa Kinondoni...
  4. demigod

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Yanga SC yaishinda Mabavu ya Kifedha Simba SC kwenye usajili wa Masoud Djuma

    Masoud Djuma (umri 28) akamilisha usajili wake ndani ya Yanga SC kwa dau la USD500,000 (Bilioni 1 & Milioni 150) Yanga imefanikiwa kuwashinda wapinzani wao Simba SC Tanzania baada ya offer yao ya USD 399,000 (Milioni 850) kutupiwa kapuni. Simba SC Tanzania ilimuhitaji Djuma kama mchezaji pacha...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Simba ya 13, Yanga 74, Namungo 60 na mchakato wa kupata points

    hii ni hadi 23 may 2021 nahisi caf wamesahau kuweka kombe la mapinduzi tukufu
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli Simba SC inamsajili Edward Manyama, Mwenzake Mohammed Hussein aonywe 'asimroge' tafadhali

    Nimezipokea hizi 'Tetesi' kwa Furaha kubwa mno na kama itakuwa ni kweli kwani Edward Charles Manyama ni Beki Bora wa Pembeni anayecheza 'Kisasa' zaidi tena kuliko aliyeko Mohammed Hussein Tshabalala. Uzuri wake Edward Charles Manyama ni kwamba haishii tu kukupa Faida ya Kukaba vyema bali pia...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Simba ni bora kabisa, kama ni ukweli

    Kocha kishingo kipindi yuko simba alitamani sana kupata beki mrefu wa kati anayetumia mguu wa kushoto kama ilivyokuwa kwa Ally Sonso ambaye shida yake ni mistakes nyingi, mwingine ni Abdi Banda ambaye kwa kweli sidhani kama kuna mtu anataka kuiona sura yake pale Msimbazi. Sasa leo nasikia...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC wala msipoteze muda kumpima akili Mkude; matatizo yake makuu ni haya...

    1. Uvutaji Bange (Bangi) uliopitiliza na yupo Mtu hapo hapo Simba SC (namhifadhi) ambaye alimzoesha Kuvuta na mpaka akawa anamnunulia. 2. Umalaya uliopitiliza kiasi kwamba mpaka hivi sasa ana Mahawara Watano ila kuna Mmoja kampangia Kawe (jirani na Ukuta wa Lugalo) ndiyo amemuharibu kabisa...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania CAF Club Ranking: Simba SC yasogea Top 10

    Timu tishio Afrika Simba Sc inazidi kujikita kuelekea kuwa timu Kigogo barani Afrika. Ilipo Yanga waulizwe Yanga wenyewe Goo Simba Goo Goo Mo Dewji Goo
  10. S

    JamiiForums Tanzania Simba leo alipotea katikati

    Leo viungo wa Ruvu Shooting Shabani Msalla na Zubery Dabi waliwatawala sana simba na kuwapoteza haswa kwenye nafasi ya kiungo,sijawahi kuona simba ikipotea eneo la kiungo kwa dakika 90 zote. Kocha akamtoa Bocco na kumuingiza Mzamiru Yassin ili kuweza kuwazuia viungo hawa wawili waliokuwa...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC ni matumaini yangu mmejiandaa vilivyo kuhusu Sakata la Yanga SC na Mchezaji Morisson kwani naona limekaa vibaya Kwetu huko CAS

    Kitendo tu cha Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo duniani ( CAS ) kutupilia mbali Ombi la Mchezaji Bernard Morrison kuwa Wasiisikilize Kesi yake ni ' wake up call ' kwa Simba SC kuwa kuna ' HATARI ' inaenda Kutuangukia na huenda tusiamini na tukaja Kujuta pia. Tafadhali upesi sana Simba SC...
  12. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania FT: Namungo FC 1-3 Simba SC | VPL | Majaliwa Stadium

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL' kuvurumishwa leo Jumamosi Mei 29, 2021 ambapo Namungo FC wakiwa dimba lao la nyumbani kuwakabili Mabingwa Watetezi Mnyama Mkali Simba SC. Mchezo huu VPL ni wa kiporo kutokana na timu ya Namungo FC na Simba SC kukabiliwa na...
  13. N

    JamiiForums Tanzania CEO wa Simba anaenda kuiua brand ya team

    Kimzaha mzaha wakati inaonekana anahangaika kuipandisha brand ya Simba ukweli ni kwamba kwenye issue ngumu ni muoga sana, Simba ilipofikia kuna siku itechaza hata na Manzese united wakasema simba imepuliizia sumu na habari ikasambaa Afrika nzima ikaamini. CEO hizi habari anakausha kimya hadi...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC ama mzishtaki hizi Timu au muendelee Kunyamaza ili Shutuma hizi zizidi Kuaminika na 'Brand' yenu Kuchafuliwa

    Sasa hapa nchini Tanzania imekuwa ni kawaida Timu yoyote ile ya VPL ikija kucheza na Simba SC uwanja wa Mkapa na ikifingwa tu Kihalali (Kimchezo) itasingizia kuwa walipuliziwa Dawa Vyumbani. Upuuzi huu waliuanza Timu ya Azam FC na baadae tena wakaja nao Namungo FC, kisha Kagera Sugar FC na...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya anayejiita Wakala wake Kulikoroga Mchezaji Meddie Kagere amtuma msemaji wa Simba SC Manara kuusema ukweli wake huu kwa Wanasimba

    "Kama Mchezaji wa Simba SC nimesikitishwa sana na Kauli za huyu Patrick Gakumba kuhusu Mimi na Uhusiano wangu na Kocha Gomez " "Nikiri tu kwamba namjua Patrick Gakumba ila nashangaa ni kwanini kila mara anajitokeza kudai ni Wakala wangu " "Ukweli ni kwamba Patrick Gakumba si Wakala wangu bali...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakala wa Meddie Kagere, Mnyarwanda Patrick Gakumba atoa siri nzito za Kocha wa Simba SC Didier Gomez Da Rosa

    "Huyu Kocha nimejuana nae Siku nyingi hata kabla ya kuja hapo Simba SC. Anafanya mambo ambayo najua yatakuja Kumrudia na ataumbuka kwani hata Mwenyezi Mungu anayaona na atamuadhibu. Ana Chuki Binafsi na Mimi kwakuwa nilikataa Kumpigia Chapuo kwa Ushawishi wangu mkubwa katika Soka la hapa nchini...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania CAF Team of the Week: Simba Sc waingiza watano

    Yumo Bocco, Chama, Miqsone, Kapombe na Tshabalala. Simba ni timu kubwa sana Afrika hii
  18. N

    JamiiForums Tanzania Simba SC ni baba anayeishi na mtoto snitch msaliti wa hali ya juu

    kwa mara ya pili in 3 years ligi ya Tanzania inaenda kuingiza teams 4 Afrika leo hadi biashara na kmc wanapambania nafasi ya 4 sababu lolote linaweza kutokea,lakini anayesababisha yote hayo anapigwa vita kwelikweli yaani ni vita kweli soyo ya maneno tu ni ya vitendo: Mwaka juzi kuna team...
  19. bartenderznz

    JamiiForums Tanzania Bai Bai Simba

    Licha ya Simba kutumia propaganda,muda na Pesa nyingi,bado wameshindwa kumpata fundi wa kutengeneza Meza ya miguu mitano
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, umesikia nini cha nje ya Uwanja (Kamati za Umafia na Uchawi) kuelekeaa 'Mtanange' wa leo wa Simba SC na Kaizer Chiefs FC?

    Nilizonazo hadi Asubuhi hii ni kwamba Wachezaji wa Kaizer Chiefs FC Usiku hawakulala Mbezi Beach bali wamelala Ubalozini Kwao na kule Hotelini Mbezi Beach wamebaki wale wasiocheza leo. Nilizonazo hadi Asubuhi hii ni kwamba kuna aliyekuwa Kiongozi Mmoja wa Simba SC (sasa yupo Yanga SC) kwa...
Back
Top Bottom