sikukuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    Rais wa Taiwan ajitapikia akiwa kwenye maadhimisho ya sikukuu

    Hivi hawa wazee nilijua Afrika tu hadi hizi nchi za Taiwan Huyu mzee kajichokea amejitapikia dakika chache tu baada ya kusimama na wenzie kusimama kuadhimisha sikukuu yao.
  2. Royal Son

    Hii sikukuu niya nini?

    HABARINI WAKUU HIVI LEO NI SIKUKUU YA NINI ?
  3. P

    Msaada wa Sheria kuhusu sikukuu za kitaifa kwa watumishi wa umma

    Habari wana bodies,napenda kujua Juu ya Sheria na miongozo juu ya watumishi wa umma wanaofanya kazi hadi siku za mapumziko ya sikukuu za umma,je wanastahili kupata stahiki gani kwa mujibu wa sheria?
  4. Fbn

    Kwani Yesu kwenye Quran inamtambuaje kwanini mnawapinga wakristo na sikukuu ya kuzaliwa

    Kwenye imani yenu mnasherekea sikukuu ya kuzaliwa mtume wenu Muhammad wala hakuna kosa lolote wakristo walisema ni kosa kwao. Huku kwenu mumekuwa na makatazo sana kwamba kusherekea happy birthday ya yesu ni haramu. Naomba kuuliza kwenu kwani Quruan ina yesu gani maana mliyemtaja kwa jina lenu...
  5. Mshana Jr

    Majibu ya chakula cha sikukuu za kidini

    Inapendeza watu wanapojibiwa kwa hoja na kuelimishwa https://www.facebook.com/share/v/1DMBkoRUch/
  6. Dr Luu

    Tupia ushauri wa afya na salamu za sikuu ya Christmas

    Habari wapendwa wanaJF wenzangu nawatakia heri ya sikuu kuu na mwaka mpya kwenu nyote kwa upendo na mshikamano baina yetu, kila la kweri nyote. Tusisahau kutunza afya zetu kwani ndio utajiri namba moja WEALTH = HEALTH
  7. ELI COHEN

    HII NDIO SIKUKUU BORA KULIKO ZOTE, ZINAANZA NYINGINE THEN HII NDIO INAKUWA FUNGA KAZI. MERRY CHRISTMAS WANA JF

  8. Bawabu wa pili

    Jeshi la Polisi Tabora lawahakikishia ulinzi na usalama kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka

    Jeshi la polisi mkoani Tabora limewahakikishia wananchi ulinzi na usalama katika sherehe za Krisimasi na Mwakampya.. Akizungumza na Waandishi wa habari leo Disemba 24, 2025 Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora,Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa polisi, Richard Abwao amesema jeshi la polisi litaendesha...
  9. ngara23

    Profesor Janabi asisitiza kuzingatia ulaji sahihi kipindi cha sikukuu, hasa kuepuka pilau na nyama

    Mkurugenzi wa shirika la afya duniani ( WHO) ukanda wa Africa, Professor Janabi Amesisitiza wananchi kuepuka pilau na nyama Kwakuwa ni Milo yenye madhara kiafya Pia ameshauri watu kuacha kutumia soda na beer 🍺 siku hiyo Badala yake ameshauri watu wale matunda, mboga za Majani na maji mengi
  10. W

    Polisi kushirikiana na nyumba za ibada ili kuzuia vitendo vya kihalifu kuelekea msimu wa sikukuu

    Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam, Jumanne Muliro ameeleza kuwa wameanza ukaguzi wa kushtukiza kwa madereva wa magari wenye dalili za kutaka kusababisha ajali. Pia ameeleza kuwa wamejipanga kushirikiana na nyumba za ibada ibada ili kutanzua uhalifu...
  11. Just Pray

    Dkt. Tulia agawa mchele kwa kaya 130 jimbo la Uyole, aahidi kuwapa fedha kwaajili ya mboga siku ya sikukuu

    Mbunge wa Jimbo la Uyole na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, amegawa chakula na msaada wa fedha kwa kaya zisizo na uwezo zipatazo 130 kutoka kata 13 za Jimbo la Uyole, ikiwa ni sehemu ya kuwawezesha wananchi hao kusherehekea Sikukuu ya Krismasi kwa furaha na heshima...
  12. The Dictator

    Naombeni playlist ya nyimbo za kusindikizia sikukuu ya Christmas & Mwaka mpya

    Miondoko yote. Afrobeats, Gospel mix, Gospel Catholic, amapiano, 3 Step's, R&B's, n.k.
  13. M

    Waislam wenye itikadi kali waua na kujeruhi wayahudi waliokuwa wakisherehekea sikukuu jijini Sydney-Australia

    Tarehe 14 Desemba 2025, inaripotiwa kutokea shambulio la kigaidi katika jiji la Sydney, Australia. Kwa mujibu wa taarifa zinazosambaa, washambuliaji waliwasili katika fukwe za Bondi Beach na kufyatua risasi kwa watu wa jamii ya Kiyahudi waliokuwa wakisherehekea Hanukkah, sikukuu ya kidini ya...
  14. Pfizer

    TCB yazindua kampeni ya Sikukuu yenye Rejesho la 10% kwa Wateja

    Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imezindua Kampeni Kabambe ya Msimu wa Sikukuu kwa ajili ya kuwazawadia wateja wake wanaofanya malipo kwa kutumia kadi ya Popote Visa, ambapo watapata rejesho la 10% kwa kila muamala unaokidhi vigezo vilivyowekwa na benki. Akizungumza jijini Dar es Salaam katika...
  15. Superbug

    Sikukuu ya Jamhuri Kenya; Je, William Ruto anasoma au anatoa kichwani hii hotuba?

    Wenzetu mpaka nawaonea wivu Yani anaongea mambo ya msingi mno Kwa taifa utadhani anasoma au anatumia teleprompter lakini wapi jamaa anatoa kichwani kweli wenzetu wamebarikiwa kuwa na viongozi wenye akili.
  16. Mad Max

    Sevilla FC ya Spain wamewatakia Watanganyika wote Kheri ya Sikukuu ya Uhuru!

    Kutoka kwenye ukurasa wao wa Social Media, wakatuwekea na Picha ya 2019 walivyokipiga na Simba SC.
  17. Agent-47

    PostGE2025 Inakuwaje hata Jamii Forums hamjui leo ni sikukuu ya nini?

    Tanzania vs Tanganyika. Sielewi ukakasi uko wapi, bora hata ya Madelu yeye alisema Tanzania bara.
  18. DuaZaMama

    PostGE2025 Chalamila: Nimeona watu wanaenda mikoani,huu ni msimu wa sikukuu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa watu wanaosafiri kwenda mikoani ni jambo la kawaida linalotokea kila mwaka, na si kitu cha kushangaza au kuhusishwa na sababu nyingine. “Naomba niwaambie kitu kimoja: kama kweli kuna adui, atakuwa amefanikiwa endapo atagundua kuwa...
  19. W

    Serikali yatangaza Ijumaa Oktoba 17, 2025 kuwa Sikukuu ya kitaifa ya kumuenzi Odinga

    Serikali ya Kenya imetangaza Ijumaa, Oktoba 17, 2025 kuwa sikukuu ya umma kwa heshima ya aliyekuwa Waziri Mkuu, Raila Odinga, aliyefariki dunia Oktoba 15, 2025 akipatiwa matibabu nchini India. Katika tangazo maalumu la gazeti la Serikali Na. 15007 iliyochapishwa mapema Oktoba 16, 2025, Katibu wa...
  20. Taasisi ya Mifupa-MOI

    Heri ya Sikukuu ya Maulid

    Bodi ya Wadhamini, Menejimenti na Watumishi wote wa MOI tunawatakia Watanzania wote heri ya sikukuu ya Mawlid. Tusherehekee kwa amani na utulivu.
Back
Top Bottom