simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Silazimishi (Siwalazimishi) ila kwa Kikosi hiki kama Kikipangwa Kesho huenda Malaika wote na Mungu nae akawa upande Wetu Simba SC

    1. Aishi Manula 2. Shomari Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Kennedy Juma 5. Joash Onyango 6. Thadeo Lwanga 7. Jose Miquissone 8. Muzamiri Yasini 9. Chris Mugalu 10. Clatous Chama 11. Bernard Morrison Wachezaji wa Akiba wawe hawa tu 1. Beno Kakolanya 2. David Kameta ' Duchu ' 3. Pascal Wawa 4...
  2. Kinumbo

    JamiiForums Tanzania Asilimia 98% Simba SC wanaamini watapindua matokeo

    Moja kwa moja kwenye mada. Hawa Simba yaani bila kupepesa macho kwenye akili zao wanaamini kabisa kesho watapindua meza na kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika. Come on guys magoli 4 ni mengi sana, mlikosea sana ile mechi ya kwanza. Mechi ya kwanza mlijiamini sana...
  3. Kichwa Kichafu

    JamiiForums Tanzania Hivi itakuwaje kama Simba SC akapindua meza Kwa Mkapa?

    Habari. Nimewaza hapa haraka haraka hizi kelele za hawa wanamsimbazi/wamatopeni siku ya kesho wakiweza kupindua meza? Sijui ujasiri wameutoa wapi pamoja na kipigo cha mbwa koko ila bado wana kelele hadi sasa. Sasa itokee ndio wamepindua meza kibabe itakuwaje mtaani? Ila haya yote ni kujipa...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama hili ni kweli na siyo Uzushi tu nitaanza kumdharau Mo Dewji na Watendaji wake wa Simba SC wanaomzunguka

    Ni nani aliyowaambia kuwa Kiufundi (hasa katika Mpira) Timu yako ikiwa imefungwa katika ' Margin ' kubwa ili nayo Kulipiza Kisasi (Kupundua Meza) Wachezaji wanatakiwa waahidiwe Magari ya Kifahari na kila Goli watakalofunga litanunuliwa kwa Tsh 260 Milioni? Hizi Ahadi ndizo zitafanya Mabeki wa...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tukimaliza Kuicheka Simba SC Kufungwa na Kaizer Chiefs FC tusisahau kuwa nasi huku VPL tunaharibu na Azam FC hao wanakuja kutupita

    Kisaikolojia Kumcheka Adui yako Mkubwa kwa Kuanguka ( Kufeli ) Kwake huwa ni Jambo la Kawaida ila halijawahi kuwa Suluhisho la kumaliza Matatizo yako ya kudumu uliyonayo. Tunawacheka Simba SC kwa Kipigo cha Kufungwa Magoli Manne ( 4 ) na Kaizer Chiefs FC juzi ila tusijisahaulishe kuwa nasi huku...
  6. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya slogan dhidi ya Kaizer Chiefs

    Habari wanamichezo na wapenda soka kwa ujumla. Poleni kwa yaliyoikuta Nchi yetu huko kwa kwa Makaburu. Jumamosi ni siku ambayo tutaenda kuishangaza dunia kwa kuichakaza vibaya mno Kaizer siyo (lazima uamini)lakini ipo hvyo. Last time tulikuwa na Slogan WAR IN DAR, POINT OF NO RETURN na zingne...
  7. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Kilichoikuta jana timu Simba ni matunda ya laana ya mashabiki

    Habari wadau! Kiukweli Simba wamevuna walichokipanda, siku zote kibri haifai katika maisha ya mwanadamu. Hawa viongozi wa Simba wana midomo mirefu sana, alichowafanyia washabiki kwenye mechi yao na mtani kamwe washabiki hawawezi sahau hivyo walipaswa kuomba radhi kwa washabiki wao kabla ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bora nichukiwe na Wana Simba SC ila ukweli huu Mchungu uliochangia Kipigo Kitakatifu cha Mzulu na Mkaburu Kaizer Chiefs FC niuseme

    Kama Mwamamichezo Halisi ( japo sijifichi ni mwana Simba SC ) nianze kwa Kuwapongeza Kaizer Chiefs FC kwa Ushindi wa Goli Nne na niwape pia Pole Simba SC kwa Kufungwa Mchezo huu wa Kwanza leo. Zifuatazo ni sababu zangu Binafsi za Kiuchambuzi Mimi Krav Maga kwanini Simba SC tumefungwa na Kaizer...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Watanzania walioishabikia kipigo cha goli 4-0 kutoka kwa Kaizer Chief wamekosa uzalendo

    Nikiwa Mtanzania Mzalendo nimeumia sana kuona baadhi ya wenzetu waliomua kwa makusudi kutusaliti kwa kuwapa support wageni Nimesikitishwa sana na kitendo cha baadhi ya Watanzania kuamua kuishabikia timu ya Kaizer Chief FC ya Afrika Kusini na kuibeza timu yetu ya Simba kufuatia kipigo cha goli 4...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Kaizer Vs Simba Sc kuchezwa bila mashabiki

    Kaizer Chiefs vs Simba match on TV but NOT every fan will get to watch it! Kaizer Chiefs fans will get to watch their team live on the South African Television for the first time in the CAF Champions League this season. Amakhosi take on Simba SC of Tanzania in the first leg of Africa’s premier...
  11. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Sajili za Wachezaji zilizotamba sana lakini zikadunda

    Imekuwa ni utamaduni wa kawaida kwa vilabu vya Mpira wa miguu Ulimwenguni kufanya usaliji (kununua Wachezaji) pindi madirisha ya usajili yanapofunguliwa. Katika harakati hizo kuna baadhi ya Wachezaji ambao sajili zao huwa na mbwembwe nyingi na kuibua taharuki kwa Mashabiki lakini kwa bahati...
  12. denooJ

    JamiiForums Tanzania Simba SC yatoa taarifa rasmi, yataka kupewa ushindi kwa Yanga SC kususia kuingiza timu uwanjani

    Ifuatayo ni taarifa yao rasmi.
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Namtafuta sana anayewadanganya Mashabiki wa Simba SC kuwa Kaizer Chiefs FC ni 'wepesi' na 'utopolo' mno kama walivyo Yanga SC

    Kwa kuwafuatilia Kwangu kwa Jicho la Kiufundi naliomba Benchi la Ufundi la Simba SC lifanye Maandalizi makubwa ikiwezekana hata kuliko yale waliyoyafanya ilipocheza na Al Ahly hapa Dar es Salaam. Wana Winga zao ( Viberenge ) Wawili ambao nina uhakika Siku hiyo akina Kapombe na Tshabalala...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wapiga ramli na wachambuzi uchwara, mbona siwaoni mkiitisha Simba?

    Tumewazoea kwa ramli zenu dhidi ya mnyama na uchambuzi uchwara ambao hatuusilkii sana sasa hivi ya kuwa simba ni wazee. Badala yake mmeanza kampeni ya kuililia Simba iwape mikataba minono hao hao mliokuwa mnawaita wazee. Najua mmekula mlungura kutoka upande wa pili ili mcheze mind game against...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Khalid Abeid- Mchezaji wa Sunderland, Simba na Timu ya Taifa

    SIKU MOJA NA KHALID ABEID MCHEZAJI WA SUNDERLAND, SIMBA NA TIMU YA TAIFA Huwezi kuchoka kumsikiliza Khalid Abeid mchezaji wa Sunderland mwishoni mwa miaka ya 1960 na mwanzoni mwa 1970 baada ya Sunderland kuwa Simba. Mimi na Khalid Abeid tuna ndoto ya muda mrefu ya kuandika kitabu chake katika...
Back
Top Bottom