silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Urusi yaanza mazoezi ya kutumia silaha za Nyuklia

    Baada ya Ukraine kuwashambulia URUSI kwa drones na kwenda kupiga kwenye Shule ya Watoto wa Primary usiku wa kuamkia Jana, leo Rais Putin kaidhinisha vikosi vyote vya Nyuklia kuanza mazoezi na kujiandaa kumshambulia Adui yao atakayeivamia nchi yao lakini haijawekwa wazi Adui huyo ni nani...
  2. JamiiForums Tanzania Silaha itakayotumika na Iran awamu hii ni kukata nyaya za Internet zilizopita chini ya bahari…

    Iran is threatening undersea cables. The world’s ‘digital chokepoints’ have never been more vulnerable Ngoma inogile waache wajichanganye tena safari hii hata pesa kwenye ATM hawatatoa . Hizi zimepita pale Hormz ,wasipokata watalipisha tozo kama Misri lakini Iran wao waliacha free lakini dunia...
  3. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Othman: Watu ndani ya vikosi vya SMZ walitusihi, Vijana kutoka JKT walipewa silaha walipokosa wa kuua Zanzibar wakapandishwa Ndege Usiku kuja Bara

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo ngazi ya Taifa, Othman Masoud Othman, Othman, leo Mei 16, 2026, jijini Dar es Salaam, akizungumza katika Mjadala wa Kitaifa kuhusu Mwelekeo na Khatima ya Tanzania, uliohudhuriwa na makada wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia, na waandishi wa habari...
  4. JamiiForums Tanzania Kufanya maonyesho ya silaha ambazo nchi haizalishi ni ujuha na ujinga mwingine wa KiAfrica

    Sijawahi kuelewea maonyesho ya silaha za kijeshi yanayofanywa na majeshi katika nchi za Africa. Unafanyaje maonyesho ya silaha ambazo huzizalishi hazitengenezwi nchini kwako! Wanaotengeneza hizo silaha wenyewe huko Magharibi wala huwa hawazifanyii maonyesho ya kisiasa bali ya kibiashara...
  5. JamiiForums Tanzania Tumia silaha kuu nne

    TUMIA SILAHA KUU 4 TUMIA SILAHA KUU 4 Silaha ya kwanza 1)usitende dhambi jitahidi usitende dhambi na tubu dhambi zako mara kwa mara,samehe watu waliokukosea,usilale na hasira usikasirike,usiogope woga usiwe na hofu wala woga,uwe na imani kuu amini Yesu anaweza yote,na wewe unayaweza yote...
  6. 5

    JamiiForums Tanzania Marekani kujenga upya hifadhi yake ya Silaha Mashariki ya Kati baada vita na Iran

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegsett ametangaza katika mkutano na wajumbe wa Congress kwamba kujenga upya hifadhi za silaha za Marekani, ambazo zimepungua kufuatia vita na Iran na migogoro mingine ya kijeshi katika miaka ya hivi karibuni, inaweza kuchukua "miezi hadi miaka," kulingana na...
  7. JamiiForums Tanzania Mh rais wao take care, trump ni mara ya pili anakoswa koswa.km aliyoyasema chande ni sahihi vijana walikuwa na silaha basi tambua hazijaisha.

    Trump kakoswa koswa hii ni awamu ya pili, Je Rais WENU you salama kiasi Gani? Kama chande anasema vijana walikuwa na silaha je Rais WENU you salama kiasi Gani? Utawala ulio mwaga damu kuwa madarakani uo sio utawala kamwe ujitafakari
  8. L

    JamiiForums Tanzania Donald Trump baada ya kuona Iran hawawezekani akataka kutumia silaha za nyukilia

    Silaha za nyukilia zilitengenezwa kwa ajili ya kutumika TU,pale nchi itakapokua imezidiwa na baada ya kutumia silaha nyingine zote lakini kushindwa kumshinda adui. Inasemekana Trump alitaka kutumia nyukilia katika vita yake na Iran Generali Dan Caine akamkatalia je hii inaashiria kua Marekani...
  9. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chande atuonyeshe angalau picha moja alopewa ya waandamanaji wa 29/10 waliobeba silaha za moto siku hiyo kama ushahidi, la sivyo anasema uongo

    Mwenyekiti wa Tume ya 29 October anadai kuna Polisi 16 waliuwawa, na baadhi ya waandamanaji walikuwa na silaha za moto. Kwa kifupi, siamini maneno haya ya Chande na Tume yake. Kama ni hivyo, basi hii tume ituonyeshe angalau picha moja ya waandamanaji wa 29 October wamebeba silaha za moto...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Kituo cha Polisi Salasala kilivamiwa na watu zaidi 150 wenye silaha, polisi walitumia mabomu na baadae wakakimbia baada ya kuzidiwa nguvu

    "Ile ni ngazi ya kwanza ambayo polisi tu, kwa sura yake na nguo alizovaa, inasambaza makundi yaliyokusanyika. Lakini yapo pia maeneo mengine kutokana na kiwango cha tishio kwa uhai wa askari au raia wengine, ililazimu kutumia hatua nyingine zile za juu, na ziko hatua sita. Mfano, kituo cha...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Washiriki wa ghasia walibeba silaha mbalimbali jambo ambalo haliruhusiwi kisheria kwenye maandamano ya amani

    .......tatu, washiriki wa ghasia za wakati na baada ya uchaguzi mkuu walibeba silaha za aina mbalimbali, zikiwemo mawe, nondo, mkuki, sururu, fimbo, marungu, visu, vibiriti, vipulizi, bunduki, manati, kombeo, rato, mapanga; jambo ambalo haliruhusiwi kisheria katika maandamano ya amani. Hii ni...
  12. JamiiForums Tanzania Maeneo mengi ya makutano ya barabara Dar es Salaam yamejaa askari wenye silaha; nini kinaendelea?

    Leo asubuhi, nikiwa natokea Bunju, nimekuta askari wengi wakiwa wamejaa kwenye mataa ya Tegeta. Pia, kwenye Kona ya Masana walikuwepo kwa wingi wakiwa na silaha, na hata maeneo ya Mwenge wameongezeka zaidi. Najiuliza, kuna nini kinaendelea? Au ni suala la ripoti ya Jaji Chande inayotarajiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa ulaya haitapinduliwa kwa silaha wala uvamizi bali ukaribisho wao wa kiholela

    Wao wanaazana wawili au mmoja ila waliowakaribisha wanazaana kama kuku.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Kiongozi wa Upinzani Julius Malema ahukumiwa miaka 5 jela na kulipa faini

    Hukumu imetoka sasa hivi. Jela miaka 5 kwa kukutwa na silaha bila vibali, kuitumia bila vibali, kuhatarisha maisha ya wengine ..etc etc Naona wana mitigate rufaa asiwekwe ndani mpaka rufaa yake itoke. Mahakama imekubali sentence appeal but not conviction -------------- Kiongozi wa Chama...
  15. M

    JamiiForums Tanzania KASHESHE: Trump awaka! Marekani ilituma silaha kuwasaidia waandamanaji wa Iran, lakini 'wajanja' wamezidhulumu katikati!

    Huko Mashariki ya Kati mambo yanazidi kupamba moto katika huu mgogoro unaoendelea kati ya Marekani, Israel na Iran. Lakini safari hii, kuna sarakasi mpya imeibuka ambayo inaacha maswali mengi kuliko majibu, na inamuhusisha moja kwa moja Rais wa Marekani, Donald Trump. Kwa mujibu wa ripoti mpya...
  16. JamiiForums Tanzania Kumiliki silaha za nyuklia ndio njia pekee ya kuihakikishia nchi yoyote usalama dunia

    Kama kuna jambo moja kubwa tulilojifunza kutoka vita ya Iran, vita ya Ukraine na kutekwa kwa Maduro, basi somo hilo ni, njia pekee ya kujihakikishia usalama kama nchi ni kumiliki silaha za nyuklia. Ni ukweli uliobayana kuwa kama huna mabomu ya nyuklia, pamoja na teknolojia ya kuweza kuyarusha...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Uokozi wa Afisa wa Silaha wa USA wa Ndege Iliyodunguliwa, Iran Yafanya Makosa Makubwa, na Kusababisha Vifo vya Raia

    Baada ya ndege ya Marekani F-15E kudunguliwa na Iran, na rubani na mtaalam wa silaha kutoka ndani ya ndege kabla haijadondoka chini, pande zote mbili, Iran na Marekani zilianza kuwasaka manusura. Ni Marekani ndiyo ilipata mafanikio ya awali yaliyowezesha kumwokoa rubani. Huku mtaalam wa silaha...
  18. JamiiForums Tanzania Je huu ni mwanzo wa vita vya tatu vya dunia ? Matumizi ya silaha za nyuklia kuna siku zitatumika?

    Nchi washirika wa USA + ISRAEL vs Nchi rafiki wa IRAN? Hizi silaha za nuklia soon zitatumika,kuna nchi zikizidiwa zitaanza kuzitumia....na majibizano ya mashambulizi ya kutumia silaha za nyuklia baina ya nchi na nchi zilizo katika vita. Unyakuo wa watakatifu utatokea kabla ya silaha za nyuklia...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazouza zaidi silaha duniani

    Iliyoorodheshwa: Wauzaji Wakubwa wa silaha duniani. Biashara ya silaha duniani imejikita zaidi miongoni mwa nchi chache, huku Marekani ikiwa mbele sana kuliko wasambazaji wengine wote. Kuanzia mwaka wa 2021 na 2025, Marekani ilichangia 42% ya mauzo ya silaha duniani, zaidi ya mara nne ya mgao...
  20. JamiiForums Tanzania Israel na Marekani wameishiwa Silaha kabisa. Sasa ni kipindi cha pili watajuta

    Irani ilikuwa imejipanga. Ilichora chini maghorofa na viwanda kama vya ukweli. Ikaweka na matoy kila sehemu. Marekani imeshambulia michoro na matoy. Ikamshambulia Khayatollah fake toy la kichina. Kwa sasa zimemaliza. Silaha zote .hadi marekani sasa wanaanza kuomba silaha kama kenye. Kwa kweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…