Leo asubuhi, nikiwa natokea Bunju, nimekuta askari wengi wakiwa wamejaa kwenye mataa ya Tegeta. Pia, kwenye Kona ya Masana walikuwepo kwa wingi wakiwa na silaha, na hata maeneo ya Mwenge wameongezeka zaidi.
Najiuliza, kuna nini kinaendelea? Au ni suala la ripoti ya Jaji Chande inayotarajiwa...
Hukumu imetoka sasa hivi. Jela miaka 5 kwa kukutwa na silaha bila vibali, kuitumia bila vibali, kuhatarisha maisha ya wengine ..etc etc
Naona wana mitigate rufaa asiwekwe ndani mpaka rufaa yake itoke. Mahakama imekubali sentence appeal but not conviction
--------------
Kiongozi wa Chama...
Huko Mashariki ya Kati mambo yanazidi kupamba moto katika huu mgogoro unaoendelea kati ya Marekani, Israel na Iran. Lakini safari hii, kuna sarakasi mpya imeibuka ambayo inaacha maswali mengi kuliko majibu, na inamuhusisha moja kwa moja Rais wa Marekani, Donald Trump.
Kwa mujibu wa ripoti mpya...
Kama kuna jambo moja kubwa tulilojifunza kutoka vita ya Iran, vita ya Ukraine na kutekwa kwa Maduro, basi somo hilo ni, njia pekee ya kujihakikishia usalama kama nchi ni kumiliki silaha za nyuklia.
Ni ukweli uliobayana kuwa kama huna mabomu ya nyuklia, pamoja na teknolojia ya kuweza kuyarusha...
Baada ya ndege ya Marekani F-15E kudunguliwa na Iran, na rubani na mtaalam wa silaha kutoka ndani ya ndege kabla haijadondoka chini, pande zote mbili, Iran na Marekani zilianza kuwasaka manusura. Ni Marekani ndiyo ilipata mafanikio ya awali yaliyowezesha kumwokoa rubani. Huku mtaalam wa silaha...
Nchi washirika wa USA + ISRAEL vs Nchi rafiki wa IRAN?
Hizi silaha za nuklia soon zitatumika,kuna nchi zikizidiwa zitaanza kuzitumia....na majibizano ya mashambulizi ya kutumia silaha za nyuklia baina ya nchi na nchi zilizo katika vita.
Unyakuo wa watakatifu utatokea kabla ya silaha za nyuklia...
Iliyoorodheshwa: Wauzaji Wakubwa wa silaha duniani.
Biashara ya silaha duniani imejikita zaidi miongoni mwa nchi chache, huku Marekani ikiwa mbele sana kuliko wasambazaji wengine wote. Kuanzia mwaka wa 2021 na 2025, Marekani ilichangia 42% ya mauzo ya silaha duniani, zaidi ya mara nne ya mgao...
Irani ilikuwa imejipanga. Ilichora chini maghorofa na viwanda kama vya ukweli. Ikaweka na matoy kila sehemu. Marekani imeshambulia michoro na matoy. Ikamshambulia Khayatollah fake toy la kichina.
Kwa sasa zimemaliza. Silaha zote
.hadi marekani sasa wanaanza kuomba silaha kama kenye. Kwa kweli...
Hotuba kamili ya Rais wa Marekani Donald Trump akitangaza vita dhidi ya Iran
Muda mfupi uliopita, jeshi la Marekani lilianza operesheni kubwa za mapigano nchini Iran. Lengo letu ni kuwalinda watu wa Marekani kwa kuondoa vitisho vinavyotarajiwa kutoka kwa utawala wa Iran, kundi katili la watu...
Wakuu
Akizungumza muda mfupi baada ya shambulio kwa Iran, Donald Trump amesema kuwa Jeshi la Iran linatakiwa ku-surrender na kuacha kupambana kumtetea Ayatollah
"To the members of the Islamic Revolutionary Guard, the armed forces and all of the police. I say tonight that you must lay down your...
Nataka nitoe disclaimer kuwa siungi mkono mapinduzi ya kijeshi kama namna ya kufikia malengo ya kisiasa.
Hata hivyo mimi kama mwanajamii ambaye naishi ndani ya jamii, nina wajibu wa kuchangia maoni na kuonya ikibidi pindi ninapoona muelekeo hatari kwa mustakbali wa Taifa.
Ni hivi, nimesoma...
Kulingana na uchunguzi wa Al Jazeera, mashambulizi ya mabomu ya Israeli huko Gaza yamesababisha miili ya Wapalestina 2,842 kutoweka kwa kuyeyuka na kuacha mabaki ya damu na mifupa pekee.
Ripoti hiyo inahusisha hili na matumizi ya silaha za thermobaric zinazotolewa na Marekani, ambazo zina uwezo...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, amewataka Watanzania wote kushiriki katika jukumu la udhibiti na usimamizi wa silaha, ili kulinda nchi yetu ikiwa ni utekelezaji wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
IGP Wambura ameyasema hayo Februari 3, 2026 jijini Dar es Salaam...
Ukweli mchungu watu ambao hawataki kukubali,Marekani inaonea nchi ambazo hazipo technology kwenye silaha,yaan huwezi kushindana kivita na Marekani kwa silaha za kununua.
Lakini kama una technology ya kutengeneza silaha kwakwel Marekani atabaki kukuwekea vikwazo tu na sikutaka kukuvamia kama...
Sehemu fulani huko(huenda ikawa Marekani(USA)) watu waliovalia kiraia huku wakiwa na siraha nzito watauawa kwa kudunguliwa.
Wanaonekana ni kama kundi la magaidi hivi,,, waasi au wazamiaji/Wahamiaji haramu, waliokuwa wakinyemelea kwa kujificha ni kama walikuwa wanakatiza mpaka wa Nchi au...
Mtu mjinga siku zote ni mtaji wa mtu mwerevu. Na siku zote watu laghai na waovu huzuia watu wajinga wasierevushwe maana huo ndiyo utakuwa msiba wao.
CCM tangu baada uchaguzi wa mwaka 2000, imekuwa ikitumia ujinga wa baadhi ya watanzania kuendelea kubaki madarakani.
Hebu ona mjinga anavyomlaumu...
Siku ya 29 Oktoba 2025 ilianza kama siku nyingine ya kawaida kwa George Chipeta, fundi wa umeme wa magari anayejitafutia riziki kwa jasho la mikono yake. Asubuhi hiyo alichukua pikipiki yake mwenyewe, akaondoka Vingunguti, akavuka daraja kuelekea Tabata kufuata spare ya mteja. Aliipata spare...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.