silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Meli zilizobeba silaha kutoka DUBAI zashambuliwa Yemen

    Saudia imezishambulia meli 2 za Falme za Kiarabu zilizokuwa zimebeba silaha za kivita kwa ajili ya kugawia waasi ili wauwe watu wasiokuwa na hatia huko Yemen. Inaonekana hawa DUBAI wao maslahi mbele uhai wa watu nyuma. ===== The Coalition to Support Legitimacy in Yemen on Tuesday said it...
  2. Msanii

    PostGE2025 Wanaotetea huu utawala hauyumkiniki ni miongoni mwa waliobeba silaha na kuua raia Okt 29+

    Nyie wote ni mashahidi namna ambavyo humu jukwaani kumejaa hoja za kutetea utekaji, mateso, ufiraji na hata mauaji yanayotekelezwa dhidi ya raia wa Tsnanzania. Mmeshuhudia namna wanavyojenga hoja za chuki dhidi ya wakosoaji na watoa maoni mbadala kwa Viongozi (waliohaini Oktoba 29) Wanajua...
  3. Echolima1

    Mpango wa Kujenga kiwanda Huru cha Silaha cha Israeli

    Netanyahu Atangaza Mpango wa $110 Bilioni wa Kujenga kiwanda Huru cha Silaha cha Israeli Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ametangaza uwekezaji mkubwa wa shekeli bilioni 350 (takriban dola bilioni 110) katika muongo ujao ili kuendeleza sekta huru ya silaha za ndani. "Niliidhinisha jumla...
  4. sanalii

    Kama hutaweza kuandamana, tusapoti kwa kupiga picha na video clear za kuonesha sura mapolisi na wote wenye silaha

    Najua wapo wanataman mabadiliko ila hawako tayari kujitolea hata ikibidi uhai wao, sasa kama ni hivyo, wewe tusaidie kuchukua matukio hasa kuonesha sura zao hao wahuni wenye silaha. Hii haiwezi kuisha hadi samia aishie, kama anasema amepata kura 98% sasa kesho tutaona hao milion 32...
  5. Fbn

    Rwanda ndio nchi mojawapo Aafrika kwa sasa inatengeza silaha na vifaa vya ulinzi bila kutegemea mataifa mengine kuangiza

    Rwanda ni moja ya nchi chache barani Afrika ambazo zimeanza uzalishaji wa silaha za ndani, ikiwemo magari ya kijeshi, silaha, munisyoni, na drones. Hii ni hatua kubwa katika kuimarisha sekta ya ulinzi ya nchi hiyo na inaweza kuwa mfano kwa mataifa mengine ya Afrika katika kupunguza utegemezi wa...
  6. H

    PostGE2025 Serikali iachane na kukumbatia dini kama silaha ya msaada itaiponza

    Serikali ya Tanzania kukumbatia dini hasa viongozi wa kikristo na kiislam kutaiponza kwani hawa ndiyo chachu ya anguko la HAKI kwa kufanya kinyume na wanayoyahubiri wamekuwa wezi,vibaraaka,mafisadi,wango,matajiri,nk kwa maslahi yao na viongozi mafisadi. Hawana hekima na busara za kutumika...
  7. Keynez

    Embu waza viongozi ambao Africa tunapata wangekuwa na silaha za nyuklia, ingekuwaje?

    Wakati mwingine tushukuru kwa kila jambo. Waafrica huwa tunalia sana kwa nini hatuna nguvu duniani na kutamani na sisi tungetawala dunia. Ila embu waza aina ya viongozi tunaowapata karibu nchi zetu nyingi. Ukimaliza, waza hawa viongozi wangekuwa na access ya silaha za nyuklia. Kwamba nchi...
  8. Mhaya

    Makampuni 25 yanayoongoza kutengeneza Silaha za Kivita Duniani

  9. ELI COHEN

    Leo inabidi wazungu walinde kwa silaha maduka ya msimu wa Christmas kuhofia radicals wa itikadi kali

  10. bikira latifah

    Wanajeshi JWTZ wenye silaha warudi kulinda Dar es Salaam, kulikoni?

    Leo naona ghafla jamaa wakiwa na silaha wamerudi tena kwenye barabara kuu hadi vituo vya mwendokasi wapo. Hapa katikati waliondoka wakawaachia polisi ila leo chap kama wamerudishwa wamezagaa mjini
  11. mshale21

    PostGE2025 Kwanini Mwigulu anakomalia "waandamanaji walikuwa na silaha"? Je, anabumba maneno hayo ili kutoa mwanya wa mauaji ya raia mpaka majumbani?

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, akiongea na wahariri pamoja na waandishi wa habari, leo Jijini Dar es Salaam, amesema maandamano ambayo waandamanaji wanaenda na silaha (kuwa ‘full armed’) sio maandamano, huku akibainisha kuwa idadi kubwa ya walishiriki...
  12. W

    PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu ahoji maandamano ya Oktoba. Maandamano gani watu walikuwa well armed?

    Akizungumza na waandishi wa habari amehoji ni maandamano gani hayo ambayo watu walikuwa wamejipanga na wana silaha kabisa huku wengine wakiwa hawaongei kiswahili. Amegusia pia kuhusu Mwanajeshi wa Marekani aliyekamatwa na mabomu. Anahoji ni utaratibu gani huu? === Waziri Mkuu wa Jamhuri ya...
  13. Scared

    Nimesoma bandiko la mwandishi wa habari Twitter kwamba kuna watanzania wameanza kupewa silaha na Kagame

    Kuna muandishi wa habari Rwanda ambaye makazi yake ni Marekani kaandika kwenye Twitter yake kwamba kapenyezewa habari na watu wake wa karibu waliopo ndani ya jeshi la Rwanda kwamba Kuna watanzania wameanza kupewa bunduki na wanajeshi wa Kagame hii ishu ni inaweza kuwa serious wakuu sababu huyu...
  14. Mi mi

    Silaha za kujilinda dhidi ya majizi na jambazi ya mali

    Kama mnavyojua wadau kuwa majizi na majambazi ya mali yakiku face huwa hayanaga huruma yanachukua mali na uhai wako. Sasa ili usiende kizembe angalau kuwa na hata silaha ya kukabiliana nayo ili chaguo liwe moja kati yenu wewe au yeye mmoja kati yenu kuacha roho sio wewe pekee kuwa mnyonge...
  15. October 2pm

    Polo magonda watch out kuna wakubwa wanataka kukusamilia kabla ya esther

    Hutoamini najua walahi. Sababu ni watu unaowaamini na kuwategemea. Venye venyewe wasema kikulacho kinguoni mwako. Sijui walahi. Wamalize hili wanajambo lao nawe. Nye Nye Nye! Watu wabaya nye. Mwacheka usoni wageuka watupa mikuki. Polo polo polo magonda anza kutroti hewala. Kama waweza jipange...
  16. Analogia Malenga

    GE2025 Mwanza: Watu 172 wamepandishwa kizimbani na kusomewa mashtaka yakiwemo kuharibu mali, na unyang'anyi wa kutumia silaha

    WATU 172 KORTINI WAKITUHUMIWA KUFANYA VURUGU, UNYANG’ANYI WA KUTUMIA SILAHA MWANZA Watu 172 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nyamagana, mkoani Mwanza na kusomewa mashtaka kadhaa yakiwemo ya kuharibu mali, kuchoma moto na unyang'anyi wa kutumia silaha...
  17. H

    Masharti ya kumiliki silaha za moto yaregezwe Tanzania ili watu wajilinde

    Hii itawafanya viongozi na mafisadi kuwa na hofu ya uonevu wao na pia raia wataweza kujilinda na kujitetea kwa silaha za moto . Huu utaratibu wa serikali tu i.e: majeshi tu kumiliki silaha kuna sababisha uonevu kwa raia kwa askari kuzitumia wanavyotaka pasipo nidhamu ikitokea askari wametumia...
  18. October 2pm

    Yadaiwa watu hawakuogopa askari. Wasema silaha watazitafuta na kuzipata

    Rafiki wa karibu anijuza hapa kuwa hakuna kilichoharibika. Asema watu wamebakiza kumoyo kisasi cha damu za ndungu zao. Waseme walitest mitambo na ikajibu. Nye Nye Nye Sijui. Waseme silaha watazipata tuu kwani wamekusudia liwalo na liwe. Wasema kila ngazi itapandwa. Wasema wameshazoea kuuliwa...
  19. emperor

    GE2025 Kwa tuliyoyaona na Hatua zilizochukuliwa na Vyombo vyetu vya Usalama; Tunahitaji Silaha Kujilinda

    Naleta hoja kwamba Vyombo vya Kiusalama vimeshindwa kutuhakikishia ulinzi na usalama. Hatuoni haja ya kuanza kumiliki silaha za moto tuweze kujilinda sisi kama RAIA? Yaliyotokea ni wazi yana ripple effects kuu tatu: 1. Maandamano kutokutokea tena kwani watu wataogopa kuuwawa. Hii scenario naipa...
  20. D

    Kwa tunachokiona, tuhuma kuwa Abdul na mama yake waliingiza makontena ya silaha ni sahihi

    Kwa ushahidi wa video na picha zinazoibuliwa sasa juu ya mauaji ya kutisha yanayofanywa na Polisi, na kama alivyopata kuwahi kusema Dada wa Taifa Mange Kimambi, ni sahihi kuamini kuwa ni kweli Samuya na mwanae Abdul waliingiza makontena mengi ya silaha kwa ajili ya kuua watoto wa Tanganyika...
Back
Top Bottom