Kamatakamata siku ya Mechi ya Simba na Yanga, ni coincidence au ni mpango mkakati?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,034
144,387
Hili ndio swali ninalojiuliza kuwa kamatakamata hii kwenye siku hii ,ya leo yenye attention kubwa ya mpira wa Yanga na Simba imetokea kama coincidence au ni mpango mkakati?

Labda niulize kwanini weekend ndio wahakikishe wote wamekamatwa ili hali kosa uhaini halina dhamana?

Je, lengo ni kuhakikisha wiki inaanza wote wakiwa ndani?

Kama ni hivyo, hofu yao ni nini?
 
Nani kakamatwa ndugu🤔
 
Hofu yao ni elimu ya kujitambua inayotolewa kwa umma.

FaizaFoxy na yule profesa njaa walishasema Watanzania ni tabularasa kwenye huu mkataba. Unadhani walikosea? Ndo msimamo wa watawala kwamba akitokea mtanzania mwenye kujitambua lazima azimishwe vikali
 
Back
Top Bottom