simba na yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kombe la mapinduzi linathibitisha namna Simba na Yanga zinavyobebwa na waamuzi wa Bara.

    Ile haki bin haki inayofanywa na waamuzi wa Zanzibar kwenye kombe la mapinduzi ndio inayokosekaana kwenye ligi ya Bara. Kama refa angetoka Bara Yanga na Simba zingepata matokeo mazuri sana dhidi ya timu ndogo za Zanzibar kwenye mashindano ya mapinduzi. Mungu awalaani waamuzi na watu wote...
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni uchawi unaotumiwa kupumbaza akili za vijana Watanzania

    Ndugu wanabodi naweza nisiekewke kirahisi kuhususiana na hii hoja yangu, lakini nimekaa na kutafakari mambo kadhaa: Mijadala inayohusu mpira wa miguu hapa nchini imekuwa mingi na inachukua muda mwingi sana, ina wafuatiliaji wengi na wachangiaji wengi. Na kwa kulifahamu hilo ndio maana...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa Makocha wa 'hovyo' kama Zubeiry Katwila wa Ihefu FC kwanini Soka la Tanzania lisiwe 'bovu' na la Simba na Yanga 24/7 tu?

    "Nimeamua kuwapumzisha Wachezaji wangu mahiri wa Kikosi cha Kwanza wasicheze Mechi hii na Yanga SC ili wasubirie Mchezo wetu muhimu wa Ligi Daraja la Kwanza ili tujiweke katika nafasi nzuri ya kurejea tena Ligi Kuu mwakani" amesema Kocha Mkuu wa Ihefu FC Zubeiry Katwila. Nami GENTAMYCINE nina...
  4. Molleli

    JamiiForums Tanzania Ifike mahala SIMBA NA YANGA muhame nyumbani kwa wazazi mkajenge VIWANJA VYENU LOL!!!!

    Apa Tanzania sijui tuna pepo gani Ivi ni kweli vilabu vikubwa kama simba na yanga wanashindwa kumiliki hata uwanja kama wa Azam jamani hiii mbona ni haibu Sana Watanzania.... Kazi ni kuongea maneno tu mitandaoni!!!!
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama ni kweli Bodi ya Ligi wamemzuia CEO wa Simba kuingia kwenye derby basi huu ni uhuni mkubwa

    Nimesoma na kupokea kwa masikitiko taarifa ya kuzuiwa kuingia uwanjani kuangalia mechi ya leo Barbara Gonzales CEO wa Simba. Kusema kweli niliaminishwa shuleni kwamba wazungu walituita Waafrika (washenzi) yaani watu wasio wastaarabu kuwa walitunyanyasa kwa kutuita hivyo. Ila nimejifunza na...
Back
Top Bottom