Kanisa kupitia jengo kuuSource: masjid ubwabwa media outlet.
Hakuna uhakika wa kisemwacho - Labda tumsikie Marekani mwenyewe ambaye ndo mwenye ndege hizo. Wengine ni Utabiri tu.
U.S. moves military aircraft from British base amid Iran threats U.S. moves military aircraft from British base amid Iran threatsSource: masjid ubwabwa media outlet.
U.S. moves military aircraft from British base amid Iran threats U.S. moves military aircraft from British base amid Iran threatsHakuna uhakika wa kisemwacho - Labda tumsikie Marekani mwenyewe ambaye ndo mwenye ndege hizo. Wengine ni Utabiri tu.
Source pls.U.S. moves military aircraft from British base amid Iran threats U.S. moves military aircraft from British base amid Iran threats
Nyie watu mko shallow sanaSource pls.
Ni kwasababu kiwango cha matishio yalolenga mali (assets) za Marekani popote zilipo duniani ni kikubwa mno kwa sasa.
Jomba, hiyo biashara huiwezi ni ngumu sana.Dah! Biashara ya kuuza silaha is very lucrative.
Nami nimetamani kuwa dalali wa kuuza silaha, toppling governments around the world.
Ngoja nijaribu jaribu kufanya biashara ya kufuga kuku huku Msongola. Ikinishinda na hii nitakuwa sina option ila kuwa muuza silaha za kivita Duniani, nipige pesa ili niendeshe magari makali kama Nandy na Zuchu
Ok Mr Chivayo's associate.I can technically topple five governments per year around the world... Am gud at this trust me.
Juzijuzi nilihudhuria Webner moja inohusu usalama wa mataifa ya Ulaya kwa upande wa wahamiaji haramu, mambo si mazuri kabisa.Uhasama wa Marekani na Iran unapita kwenye hatua nyingine ngumu..
Mchezo unahama toka mashariki ya kati kuelekea barani Ulaya.
Subiri tuone
Sawasawa lakini hiyo biashara yataka uwe uko sawa kinoma.Ha haa.
Mkuu, mimi ni karani tu huku kwa mwajiri.
Ila naadaa business plan ili niingie kwenye hii biashara ya kupiga pesa nyingi.
Sawa ndugu.Aah! Ni kazi rahisi tu ukiwa dalali.
Unanunua silaha huku, unawauzia waasi kule, wafanye yao.
Wewe unapiga kamisheni.
Unataka tukubali kulishwa hata matango pori?Nyie watu mko shallow sana
Kwa hiyo sijaweka source hapo!?Unataka tukubali kulishwa hata matango pori?
M sijaiona - ngoja niisome tena kwa uangalifu zaidi. Asante.Kwa hiyo sijaweka source hapo!?