Sheria ipi inamruhusu Masai kutembea na silaha?

Sheria ipi inamruhusu Masai kutembea na silaha?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,951
Reaction score
36,040
Masai wanatembea na silaha watakavyo 24/7 bila kukamatwa , kuhojiwa wala kufanywa chochote kile wakati wasio wamasai wakikutwa wanatembea hata na bisibisi tu tayari hapo anapewa kesi.

Masai wanatembea na marungu na sime na muda mwingine wanaenda hata kwenye sehemu za starehe mfano bar au glosari lakini wala hawashatakiwi popote pale , na mbaya zaidi huko kwenye bar wakilewa ni rahisi kuwajeruhi wanywaji wengine kwa hizo hizo silaha zao.

Sasa je , ni kigezo gani au sheria gani inaowalinda hawa jamaa?
 
1. Sime siyo silaha, ni sehemu ya mavazi yetu kama ilivyo kwa waswahili mnavyaa misalaba na hasbihi.

2. Ni vigumu Maasai kutishia au kumjeruhi mtu kwa sime. tupo highly disciplined. ukiona Kimaasai amekata mtu ujue amejihami.
 
Back
Top Bottom