He knew too much and he was a threat had to be taken care off
THere is always a price to pay whenever someone knows too much.He knew too much and he was a threat had to be taken care off
Kwahiyi siku hiyo taifa lilikua chini ya majeshi ya nchi nyingine.Hivi CHADEMA tupo serious kweli
umeuliza au unafafanua!?Kwahiyi siku hiyo taifa lilikua chini ya majeshi ya nchi nyingine.Hivi CHADEMA tupo serious kweli
HK612 na M4
Kama ni yeye si ameshakufwa, kwa hiyo kwa sasa CCM hawataua tena raia ?
Si wanadhani akili zetu za kushikiwa kama wao .Kwani kama Nchi vikosini hatuna silaha mpaka ziingizwe na Mtu?
Nchi Iko uchi Kila mtu anayetaka anajipigia tu hamna kituKwani kama Nchi vikosini hatuna silaha mpaka ziingizwe na Mtu?
Huyu jamaa alikuwa mzee wa kazi chafu, bingwa wa kusuka wizi wa kura, kwaiyo kwa jambo la kuingiza silaha sina shaka.Kwani kama Nchi vikosini hatuna silaha mpaka ziingizwe na Mtu?
He knew too much and he was a threat had to be taken care off
Mnaparamia kila mtu sasa
Dua na Vilio vya WaTZ vimemfikia
Tuna wapinzani wa hovyo sana nchi hiiKama ni yeye si ameshakufwa, kwa hiyo kwa sasa CCM hawataua tena raia ?
Na wakati ule wazanzibar walipokuwa wanauawa kipindi cha Mkapa, Kikwete na Magufuli, nani alikuwa anaingiza silaha?