sikukuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Hivi Leo kuna Sikukuu yoyote ya Kitaifa?

    Nauliza tu maana kuna dalili kama ni holiday hivi Ahsanteni sana 🐼
  2. Kuna Jengo limeshika moto Mitaa ya Aggrey na Sikukuu - Kariakoo muda huu (Agosti 31, 2025)

    Jengo la ghorofa ambalo linaendelea kujengwa limeshika moto majira ya Saa Sita Mchana wa leo Agosti 31, 2025 katika Mitaa ya Aggrey na Sikukuu, Kariakoo, ambapo Jeshi la Polisi limefika na linaendelea na jitihada za kuuzima moto huo.
  3. Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Nanenane Kitaifa, Agosti 8, 2025 Dodoma

    Rais Samia Akishiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Nanenane Kitaifa katika Viwanja vya Nanenane Jijini Dodoma, leo tarehe 8 Agosti, 2025. https://www.youtube.com/live/jQHC1KDAtsY?si=wJAJj3luERusy52n ============= Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, akiwahutubia wakazi wakati wa kilele...
  4. Natamani kuona Nane Nane inakuwa sikukuu ya Wakulima kama zamani

    Y
  5. Heri ya Sikukuu ya Nane Nane

    Leo, tunasherehekea na kuwaheshimu wakulima wote wanaofanya kazi kwa bidii ambao huamka kila siku kulisha taifa letu na kulinda mustakabali wetu. Ninyi ndio msingi wa usalama wa chakula, mashujaa wa ustahimilivu, na sababu ya kuweza kuota kesho iliyojaa chakula. Ninyi ndio bora zaidi! Katika...
  6. Heri ya Sikukuu ya Nane Nane 🫶🏾💚🇹🇿

    Leo, tunasherehekea na kuwaheshimu wakulima wote wanaofanya kazi kwa bidii ambao huamka kila siku kulisha taifa letu na kulinda mustakabali wetu. Ninyi ndio msingi wa usalama wa chakula, mashujaa wa ustahimilivu, na sababu ya kuweza kuota kesho iliyojaa chakula. Ninyi ndio bora zaidi! Katika...
  7. W

    Tukisherehekea Sikukuu ya Wakulima, hivi ukipewa shamba unaweza kulima heka ngapi?

    Nane Nane au Sikukuu ya Wakulima huadhimishwa Nchini Tanzania Agosti 8 kila Mwaka ikilenga kutambua Mchango wa Wakulima na Sekta ya Kilimo kwa Taifa. Sherehe za Nane Nane huratibiwa na Wizara ya Kilimo, Taasisi mbalimbali za Umma na Binafsi pamoja na Mtu mmoja mmoja kutoka katika shughuli za...
  8. Leo Sikukuu ya Mashujaa: Mtwa Abdallah Mkwawa wa Kalenga (1855 - 1898)

    LEO SIKUKUU YA MASHUJAA: MTWA ABDALLAH MKWAWA WA KALENGA (1855 - 1898) Makala hiyo hapo chini ni nyongeza ya makala fupi ilyoandikwa na kijana mmoja kumuadhimisha Mtwa Mkwawa. Makala hii ndiyo iliyonishawishi kunyanyua kalamu: Bismillah... Naomba niongeze taarifa kidogo katika historia ya...
  9. Ugali ni chakula adimu katika sherehe, sababu ni nini?

    Ugali ni chakula tunachokula kila siku, iwe ugali wa mahindi, wa mihogo, mtama au uwezo. Hiki ni chakula tunachokimudu watu wengi, hata ukikosa mboga nyanya, kitunguu, ndimu, pilipili na chumvi kidogo vitakusaidia kumaliza portion ya ugali. Chakula kinacholiwa na wengi kuadimika katika sherehe...
  10. Wananchi Jimbo la Mpendae Wanufaika na Msaada wa Sikukuu

    Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae, Mhe. Shaaban Ali Othman kwa kushirikiana na Mbunge wa Jimbo la Mpendae, Mhe. Taufiq Turky pamoja na Madiwani wametoa sadaka ya sikukuu kwa wazee, watu wenye ulemavu na wanaoishi katika mazingira magumu ikiwa na lengo la kuwasaidia kipindi hiki cha sikukuu...
  11. SIKUKUU YA WACHAWI (MBINA) BARIADI LEO TAREHE 31/05/2025

    Unataka kuona uchawi njoo bariadi. Kuna Wagalu, Wagika na Wazuna Ikinyesha mvua ujue Wagika wameshinda na jua likiwaka ujue Wagalu wametoboa. Unataka kuona Fisi wanao ongea na wenye namba kama magari, njoo bariadi Unapenda kuona mtu akipaa na Ungo, sogea bariadi Unataka kuona mawe...
  12. Kwa nini sikukuu ya wafanyakazi watu hawapiki pilau na kunywa vinywaji wakati kazi na Sio dini ndio huwapa kipato?

    Kazi hata kama unalipwa kidogo, ndio inayokuingizia kipato. Sikukuu ya meimosi ulipaswa kutumia kama fursa ya kumshukuru Mungu KWA kukupatia Kazi ambazo wenzako wanazutafuta Hadi damu. Sikukuu za Dini ilitakiwa watu wale kidogo tu na watumie muda mwingi kutubu na kitafakari. Ila hii ni...
  13. Mioyo ya wana Singida inavuja Damu halafu Kwa zarau Mnawapelekea sikukuu ya mei mosi CCM Mmelaaniwa.

    Kweli CCM Wamechanganyikiwa. 1. Tundu.Lissu yuko Mahubusu.kqa kesi za uongo aliteswa kwa kupigwa risasi 16 2.Charles Kitima Kashambuliwa hali ni mbaya. Wote hawa ni watoto Wa singida halafu CCM inapeleka sherehe huko ama kweli ujinga ni kipaji. Mpaka.Uchaguzi mkuu ufike Tutashuhudia Mengi.
  14. Pasaka ni Sikukuu ya Ukombozi na Ushindi Dhidi ya Dhulma, Je Tuitumie Kuombea Uchaguzi Uwe Huru na wa Haki, au Uwe Kama Kawa, Kama Alivyosema Nape?.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo ambayo ni Sikukuu ya Pasaka. Pasaka ni sikukuu ya ukombozi na ushindi dhidi ya dhambi zozote ikiwemo dhambi ya dhulma ya uchaguzi, Je tuitumie Pasaka hii kuombea uchaguzi wetu uwe uchaguzi huru kweli na wa haki kweli, au...
  15. Upi ni msimamo wa Wasabato kuhusu sikukuu za Krisimasi na Pasaka?

    Misimamo wa Wasabato imekuwa ya utofauti kwa kiasi kikubwa kulingana na Wakristo wengine. Vp kuhusu hizi siku kuu mbili wanaendana nazo? Na kama haziko katika mifumo yao, je kwao tarehe sahihi za Yesu kuzaliwa na Yeu kufufuka?
  16. Sikukuu za Dini nyingine kama Hinduism zinapaswa kuanza kuthaminiwa na kutambulika Kitaifa kama Public Religious Holidays.

    Mandhari ya kidini Nchini Tanzania inatawaliwa na Ukristo (takriban 55-63% ya idadi ya watu) na Uislamu (31-34%), huku vikundi vidogo vikifuata Dini za jadi za Kiafrika (1-11%), na dini nyingine kama Uhindu, Ubuddha, Usikh, na Baha’i (chini ya 1% kila moja). Zanzibar ni tofauti, ambapo 99% ya...
  17. Sikukuu ilikuwa April 21, Mh Rais akatoa agizo kuwa mishahara ilipwe kuanzia April 14 2023 na ikawezekana vipi Pasaka mwaka huu, wamelipwa?

    Mwaka 2023 uko Zanzibar Mh Rais alitoa agizo mishahara ilipwe kuanzia April 14 Ili sikuu ya Eid watu wawe na pesa na kuweza furahia sikuu kwani sikuu ilikuwa April 21, 2023 na ikawezekana wakalipwa Je mwaka huu pasaka inadondokea tarehe 20 je wamelipwa
  18. L

    Furaha ya kusherekea Sikukuu ya Kumwagiana Maji ya Kabila la Wadai yarejesha kumbukumbu za utotoni

    China ni nchi yenye historia ndefu sana pia ikiwa imesheheni utamaduni wa aina mbalimbali. Sikukuu zote za jadi zinazofanyika huwa zinaakisi mila na desturi zake nyingi. Kwa wageni wanaoishi China kama mimi ama hata watalii wanaokuja kutoka nje, kusherehekea sikukuu hizi za jadi za China huwa ni...
  19. Sikukuu za Pasaka na mafundisho kuhusu kuishi kwa dhamira na kuchagua kwa Hekima.

    Kwa unyenyekevu na matumaini wanazuoni wenzangu, heshima sana kwenu............... Sherehe za Pasaka zinatufundisha kila mwaka kuhusu maadili ya kujitolea, ukweli, na dhamira. Pasaka ilitokea baada ya Yuda kumsaliti Yesu kwa fedha za dhihaka, lakini pasaka sio tu kumbukumbu ya tukio la...
  20. Pasaka ni sikukuu kubwa kuliko Krismasi - Ikulu ya Marekani yaandaa sherehe nzito!

    Wiki hii kote ulimwenguni Wakristo watasherehekea Pasaka. Pasaka ni sikukuu kubwa kwa Wakristo kwa sababu ni siku ya kuadhimisha tukio muhimu sana katika imani ya Kikristo — kufufuka kwa Yesu Kristo kutoka kwa wafu. Bila Pasaka, hakuna Ukristo. Ndiyo sababu Wakristo huiona Pasaka kuwa ni siku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…