simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. Ghazwat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba SC Vs Coastal Union (2-0)| Simba yatwaa Ubingwa msimu wa 2020/21

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL, Kuendelea kupigwa leo July 11, 2021 ambapo Mnyama Mkali, Simba SC, wanawakabili Wagosi wa Kaya, Coastal Union, kunako Dimba la Mkapa Jiji Dar es salaam. Mchezo ni mgumu kwa pande zote mbili, kwani Simba SC inasaka alama tatu au...
  2. mmh

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi namna ya kugawana pesa za Simba SC Tanzania

    Nimeona kuna wanajiita wachambuzi au wanamichezo wanapotosha makusudi ama hawajui haya mambo. Wanadai azam media wakiipa pesa Simba kupitia mkataba wa haki za matangazo basi mudi atakata 49% kinachobaki ndo kinaenda Simba SC Tanzania. Huo ni uongo na upotoshaji. Hesabu za kupata gawio...
  3. BASIASI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TFF na Simba SC andaeni faini za Kigoma na mjiandae na kipigoo kingine, hatuwaachi

    Baadaaa ya yanga kupigwa faini Naomba tuwajulishe TFF na Simba SC yao mwendo ni uleule Mjiandae Kigoma na faini zingine. Yale mabomu mnayotegaga mi Langoni tunayalipua mwanzo mwisho Hivyo basi andaeni na faini ya kigoma kipigo kilekilee Kauli mbiu-kigoma Fainiiii ijeeeeee Kipigooooooo...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Poleni wana Simba SC Wenzangu kwa Goli lile la 'Kubabatiza' na Kupaki Kwao 'Kontena', ila Mwanaume 'Hatairiwi' mara mbili

    Nilipumzika kidogo kama kwa miaka Mitatu kuwa katika Kamati ya Utamaduni ( Ufundi wa Jadi ) wa Timu yangu pendwa ya Simba SC ila kwa 'Dharau' zinazoendelea hapa mjini sasa 'Mwanamume' narejea Kazini na leo GENTAMYCINE nasema Kitakachowapata Yanga SC huko Kigoma tarehe 25 July, 2021 kitakuwa ni...
  5. demigod

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachezaji Waliopata Kuharibikiwa Wakiwa Simba SC

    Habari wana jamvi. Kuna orodha ya baadhi ya wachezaji ambao wanatarijiwa kuacha a Simba SC. Miongoni mwa wachezaji hao ni wale ambao waliokuwa wakifanya vyema katika timu zao za hapo awali. Simba SC imeetendeleza Tamaduni yake ya kuharibu Vipaji vya Vijana wa Kitazania, haswa kwa kuwahadaa kwa...
  6. kukumsela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzee Mpili tumekukosea nini sisi mashabiki wa Simba Sport Club?

    Mzee wangu najua unasoma uzi huu sasa hivi nakuomba kwa niaba ya mashabiki wa Simba SC utusamehe kama tulikukwaza kwasababu umetuandamana sana. Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
  7. Linguistic

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umegundua nini kwenye derby juzi?

    01. Kibwana Shomari [emoji1241] 02. Adeyum Saleh [emoji1241] 03. Dickson Job [emoji1241] 04. Bakari Mwamnyeto [emoji1241] 05. Zawadi Mauya [emoji1241] 06. Deus Kaseke [emoji1241] 07. Feisal Salum [emoji1241] 08. Juma Makapu [emoji1241] 09. Ditram Nchimbi [emoji1241] 01. Farouk Shikalo...
  8. king joniva

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haji Manara hafai kuwa Msemaji wa Simba SC

    #NIONAVYO MIMI: HAJI MANARA HAFAI KUWA MSEMAJI WA SIMBA SC. kwanza kabisa napenda kukiri wazi kuwa Mimi ni shabiki wa chama la wana SIMBA SC, pili nina muheshimu kaka yangu Haji Manara na nina heshim mchango wake kwa klabu yetu. Wakati wa kuanzishwa kwa klabu hii 1936, timu hii imepitia...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taarifa za uhakika nilizonazo Manara ndiye anaihujumu Simba SC kila ikicheza na Yanga SC atimuliwe

    Msemaji wa Simba SC Haji Manara binafsi nakuheshimu mno na nisiwe pia Mchoyo wa Kukusifia na Kukupongeza kuwa ndani ya Klabu ya Simba nawe umeweka Alama yako ya Mchango wako mkubwa wa Kuitangaza vyema Simba SC na kuwa Brand hivi ilivyo sasa. Hata hivyo Msemaji wa Simba SC Haji Manara leo...
  10. Ghazwat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanahabari wa Michezo wawahoji wapinga mabadiliko Yanga kama walivyokuwa wakifanya kwa Simba SC

    Habari Tanzania! Wakati Klabu ya Simba inakwenda kufanya mabadiliko ya Kiwendeshaji wa Klabu kulikuwa na tafarani nyingi sana za kukatisha tamaa kutoka baadhi ya Waandishi wa Habari za Michezo na Watangazaji pamoja na Wachambuzi, kama haitoshi walikwenda mbali zaidi kudai Uwekezaji haifai na MO...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa unajiuliza ni kwanini Wachezaji wa Azam FC juzi Songea walicheza 'Kikatili' vile kutaka 'Kuua' Wachezaji wa Simba SC jibu hili hapa

    Wana Miezi Mitatu hawajapewa Mishahara na si kwamba labda Tajiri 'Mzanzibari' hana Pesa bali kaamua Kuwafanyia 'Kusudi' baada ya Kuwaambia Wachezaji wanamuangusha kwani anawapa kila Kitu hivyo wakitaka Wafurahi basi nao pia Wamfurahishe. Hivyo basi Wachezaji wengi wa Azam FC sasa kutokana na...
  12. HPAUL

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Simba ikiongozwa na Gomes imeshafungwa na timu yoyote ya Tanzania?

    Nafahamu ya kwamba Simba ikiongozwa na Gomes imepoteza mechi 2 za kimataifa ugenini, Al Ahly (Misri) na Kaizer Chiefs (Afrika ya Kusini) lakini sina uhakika kwa mashindano ya nyumbani kama imewahi kupoteza mchezo wowote, mwenye taarifa zaidi anijuze.
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kwa wale 'Washamba' tu na wenye 'Chuki' na Goli 'halali' kabisa la Simba SC dhidi ya Azam FC huko Songea katika ( ASFC ) leo

    Nianze Kwanza kwa Kumshukuru Mchambuzi 'mahiri' wa Mpira kutoka Clouds FM Kipindi chao cha Michezo cha Sports Extra Farahani (Farhan) Kihamu kwa Ufafanuzi wake ulioenda Shule (Kidato) Na nikiri kuwa 100% ya kile nitakachokiandika hapa nimekitoa Kwake Mchambuzi huyu Farahani Kihamu na siyo...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, unadhani Mashabiki 'Oya Oya' wa Yanga SC baada ya Mechi ya Simba SC na Azam FC leo walitakiwa walaumu lipi kati ya haya yafuatayo?

    a ) Rafu mbaya sana na ya Kikatili mno aliyochezewa Luis Miquissone wa Simba SC na Beki Mpuuzi Mghana wa Azam FC ambayo si tu ingemjeruhi vibaya bali ingeweza hata Kuhatarisha Uhai wake na cha Kushangaza Mwamuzi hakumpa upesi Kadi Nyekundu na akaishia tu kumpa ya Njano huku Mchezaji Mcheza Rafu...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wana Simba SC Wenzangu tuanzeni mapema Kujiandaa 'Kisaikolojia' kwa taarifa mbaya au nzuri baada ya Saa 12 leo Jioni

    Mioyo yetu si vibaya sana kama tukianza Kuizoesha Asubuhi hii kwa kupokea Habari ( Taarifa ) yote tu ile iwe ni mbaya au nzuri kuanzia Saa 12 Kamili jioni ya leo. Nawatakieni kila la Kheri ila tu tusiumie.
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msipopeleka Timu tarehe 3 Simba SC inapewa 'points' 3 na kuwa Bingwa na mkipeleka Timu 'mnakufa' 5 kwa 0 Kazi Kwenu

    Hayati Rais Mstaafu 'Genius' Benjamin William Mkapa aliwahi kusema kuwa Siku zote Kupanga ni Kuchagua. Mna Maamuzi mawili tu ya ama msipeleke Timu katika 'Derby' ya tarehe 3 July, 2021 ili Kanuni zifuatwe na Simba SC apewe alama (points) 3 na Goli 3 atangazwe 'Bingwa' rasmi. Au muamue kupeleka...
  17. TheGreatASA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba yanusa ubingwa VPL

    USHINDI wa 4-1 waliopata Simba dhidi ya Mbeya City unawafanya klabu hiyo kuhitaji pointi nnetu ili wawe mabingwa wa Ligi Kuu Bara. Mabao ya Rally Bwalya, Luis Miquissone, John Bocco na Clatous Chama yalitosha kuwafanya mashabiki wa Simba kuweka imani ya ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Simba...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuambiane ukweli kwa Mpira mbovu uliochezwa na Simba SC Kipindi cha Pili dhidi ya Mbeya City ikicheza na Azam na Yanga itafungwa

    Kwanza nianze kwa Kupongeza Ushindi mzuri wa Goli 4 kwa 1 ambayo Simba SC imeshinda leo ( Usiku huu ) dhidi ya Mbeya City. Pia nikiri kuwa Klabu ya Simba si tu kwamba inaishia kuwa na Kikosi kizuri (Timu nzuri) ila pia ina Wachezaji wenye Vipaji Asilia Binafsi kuliko wa Timu nyinginezo nchini...
  19. Ghazwat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vodacom Premier League VPL | Simba SC Vs Mbeya City (4-1) | Benjamin Mkapa

    Patashika ya Ligi Kuu Kuendelea kupigwa leo Juni 22 2021, ambapo Mabingwa wa Nchi wanawakabili Mbeya City Uwanja wa Benjamin Mkapa Jiji Dar es salaam. Mchezo huu unatarajiwa kuwa mkali na wakusisimua kwa muda wote wa dakika 90 huku kila timu ikihitaji alama tatu muhimu ili kuweza kujiweka sawa...
  20. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inatia kinyaa na hasira: Abdi Banda adai Simba inamtaka

    Kama ni kweli Simba wanambembeleza yule, i will dedicate my time kuitukana simba na kuhamia utopolo kwa mkopo, this is absurd. Yani huyu mtu aliyeondoka simba kwa matusi akafanya interview huko South Africa na kusema Simba inashirikiana na serikali ya Tanzania ku-fake vipimo vya corona, Simba...
Back
Top Bottom