simba na yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R-K-O

    Simba na Yanga zina uhakika wa kushinda mechi 20+ kati ya 30, je kuna mbinu ya kuweza kupiga pesa kwenye beting?

    Ni timu ambazo zina probability kubwa za kushinda, katika mechi 30 kuna mechi 20+ wanaweza kushinda Tena hapo ukiondoa mechi 2 za derby na 2, probability inazidi Je, pana uwezekano wa kupiga pesa? Mapato utayopata wakishinda mechi 20 kati ya 26 (ukiondoa 4 za debi na azam) yatazidi pesa...
  2. William Mshumbusi

    Azam sio huzikamia Simba na Yanga no. Ni timu ambayo wachezaji wake wanaweza kufichwa na kupewa hamasa ili wasihongwe na Timu kubwa

    Azam pamoja na kutikuwa Bora lkn likija swala la Simba au Yanga wanakuwa wamoto mno. Je wanakamia?? Niko!!!! Timu Hizi kubwa kwanza hutaka ushindi kwa namna yoyote na kila timu ndogo viongozi wengi Ni washabiki wa Hizi timu kubwa na hivyo kutumika kuhujumu timu kwenye mechi ngumu. Kama kila...
  3. S

    Kamatakamata siku ya Mechi ya Simba na Yanga, ni coincidence au ni mpango mkakati?

    Hili ndio swali ninalojiuliza kuwa kamatakamata hii kwenye siku hii ,ya leo yenye attention kubwa ya mpira wa Yanga na Simba imetokea kama coincidence au ni mpango mkakati? Labda niulize kwanini weekend ndio wahakikishe wote wamekamatwa ili hali kosa uhaini halina dhamana? Je, lengo ni...
  4. Kipenzi Changu

    "Mama Baleke" kuchezesha Simba na Yanga kesho

    Florentina alichezesha mechi ya Mtibwa akipigwa 3 na Baleke. Akachezesha mechi ya Ihefu Baleke akipiga 3 kati ya 5 Nimeanza kuwaonea huruma
  5. AbuuMaryam

    Kama lengo ni Yanga na Simba zikutane Fainali kulikuwa na haja gani ya haya Mashindano?

    Kwa sababu kwa asili ilikuwa MSHINDI WA KWANZA WA LIGI NA WA PILI WATACHEZA NGAO YA HISANI...ilikuwa SIMBA NA YANGA zicheze NGAO YA JAMII. Sasa kulikuwa na haja gani ya mashindano...na huku mmeshapanga fulani ashinde... Hili suala la kuweka gender balance kwenye baadhi ya mambo ambayo...
  6. LIKUD

    Kuwatumia vibaya Diamond na Ali Kiba kwenye siasa za Simba na Yanga ''kutaua" soka la Tanzania

    Inajulikana tangu enzi za Pontyo wa Pilato kwamba shabiki wa Yanga hawezi kuwa shabiki wa Simba and vice versa. Sio tu hivyo bali hadi kwenye kutakiana mafanikio na kuombeana njaa ndani ya uwanja. Shabiki wa Simba hawezi kufurahia mafanikio ya ndani ya uwanja ya Yanga hata itokee nini. Miaka...
  7. GENTAMYCINE

    Kama taarifa hizi za 'Hujuma' inayofanyiwa Simba na Yanga ni kweli, hatua kali zichukuliwe

    Kuna taarifa (si rasmi bado naendelea Kuzichunguza) zinadai kuwa Tiketi nyingi za 'Simba Day' zilizonunuliwa huku Uongozi wa Simba SC ukifurahia SOLD OUT yake wakiamini kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa utajaa hadi Pomoni Keshokutwa zimenunuliwa na Matajiri wenye UMAFIA wa Yanga SC kwa Makusudi ili...
  8. Best Daddy

    Simba na Yanga: Viingilio ni Sababu, ila kuna kubwa zaidi ya hilo

    Nianze kutoka credit kwa wadau wasoka, mpira wa miguu ni industry pekee yenye muamko na ushawishi mkubwa kwa jamii, nchini Tanzania. Lakini, kama hujaliona hili, basi angalia nyanja ya siasa mfano, watu wengi sasa wanahisi yanayotokea huko basi hayawahusu, ni kama mambo yanatokea kwa jirani...
  9. M

    Naomba faida ya Kauli za Majigambo za Wasemaji wa Simba na Yanga katika Maendeleo ya Soka Tanzania

    Ali Kamwe (Msemaji Yanga SC) Siku ya Wananchi (Yanga Day) Taifa litatulia na Watu hawatoamini kwani tunaenda Kumtambulisha Mchezaji ambaye atawafanya Watu fulani Walie, Wasiamini na Wengine hata kutamani Bora Wafe tu.kuliko Kumshuhudia huyo Mchezaji akicheza Yanga SC. Ahmed Ally (Msemaji Simba...
  10. GENTAMYCINE

    Mo Dewji nakupasulia huu Ukweli ambao GSM wa Yanga SC nae naomba auchukue juu ya Uwekezaji Simba na Yanga

    GENTAMIYCINE nilidhani ukiwa Tajiri basi hata na Uwezo wako wa Kufikiri nao unakuwa ni wa Kitajiri ( nikimaanisha ni mkubwa ) kumbe hali ni tofauti kabisa. Matajiri Mohammed Ghullum Dewji wa Simba SC na Gharib Said Mohammed wa Yanga SC kwa Historia Kubwa ya Simba na Yanga hasa katika Siasa za...
  11. R-K-O

    Kwa sheria za sasa Azam ndie wa kumtegemea alete kombe la CAF, Simba na Yanga hawawezi

    Kwa sheria za sasa timu zinazoingia CAF mabingwa haziwezi kudondokea CAF Shirikisho, Ukitoka umetoka! Na kama ilivyozoeleka katika ligi kuu yetu nafasi ya kwanza na ya pili huwa ni Simba na Yanga, Hizo timu moja kwa moja zinaenda CAF mabingwa. Huko CAF mabingwa tusijizime data, Hio ligi ina...
  12. Area 56

    Simba na Yanga zinawataka wafanyabiashara waweke oda za jezi mpya bila kuziona, huu ni uwendawazimu

    Sasa najiuliza unawezaje uagize jezi kibao bila haya kuziona zinafananaje? Hapa ni kama DP World tu na bandari yetu
  13. E

    Hivi hizi pesa za magoli ya Simba na Yanga zilipitishwa kwenye bajeti ipi?

    Je, tuseme Tanzania tuna pesa nyingi ambazo hazina matumizi yoyote ?
  14. Mwl Philemon

    Ushabiki wa Simba na Yanga wageuka uadui

    Kwa yanayoendelea sasa kwenye mpira wetu ni ujinga na upumbavu mkubwa kuoneshwa na wapenda maendeleo ya michezo hususan huu mchezo pendwa wa mpira wa miguu. Ndani ya siku tatu kumekuwa na matukio yasiyo ya kuvutia kwa wanamichezo wa kweli. Lilianza la Ali kamwe kumshambulia kwa maneno ya kejeli...
  15. sky soldier

    Fedha wanazolipwa timu kila watakapufuzu kwenda hatua nyingine Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika

    Kila timu italipwa kulingana na kiwango ilichofikia. Hakuna hela inayotolewa kwa kuvuka kila hatua, hawawezi kulipa kila hatua kwasababu fungu la bajeti halina uwezo huo. Ukiingia mashindano ya CAF ukatolewa hatua ya awali ukashindwa kuingia kwenye makundi utakuwa umetoka patupu hata mia...
  16. Gordian Anduru

    Linganisha pesa za CAF walizopata Simba na Yanga

    Soma kwa makini na ikumbukwe bado Yanga anaendelea.
  17. Tayukwa

    Watani wa jadi Simba na Yanga

    Habari zenu wanakabumbu Hapa tufanye ndio sehemu sahihi ya kufurahia tamu za utani na kuuvumilia machungu ya timu hizi mbili nchini kupitia utani huo. Hizi ndio timu kongwe nchini zenye mashabiki wengi kuliko timu nyingine za humu ndani. Tetea timu yako kwa mazuri yake. Pondea timu ya jirani...
  18. Franky Samuel

    TFF wasogeza mbele mchezo wa SBS vs Yanga na Azam vs Simba

    Soma barua ya TFF ====== Bodi ya Ligi Kuu itaupangia tarehe nyingine mchezo wa ligi kuu kati ya Singida BS dhidi ya Yanga ambao ulipaswa kupigwa mwishoni mwa wiki. Yanga inatarajiwa kusafiri nchini Nigeria kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza Robo Fainali Kombe la Shirikisho barani...
  19. DELETED ACCOUNT

    Uhalisia wa mafanikio ya Simba na Yanga kimataifa katika picha

    Kutokana na utata unaoendelea kuhusu mafanikio ya Simba na Yanga kimataifa, nimeshirikiana na wataalamu wa TEHAMA kutengeneza jedwali linaloonyesha vizuri mzania wa mafanikio ya timu hizi mbili katika mashindano yote ya CAF. Nadhani jedwali hili litatupa picha kamili ya mafanikio ya timu hizi...
  20. BARD AI

    Rais Samia aongeza dau, kutoa Tsh. Milioni 10 kwa kila Goli kwa Yanga na Simba (CAFF na CAFCL)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameamua kuongeza fedha za motisha kwa timu za Simba na Yanga kutoka shilingi Milioni 5 hadi Shilingi Milioni 10 endapo timu hizo zitafuzu kucheza nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika na Kombe la Shirikisho Barani Afrika...
Back
Top Bottom